Celestine Simba (@Celestine_Simba) profile picture

Mgombea ubunge jimbo la ULANGA 2020 (CHADEMA)na SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2018
Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)Photo by Celestine Simba (@Celestine_Simba)
Celestine Simba retweeted
AMKENI! @Africa_In_EN imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on record Lakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini alifanya kosa gani! Alagu tusikie mnasema eti Lissu hafai kuwa makamu kwa sababu eti kahukumiwa! Kama kujiuzulu aanze Sifuri Tatu! Tafsiri: Nyaraka rasmi za Uingereza zilizoonwa na *Africa Intelligence* zinataja hukumu mbili za mahakama ya madai dhidi yake, zilizotolewa mwaka 2021 na 2022, zikimtaka kulipa faini za pauni 3,140 na pauni 4,085. Nyaraka hizo hazibainishi sababu za faini hizo, lakini kiasi hicho cha fedha kilikuwa bado hakijalipwa kufikia Septemba 2026. Msemaji wa ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania hakujibu ombi la *Africa Intelligence* la kutaka maoni. Tunapambana na wahalifu! Eniwei #SamiaMustGo na #TutaelewanaTu
26
120
2
523
46,003
Wauaji wanapongezwa Leo.
Haya ni baadhi ya majina ya watu ambao Nduli Idd Amin Mama aliwauwa kwa risasi Oktoba 29, 2025, hawa ni wale ambao familia zao zilikubali majina ya wapendwa wao yaweshared. Hatutaacha kusema juu ya damu za ndugu zetu mpaka pale Haki yao itakapo patikana. Mungu aendelee kuwapa pumziko la milele wapendwa wetu.🙏😭
60
Samia awapongeza wauaji, huko Moshi, katika mkutano mkuu wa mwaka wa watekaji na wauaji. Wakishapongezwa, mnajua ni ni ni kitafuata kea wakosoaji. Mguu sawa nguchiro wenzangu.
81
The Counsel representing Twaha Mwaipaya have asked the court to summon DIG Lagat and DCI Amin over the abduction of Twaha Mwaipaya. Wakili Abner Mango has reminded the court that today marks 17 days since Twaha was abducted and no investigative report has been submitted by the Investigating Officers. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
7
14
443
Celestine Simba retweeted
Sauti ya Wakili Peter Madeleka akichambua hukumu juu ya Tundu Lissu
10
167
2
1,162
60,763
Huyu ndiyo Tundu Lissu ninaye mfahamu. Halafu atokee mtu na "#StrategicEngagements" Zake. Unadhani utaeleweka?
Tujikumbushe na lisu sio petipeti kama mbowe ✌️✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇 #freetundulisu #chadema
9
14
384
Tupate wadhamini kidogo 😄😄😄
14
77
1
343
19,856
Celestine Simba retweeted
Leo Media zote kubwa huko Duniani mjadala ni Hukumu ya Mhe. Lissu. Cc. @TitoMagoti
19
350
2
1,643
36,732
Celestine Simba retweeted
Leo #MariaSpaces maalum tunaendelea kujadil: Tusimame, Tuhesabiwe - #FreeTunduLissu Leo saa 2 uck tunajadili baada ya hukumu tunachukua hatua gani maana ni dhahiri wamedhamiria kumwacha Lissu aendelee kuteseka jela hata kama wamefeli kumshtaki kwa uhaini Karibuni mjadala mfupi!
15
71
2
274
12,617
Kifungo miaka minne, huna kosa ila kwavile umekataa kupiga magoti kwa Samia. Tutakata rufaa na tutawashinda.
3
16
75
712
Very brutal, lakini tutashinda. Hata kwa kuchelewa.
4
19
390
Celestine Simba retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 502 Mhe. Lissu anaendelea Anasema uamuzi huu wa kunikuta na hatia na kosa ambalo sikushtakiwa nalo, sikujitetea ni kosa la kutengeneza, effect yake ni kwamba unatoa kinga ya kisiasa kwa wale ambao walihusika mauaji amkubwa ya kisiasa, watatoka na kusema wauaji walishapataikana. Serikali ya Samia imeua watu wengi zaidi ukiachilia historia ya vita vya majimaji, hawa mass murderers watashangilia sana na uamuzi huu kwasababu mmewapa sababu ya kusema aliyesababisha mauaji ya Oktoba 2025 amepatikana na hatia lakini hii haitafunika ukweli. Serikali ya Mwalimu Nyerere iliuwa watu 37 mwaka 1977 na iliwajibika, Peter Kisumo alikuwa Mkuu wa Mkoa w Shinyanga alijiuzulu, na wengine akiwemo Mwinyi. Leo watu 518 walioripotiwa kwa uchache hakuna aliyewajibishwa, uamuzi wenu hautaficha hiyo kashfa. Kwenye sentences guidelines za Mahakama hii, inasema lazima adhabu ya faini itolewe isipokuwa kama ni grave offence, kosa nililoshtakiwa nalo sio grave. Waheshimiwa Majaji hukumu mnayo, ambayo mmeagizwa muitoe, itoeni nawashukuruni sana. Jaji Ndunguru anawasha mic anasema tumesikiliza hoja za pande zote na katika kutoa adhabu tumezingatia sababu kadha wa kadha. Kwanza mshtakiwa umeomba dhamana ili ukate rufaa, tumeangalia hoja ya ugonjwa na kuwa wewe ni mkosaji wa kwanza, hoja ya adhabu ya faini au kifungo. Kifungu cha 390 hakijatoa adhabu na ukisoma kanuni ya adhabu kifungu cha 35 kinahusika pale ambapo hakuna adhabu. Adhabu ni kifungo kisichozidi miaka 5 au fani au vyote viwili na hakijaelekeza faini ni kiasi gani. Tunajua kuwa pale ambapo fani na kifungo vinakuwa vinatolewa first option ni faini. Tumesoma na maamuzi mbalimbali na mengine ambayo tumeshayasema mfano kuzuia uchaguzi ni kukiuka katiba, ukisoma Ibara ya 30(1) imeeleza kuwa hutakiwa kuingilia haki za mtu mwingine. Mahakama inatoa adhabu kwa mshitakiwa kutumikia kifungo cha muda wa miaka 4 na una haki ya kukata rufaa. Majaji wanatoka. Naomba Repost yako.
154
482
28
1,352
80,170
Celestine Simba retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 501 Wakili wa Serikali kimsingi anasema kwamba matukio ya vurugu za Oktoba 2025 yalitokana na kauli zangu kama nimemuelewa sawa sawa. Kwenye kesi hii sina hakika kama mmeletewa ushahidi wa hotuba ya Jaji Chande wala yeye hajaja kutoa ushahidi hapa kuthibitisha hizo vurugu zilisababishwa na vurugu za wanasiasa gani. Mnaambiwa mnitolee adhabu kali kwa kosa ambalo kama lipo limefanyika kwazaidi ya miezi 6 limefanyika baadae mimi nikiwa gerezani, mkikubaliana na hoja hiyo huu utakuwa ni uthibitisho mwingine kwamba huu ni uamuzi wa maelekezo. Watu kicheko😂😂😂😂😂 Wakili wa Serikali Mkuu anataka muamini projo za mitandaoni, mkikubali utakuwa ni uthibitisho kuwa ni maagizo. Wakili wa Serikali Mkuu amewaambia vile vile kwasasa hawana taarifa zozote kama hili ni kosa langu la kwanza, maana yake anaashiria kwamba kuna previous conviction, sasa kwavile hana uhakika mimi nitawaambia ukweli, sijawahi kutiwa hatiani na kosa lolote la jinai, wamenishtaki kwa zaidi ya miaka 24 tangu 2002 hawajawahi kunipata, I have never ever been convicted for a criminal offence, kwahiyo mnapofikiria adhabu lazima mjue kwamba mnatoa adhabu kwa mtu ambaye hajawahi kupatikana na hatia. Mhe. Lissu anaendelea Waheshimiwa majaji nafaham mnajua kwamba nina msiba mkubwa sana wa mtu aliyenilea, amenifanya mimi kuwa mwanasheria, kwasabu sikupata nafasi ya kumuuguza, nilikuwa natumaini kuwa Mahakama itaniacha niende nikamzike Mzee Alutte, I was hoping that, inaelekea kuwa hiyo haipo kwenye mahesabu yenu, mnapokuwa mnafikiria adhabu mfikirie na hilo, family obligationdls is a factor kuamua adhabu, huyu mtu amefiwa, Dunia nzima inajua, magazeti everywhere, I was hoping that nitapata nafasi ya kwenda kumzika huyu aliyenilea. Waheshimiwa majaji leo ni mwaka na miezi 7 niko gerezani, mnapofikiria adhabu kali muitoe msije mkasahau kwamba huyu mtu ameshakaa gerezani kwa kosa ambalo mmelisema wenyewe kuwa sio kosa, halijathibitishwa na wala msije mkasau walichokisema jopo la Majaji watatu wenzenu: Jaji Mruma, Dkt. Longopa na Jaji Rumisha kuhusiana na niliyotendewa gerezani. Wamesema nimenyimwa fursa ya kuwasiliana na mawakili wangu, Viongozi wenzangu wa chama halali cha Chadema, nimenyimwa fursa hata ya kuomba Mungu. Majaji wenzenu wamesema hayo yaliyotendeka nilinyimwa fursa na haki ya kujitetea, msije mkasau hayo mnapofikiria adhabu kali. Waheshimiwa Majaji mimi ni raia mwema wa nchi hii, mzalendo wa nchi hii, nimetumikia nchi hii kama Mbunge wa kuchaguliwa na Wananchi mara 2 nimekwenda Jeshini, nimekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa nchi hii, mimi sio mpiga kelele, I am a patriotic, ndio maana nimeona na mabalozi wako Mahakamani, wanajua mimi ni patriotic hivyo mnapofikiria adhabu msije mkasahau hoja hii. Waheshimiwa Majaji gerezani sio mahali pazuri sana, nasema hivyo kwasababu nimeishi kwa siku 577, nakaa kwenye chumba cha sita kwa sita, sio sheraton hotel, unaweza ukasema tu funga kama hujui Gereza ni nini? Nasema haya kwasababu mimi sio mzima sana, kwenye huu mwili wangu nina operesheni 25, visu vya madaktari, ninatembea na risasi mwilini. Katika risasi 16 zilizoingia mwilini moja walishindwa kuitoa, ninatakiwa niwe naenda Hospital Ubeligiji, Hospital ya chuo kikuu cha Luven nilikotibiwa baada ya yaliyonikuta miaka 9 iliyopita, nimeshamiss appointment 4 kwasababu ya kesi hii, juu ya yote hayo Majaji nina kisukari huu mwaka wa 6 sasa, kwahiyo mtakapokuwa mnatafakari hiyo adhabu kali, mkumbuke hilo kwamba hali yangu ya kiafya sio nzuri sana. Waheshimiwa majaji kosa la uchochezi mara ya mwisho nilipoangalia ni kosa lenye dhamana, kama itawapendeza Kwa vile hili kosa lina dhamana, mnipe dhamana ili nikatie uamuzi wenu huu rufaa nikiwa nje kwa dhamana lakini muhimu zaidi pia ili nikamzike huyu aliyelala (Mzee Alute), nilisema sina mpango wa kuomba ila dhamana naomba. Part 502 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
64
508
17
1,499
85,465
FUCK YOU SAMIA SULUHU………… ILAANIWE SIKU ULIOZALIWA!!!!!
167
1,240
26
9,094
301,951
Mwaka mmoja ameshautumikia tayari, tena na zaisi….hana deni. Milioni 3 tunachanga chaap kwa!! Muachieni Homeboy akamzike ka’mkubwa!!
25
134
1
1,247
67,123
Celestine Simba retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 500 Mhe. Lissu amemaliza kuteta jambo na Mawakili wake, Mawakili wanarudi kwenye nafasi zao. Mhe. Lissu anasema Waheshimiwa majaji nashukuru kwa nafasi, naomba mnisikilize kwa umakini na muandike kwa umakini. Leo ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kuitwa Mhaini, kosa ambalo kwa katiba ya nchi yetu ndio kosa kubwa kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndio kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu, adhabu yake inaweza kuwa kifo baada ya siku 577 za hilo wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’ing’inia juu ya kichwa changu, mmeniita mchochezi kosa ambalo halijapangiwa adhabu. Mmeniita mchochezi na Wakili wa Serikali Mkuu anahangaika kutafuta adhabu yake ni nini???? Maana yake ni nini waheshimiwa majaji? Kosa nililoshtakiwa nalo halikuwa kosa na nyie wenyewe mmesema halikuwa kosa, kwahiyo nilikaa siku 577 Gereza la Ukonga bila kosa lolote. Waheshimiwa majaji kauli yenu kwamba halikuwa kosa mmekubaliana na msimamo wangu na ushahidi wangu. Kuna kitu kimoja hamjakisema na nitakisema for the record na ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa ni kesi ya kisiasa tuu, kugeuza Mahakama ya jinai kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa. Kwa hukumu yenu ya leo mmethibitisha hilo, ni Political persecution, hivyo inabidi visababu vitengenezwa vya kumfunga huyu mpinzani wao wa kisiasa na visababu vyenyewe ni kosa la uchochezi ambalo nyie Majaji mmelitengeneza, sikushtakiwa kwa uchochezi, nilishtakiwa nje ya uhaini. Nilishtakiwa kwa kusambaza taarifa za uongo, mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, with all due respect mmefanya hivi kwasababu ya maelekezo ya kisiasa, hana kosa ila asiachiwe hivi hivi ataonekana ameshinda, Serikali itaaibika, anayetupa Ujaji ataaibika, ndivyo mlivyofanya leo. Ninajua mnahukumu, ninajua, I feel it in my heart kwa bahati mbaya sana mmefanya kile ambacho Mahakama kuu ya Kenya ilikifanya mwaka 1954 kwenye kesi ya Jomo Kenyatta. Mahakama Kuu ya Kenya ilimpata na hatia Mzee Kenyatta ingawa historia ilikuwa inajua kuwa hamna kosa lolote, ndicho ambacho mmefanya leo Waheshimiwa majaji. Historia haijawa na wema sana kwa Majaji ambao wamegeuza Mahakama zao kuwa mahali pakuadhibia wasiokuwa na hatia ili kuwaridhisha walioko madarakani kwasababu mnaadhibu mtu ambaye mnajua hana hatia na Dunia inajua hana hatia. Waheshimiwa Majaji Wasiokuwa na hatia kama mimi huwa hawaombi msamaha, unaomba msamaha kama una hatia au kama umekosa. Huombi msamaha unapokuwa huna hatia, nataka niwe very clear kuwa haya nitakayoyasema yasichukuliwe kuwa naomba msamaha, I am completely innocent lakin kwa vile Wakili mkuu wa Serikali amezungumza naomba nimjibu, Kwanza kabisa, amesema kwenye kifungu cha 35 ambacho amekiombea adhabu kali amesema adhabu ya juu ni kifungo cha miaka 5 au faini au vyote viwili. Sheria inapotoa adhabu ya aina hiyo faini au kifungo, Mahakama inatakiwa ifanye nini? katika kesi ya Salum Shaban vs R (1985) TLR 71 ambapo Mahakama hii ilisema pale ambapo Bunge limetoa option ya faini au kifungo, Mahakama lazima itoe kwanza adhabu ya faini kwanza. Kwahiyo mnapotafakari adhabu kali iliyoombwa na Wakili Mkuu wa Serikali msije mkasahau msimamo huu wa kisheria ikiwemo kesi ya Alice Nyawira Ndungu vs R Criminal Appeal No 40 of 2022, Elias Ndikumana vs R Criminal Appeal No 39 of 2022 na mashauri mengine mengi ambayo nina uhakika mnayafaham. Kuna maneno yamezungumzwa hapa na Wakili Mkuu wa Serikali, amejigeuza kuwa shahidi, amesema kwamba haya makosa ya uchochezi yamekuwa ni makosa mengi sana kwa mujibu wa taarifa za polisi, na kwa mujibu wa hotuba ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman. Part 501 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
83
654
14
1,767
96,873
Amewastukia maccm, maana soon watasema Lissu kamuomba msamaha nduli kimama chao
"Mimi sio kwamba naomba msamaha. Wanaokosa ndio wanaomba msamaha. Kwahiyo, mitigation yangu isichukuliwe kuwa ni ombi la msamaha." - SC Tundu AM Lissu, 6.11.'26, High Court of Tanzania.
7
19
373
Celestine Simba retweeted
Unashitakiwa kwa kosa la wizi wa MIFUGO, Hukumu inatoka ya Kosa la kukamatwa ugoni na mke wa mtu. Maajabu ni mengi Tanzania. Haya yote ni WATAWALA wa CCM wanajiandaa na Uchaguzi wa 2030. Hawataki Tundu awepo mitaani 2030 ili watupangie wakutuongoza.TUTAWASHANGAZA!
11
37
147
4,032
Tutakata rufaa wakati tunahe Mtu wetu, kwanza watuambie hiyo fine. Kufungwa tayari amefungwa, wasituambie fine na kifungo vyote kwa pamoja.
5
35
432
Uchochezi fine yake sh. Ngapi? Leo tutakopa hata world Bank, imetosha sasa Lissu kukaa gerezani.
3
11
1
73
2,212