
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐ A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi
Joined April 2014
- Tweets212K
- Following1.9K
- Followers27.9K
- Likes269K
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
๐จHUYO SIO MWANAHARAKATI NI TAJIRI NAMBA 2 ROSTAM AZIZI
Anajua michezo ya serikali katili ya CCM na uhuru wa mahakama haupo Tundu Lissu anapambana na crookโs wanaotunga sheria tumuunge mkono tutashinda
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Zingatia neno โMwanaume yupo mmoja tu ambae ni Tundu Lissuโ
This quoted post is unavailable.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Elimu hii ikiwafikia watanganyika wakaielewa vizuri, patachimbika.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Sio tu Lissu hakupaswa kuwa gerezani, Lissu hakupaswa kukamatwa kabisa. Sote kwa pamoja tusema LISSU HANA HATIA & hukumu ni ya MCHONGO.
LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA.
#FreeTunduLissuNow
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Hukumu ya lisu ni ya mfukoni kwa mtu aipo kwenye sheria yoyote ya nchi hii๐๐๐๐โ๏ธโ๏ธโ๏ธ๐ฏ sikiliza hii
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Jana wakati nasema Nduli Idd Amin Mama kafinya internet watu wawashe VPN ili wafuatilie kesi machawa na vibaraka Nduli wakaanza kunishambulia kwamba nasema uwongo.
Haya ushaidi huu hapa.๐
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
We condemn the Tanzanian judiciary for convicting and jailing @TunduALissu for a crime he wasnโt charged with and had no opportunity to defend against.
Shouldnโt @TunduALissu be released on the basis of โtime servedโ even on the fake incitement sentence so that he can conduct his appeal from outside? The pre-trial detention he has been subjected to is equivalent to 5 years already.
Let us demand that Tundu Lissu must be freed. #FreeTunduLissuNow
We condemn the judicial ambush of CHADEMA Chairman Tundu Lissu, whose acquittal on capital treason was immediately followed by a four-year prison sentence for incitement. This is a grave assault on the rule of law and a calculated attempt to silence the demand for democratic reforms.
The United Green Movement (UGM) Party led by @dkmaraga stands in unwavering solidarity with Tundu Lissu, his family, CHADEMA and the people of Tanzania in their struggle for democracy, justice and constitutional freedoms.
We remain steadfast in our commitment to democratic liberation across our Jumuia. No amount of state terror, cross-border abductions or political imprisonment will stop the march for Mageuzi.
The march for Mageuzi cannot be jailed!
Read the full statement below.
Kumekucha!
@TunduALissu @ChademaTZ2 @USAmbTanzania @TitoMagoti @HecheJohn @MariaSTsehai @judiciarytz @kattoloo @NetoAgostinhoMP
#UGMParty #TunduLissu #Mageuzi
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
#TajiriLaKihaya
Jamaa kawaza mbali saaana๐๐ฝ๐๐พ
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Life likienda chini, na wewe cheza chini.
Acha kujitutumua.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
TUWEKE REKODI SAWA:
Siku ya tarehe 6/11/2026, Wakili Msomi Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Jeshi la mtu mmoja, AMEISHINDA CCM, Serikali & Mahakama huku akiwa AMEFUNGWA MIKONO kwa nyuma.
9 Septembe 2017 Walimshindwa kwa RISASI. Imagine lMhe.Lissu kitendo cha kukaa mwaka mmoja na miezi 7 jela amekosa CLINIK mara 4 hii inamaana sasa wanataka KUMUUWA kwa kukosa matibabu YAAN yule jaji amemfunga mtu kwa kosa lenye dhamana ili tu akosa matibabu
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Hii ni sign of weakness ya serikali haramu ya Samia Suluhu
Hawana njia nyingine ya kutawala isipokuwa kwa HOFU
That is not sustainable na mwisho wake huwa mbaya!
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Baada ya Mwenyekiti @TunduALissu kuhukumiwa kwa kesi isiyokuwepo watawala dhalimu wameendeleza mashambulizi dhidi ya chama chetu kwa kutumia polisi. Katibu BAWACHA Kigoma amekamatwa jana, Gwamaka mbughi na Issa kwisa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Songwe wamekamatwa leo ahsubuhi.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Mtu umefeli Law School utatuambia nini juu ya analysis ya sheria? Rudi shule kwanza chawa wewe!!!
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
โBado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria. Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzoโ, ameeleza Balile.



























