Cruz Scope (@CruzScope) profile picture

Liverpool fun

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2018
Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)
‼️WARNING GRAPHIC IMAGES AND FOOTAGE‼️ Commemorating one year since #TanzaniaMassacre Kwa nini tunasema Ukweli, Haki na Uwajibikaji na tumekataa maridhiano Tutafakari alafu tutoke kudai! #NoJusticeNoPeace #MO29 #SamiaMustGo #WeShallNeverForget #Hatutasahau
17
188
8
419
13,916
Endeleen kupumzika kwa Aman machalii wangu 29.10.2025 🙏🏻
5
254
4
854
12,443
Cruz Scope retweeted
R.I.P 29/10/25
13
308
4
1,083
8,918
Video ya kwanza ni Arusha, huyu single mother alipigwa risasi na Samia Suluhu akiwa amekaa mlango kwake. Yani waliingia mitaania wakawa wanaua watu kama wanaua ng’ombe.
14
105
2
261
8,953
Mtoto mwingine aliepigwa risasi ya kichwa na Samia Suluhu.
17
151
4
496
10,245
Cruz Scope retweeted
TEC zimejaa PhD, wao wakaamua kuwasikiliza wakina MWAMPOSA. #Mo29
8
145
772
12,171
Cruz Scope retweeted
Jana nlikuwa nasoma story za former Westham Baller Michail Antonio nikajihurumia . Dude got rejected by almost all EPL and Championships Teams mpaka Division 1 and 2 juu ya accident . Remember upto date he is still the Top Scorer For Westham .He even asked a certain team to pay him only if he plays and scores na bado walimkataaa . Son youre only important if youre valuable .They don't love you ,they only love what youre providing and giving them .
70
432
6
3,650
165,804
October 29, been a year kama utani REST IN PEACE MASTER TINDWA😔🙏 We don’t blame the bullet that took your life, we blame those who allowed such a barbaric act to be committed against innocent civilians The bullet pulled the trigger, but those who enabled this atrocity must be held accountable🤝
24
151
2
491
6,756
Wakati sherehe za mashujaa wao zikipikwa na kuchochea, Ndivyo hadithi za mashujaa wangu zilizikwa na kupotea 29.10.2025 💔❤️‍🩹
57
476
4
1,611
24,671
Cruz Scope retweeted
UBALOZI wa Marekani umefanya jambo la UTU matapeli wengine wamekaa kimya sababu wanasaka mikataba ya maliasili na serikali ya Samia @USAmbTanzania thank you for standing with Tanzanian
6
90
388
8,030
Cruz Scope retweeted
29.10.2026. SIKU YA MAOMBOLEZO YA KITAIFA. SIKU YA KUJITATHMINI NA KUJISAHIHISHA. Nilianza kumbukizi hii kwa kusali Misa Takatifu asubuhi katika kanisa langu la Mtakatifu Martha, Mikocheni. Baadaye nikashiriki mazungumzo na Jenerali Ulimwengu kupitia Post: youtube.com/live/lTdENudIxCc… Sasa napenda kutoa ujumbe wangu kuhusu siku hii, maana yake kwa Taifa letu na nini kifanyike ili tutoke katika mkwamo unaotukabili. 1. TUKUBALI MSIBA ULIOLIPATA TAIFA. Takwimu za Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman: vifo 518, wakiwemo raia 502 na maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama 16. Watoto 21 walipoteza maisha. Tume yenyewe ilitahadharisha kuwa idadi hii inaweza isiwe ya mwisho. Huu ulikuwa msiba wa Taifa, bila kujali tofauti zetu za kisiasa. Kila uhai una thamani. 2. POLE KWA WAHANGA WOTE. Familia zilizopoteza wapendwa wao, watoto waliobaki yatima, wajane, wagane, majeruhi na wote walioathirika. Nyuma ya kila takwimu kuna binadamu, familia na matumaini yaliyokatizwa. Kwa wote waliofiwa nasema: Hatujawasahau. Machungu yenu ni machungu yetu sote. 3. KWA NINI TUIKUMBUKE OKTOBA 29? Tume ya Chande ukurasa wa 52 wa hotuba ya Mwenyekiti wake ilipendekeza: “..Serikali kutenga siku ya Maombolezo ya Kitaifa kuwakumbuka Watanzania zaidi ya 500 waliofariki kwenye ghasia za wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025;” Bado tunaisubiri Serikali itangaze siku rasmi ya maombolezo. THRDC imependekeza tarehe 29 Oktoba iwe siku ya kumbukizi ya kila mwaka, na viongozi wa dini wamehimiza sala na tafakari. Kwa hiyo, tunapoitumia siku ya leo kuomboleza, tunafanya hivyo kwa nia njema, kuonesha mshikamano na kuwafariji wahanga wasije wakadhani Taifa limewasahau. 4. TUELEWE CHANZO CHA MGOGORO, SI VICHOCHEO PEKEE. Tume ya Chande ilitofautisha kati ya vyanzo vya ghasia na vichocheo vyake. Vyanzo ni kama mafuta, vichocheo ni kama kiberiti. Ilitaja vyanzo vitano: matatizo ya kisiasa na madai ya Katiba Mpya na mageuzi ya uchaguzi; ugumu wa maisha, ajira na fursa za kiuchumi; matatizo ya kijamii, rushwa na utekaji; udhaifu wa utendaji wa taasisi za umma; na changamoto za mahusiano ya kimataifa. Tume ilijadili pia vichocheo, vikiwemo kauli za baadhi ya wanasiasa na matumizi ya mitandao ya kijamii. Hata tukidhibiti vichocheo, hatutakuwa tumetatua tatizo kama mafuta yataendelea kuwepo. Ndiyo maana nimekuwa nikisisitiza umuhimu wa kutekeleza kwa vitendo falsafa ya Rais Samia ya 4Rs: Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga Upya. Vijana wanahitaji kusikilizwa. Malalamiko yao yashughulikiwe, huku kila mmoja akiheshimu sheria na haki za wengine. TUTOKEJE KATIKA MKWAMO HUU? Ninapendekeza hatua zifuatazo: Serikali itoe msimamo kuhusu siku rasmi ya maombolezo iliyopendekezwa na Tume ya Chande. Wahanga wote wabainishwe, wafikiwe na kusaidiwa kulingana na mahitaji yao halisi. Uchunguzi huru wa matukio yenye viashiria vya jinai, mauaji na utekaji ufanyike, na wahusika wawajibishwe kwa mujibu wa sheria. Mapendekezo ya Tume kuhusu Katiba Mpya, mageuzi ya uchaguzi, uwajibikaji wa taasisi na maridhiano yafanyiwe kazi. Wazee, viongozi wa dini, wanawake na vijana washirikishwe kikamilifu katika kujenga uelewano wa kitaifa. Maridhiano si kufuta ukweli, kusahau wahanga au kuacha kuwajibisha waliovunja sheria. Maridhiano ni kuwa na ujasiri wa kukiri mapungufu, kutenda haki, kurekebisha makosa na kujenga upya imani ya wananchi katika taasisi zao. Ndugu zangu Watanzania, Oktoba 29 isiwe siku ya kuchochea visasi. Iwe siku ya kujitathmini na kujisahihisha, kuthamini uhai wa binadamu na kujiwekea dhamira kwamba madhila haya hayatatokea tena. Tusisahau waliopoteza maisha. Tusiwaache wahanga peke yao. Tusifanye hofu kuwa mbadala wa amani. TUKUMBUKE. TUJITAFAKARI. TUJISAHIHISHE. TUTENDE HAKI. TUPONYE MAJERAHA. TURIDHIANE NA TUSONGE MBELE KAMA TAIFA MOJA. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, awafariji wafiwa, awaponye majeruhi na alijalie Taifa letu amani ya kweli, amani yenye haki. Amina.
31
109
3
311
8,875
Leo 🇰🇪 imesimama na 🇹🇿 ✊🏽 Asanteni majirani Siyo tu Tanzania bali duniani kote watu wenye mapenzi mema na wapenda Haki wamesimama nasi kuwakumbuka mashujaa wetu na wapendwa wetu waliouwawa Kutakuwa na mikusanyiko mitatu nchini Kenya - Nairobi, Kilifi na Mombasa God bless you all 🙏🏽 Na sisi sote tusisahau KUWASHA MSHUMAA popote ulipo Piga picha weka uonyeshe madhalimu kuwa #Hatutasahau ✊🏽 Bila woga tunadai Ukweli, Haki Uwajibikaji #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #MO29
12
133
2
357
10,644
Cruz Scope retweeted
HAKI YA TUNDU LISSU KUSIKILIZWA KIKAMILIFU: Kwa kuwa MAHAKAMA KUU YA TANZANIA tayari imetamka kwamba; ilikuwa ni MAKOSA kwa Magereza KUMNYIMA Tundu Lissu, HAKI YA FARAGHA NA MAWAKILI WAKE, maana yake ni kwamba; HAKUSIKILIZWA KIKAMILIFU. Yote yajayo yatakuwa ni BATILI.
19
84
1
444
9,695
One of the most heartbreaking videos za October 29. Ona kijana anaongea na mama yake anamwambia mama wameniua….::
25
140
3
517
20,503
HATUTASAHAU 💔 A year has passed since our brothers and sisters were brutally killed last October, but the pain remains. You had names, dreams, and families waiting for you to come home. We will never forget you. We will continue fighting for justice for you and demanding accountability. Tutawakumbuka milele yote ndugu zetu, pumzikeni kwa amani 🦅 🤲
12
84
2
360
6,529
Cruz Scope retweeted
7
234
2
1,146
17,284
Cruz Scope retweeted
Iringa, vijana wa kiume kwa kike zaidi ya 100 walikamatwa, wakafungiwa kwenye hall, wakavuliwa nguo, wakafanyiwa ukatili wa kingono, wakapigwa mabomu ya machozi huku milango imefungwa. Siwezi kufikiri waliteseka kiasi gani na wangapi walikufa. We demand justice. 29/10💔
15
146
1
603
14,433
Cruz Scope retweeted
Naibu Katibu Mkuu akiwasha mishumaa kuwakumbuka marehemu waliouawa Oktoba 29, 2025. Tukio hilo limefanyika kwenye kanisa kuu Katoliki la Mtakatifu Joseph, jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Oktoba 29, 2026
12
137
2
688
10,725
Cruz Scope retweeted
Kwa wito wa Kanisa na mimi leo nimeshiriki MISA TAKATIFU ya kuwaombea MAREHEMU wote waliouawa Oct. 29. Nimesali na kukomunika kwenye kanisa la ST. PETER’S hapa Dar. 🙏🏾🙏🏾 #RipOurMartyrs
11
75
569
4,527