Alpha_WolF (@Diox255) header
Alpha_WolF (@Diox255) profile picture

Believer.🙏🏿 |Formal_Life |HIP-HOP.🎤 |Info_Tech.💻📲 |Photographer📸 |Gamer🎮 |@manUtd

Tanzania
Joined June 2017
Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)Photo by Alpha_WolF (@Diox255)
Replying to @PeterLeah18
Mhubiri 12:1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Mhubiri 3:12 Mimi najua ya kwamba hakuna jema kwao kupita kufurahi, na kufanya mema maadamu wanaishi.
2
5
11
🚨 Michael Carrick when asked about punishing Bruno: “Whatever the situation is, I will always do what is best for the club”. “If I spoke to him or not, I don't think this is the time to go into that in much detail...”.
233
949
50
22,630
1,689,573
Godzilla alimbariki churus bora sana mwanetu wa ngarenaro. #RipKingzilla
1
1
42
Nimeacha kuchagua MBOMBO. HipHop ya Kweli ipo Green City Engineer Soma hiyo🫵🏾🫡🫡
15
32
1
186
5,707
Whenever life gets too heavy, I come back to this video.
57
3,341
46
15,618
399,847
Ukiona kuna eneo unafeli usije ukafikiri kwamba Mungu hapendi ufanikiwe, jikumbushe na neno hili Yeremia 29:11
1
8
39
643
Alpha_WolF retweeted
Mwili Ni Jela Ya Roho Yako... Chochote Utakachofanya Kama Roho Yako Haiko Tayari Haiwezi kuiacha MWILI. Ukijaribu Kuitoa Kabla Ya Muda Wake Itatafuta Mwili Mwingine Wa Kuingia Na Utajikuta Upo Tena Hapa Hapa. A Confession of a Mad-man 😆 ... FRANCIS | ABRACADABRA
1
4
29
835
Mwanagu shoutout sana,naona umefika kwa pod ya matajiri wenzio😅
Nilianza kujituma nikajua blood, nikajua k*ma/ Nikajua wana, nikajua watu na roho za kutia Huruma ~ Kipchoge @Kaa_Moto 🫡
1
1
12,335
Casually rewriting history
1
19
53
562
Alpha_WolF retweeted
Everything repeats until... You learn what you were meant to learn. Patterns in your life aren't random - they're feedback loops from the universe, Testing if you're… finally awake enough to break them. … FRANCIS | ABRACADABRA
1
5
23
851
Alpha_WolF retweeted
Imagine: Mtoto wako UKAMU- DUNGA hii elimu. Istead ya kumlazimisha Kwenda kwenye hizo DINI... Ambazo wanamwambia Akifa Ndio ataishi Maisha Mazuri!
13
36
2
121
7,624
Alpha_WolF retweeted
UKIWEZA: Muepushe Mtoto Wako Na DINI. Najua Utachelewa Kunielewa Ila Utanielewa Taratibu tu...
35
17
11
123
13,615
Alpha_WolF retweeted
Replying to @Diox255
Fundisha Watoto wako Mkuu, Usiwapeleke kwenye Tasisi hizi za Kitapeli
1
1
1
101
Whites doing a documentary about Africa 😂 — 🎥 Crazy Kennar
958
11,170
664
61,099
1,899,287
675
3,350
164
21,650
344,089
Never ask why J. Cole is in the Top 3 conversation again. Freestyling over “93 ’Til Infinity” on L.A. Leakers. Pure skill. This is the difference.
20
269
17
1,450
31,123
Alpha_WolF retweeted
Kuna Umri Ukifika Utaanza Kuelewa, Maana Halisi Ya; • Utu, • Vitu, • Ukimya, • Upendo, • Roho na Mwili, • Wema na Ubaya, • Muda / Wakati, ... Utaanza Kuelewa; • Kwann Jambo Lile Halikutokea Kwako, • Kwanini Watu Fulani Walindoka Kwako, • Kwanini ulikosea Kufanya Hayo Maamuzi, • Kwanini Hukuamua Mapema, ... Utaelewa Zaidi; • Kuhusu Sauti na Ala Za sauti unazosikiliza, • Kuhusu Sehemu unazo Kaa na Kuondoka, • Kuhusu Ulimwengu kwa Upana wake, • Si Kila Kosa Ni Kosa Kwa Mwingine, • Kuna Watu Wengi Wamekufa Huku Wapo Hai, ... Utaelewa; • Maisha Yote uliyoishi Wewe Ndio Mhusika, • Uumbaji Upo Ndani Yako na Sio Nje Yako, • Mungu ni Nguvu na Unaishi Nayo, • Pesa ni Kila Kitu lakini haiwezi Fanya Kila Kitu, • Duniani Ndio Nyumbani Kwako Halisi, ... Bila Kusahau; • Utaelewa Kila Mtu Yupo Peke Yake, • Mateso / Magonjwa ni Sehemu Ya Dunia, • Furaha Haitegemei Watu / Vitu, ... Kumbuka: Wengi Tutakufa Tukiwa Hatujui, • Kiliendelea Nini, • Kinaendelea Nini, • Kitaendeleaa Nini, Kwenye Maisha Yetu!. ... ^Abracadabra^
11
47
1
150
4,867
Alpha_WolF retweeted
00:00 RIP 🕊️
71
320
17
3,526
68,782
79
6,980
150
35,194
546,306
Alpha_WolF retweeted
16
43
3
581
23,596