ProsperNow. (@prossoff) header
ProsperNow. (@prossoff) profile picture

A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.

Katavi-Mpanda, Tanzania
Joined September 2020
Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)Photo by ProsperNow. (@prossoff)
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
253
1,367
40
5,221
1,215,151
Elfu tatu. Kunyoa nywele. Kunyoa ndevu. Kuweka black. Nitoke Mpanda niende wapi😂
27
18
1
336
11,921
Shemeji yetu vijana wa MPANDA😂
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
2
5
83
5,510
Injili kwa mifano.😂😂
Happy birthday 🎂 🥳 baba watoto💜🫂 uishi ukimpendeza Mungu uje uonje matunda ya watoto wako na ukuwe na pesa mingi 😄 love you 😍 enjoy 😉 N.B 😄 ..... I know you know...... nini chenye nataka 😄 usisahau Mr Samson 💖
27
17
189
16,036
Manzi alikuwa mzuri safi. Mwonekano mzuri wa kuvutia na alikuwa anauza vitumbua na mandazi. Alikuwa anasukia nyumbani pia, baadae akaacha akaajiriwa saluni za watu za kike. Saizi kaacha, Amekonda na kuchakaa. Hapa anasema hana 23k, ngoja nimpe nione kama atabadilika arudi kwenye form.
32
14
4
232
42,660
Iphone kuna uwezekano wa kubadili font?
14
7
1
144
17,092
Mwanangu mmoja hapa mtaa kafanya jambo la kimafia sana. Ka manzi kakawa kanamwambia hakajaliwa ye haamini. Kametokea kakapigwa msipa safi kakachwanwa. Picha linaanza damu ikawa nyingi mpaka sio sawa. Kaka isha nguvu, ikabidi mwana awe mgumu kasirudi nyumbani. Saizi mzee ana demand mjamaa akajitambulishe apewe mke.😁
10
11
1
377
28,311
Bora matako, ni mfereji wa mkundu ndo unatangulia.
Hivi wanaume wenzetu vibonge inakuaje mpaka mnavaa nguo mkiinama matako yanaonekana? Halafu hamshutuki wala hata upepo hamuhisi?!!!
3
1
41
5,934
Simps out there. Msidhani simping kwa mademu ndio trap ya kuwapata. The moment unajishusha sana na kuwa available ndio anakuona upo desparate sana na anaanza kukuzungusha. The more unamfukuzia kwa nguvu the more anakukwepa. Give the fuck to fuckworth. BE SOLID.
1
13
3
107
5,855
Wanaume wengi sikuhizi tunaishi na wanawake zetu ambao wanachukia EX zao kuliko wanavyotupenda sisi. We dating ladies with lots of hate kwa wapenzi wao wa zamani kiasi kwamba. Chuki inazidi level ya upendo wanaotupatia, kutuonyesha na kutujali which is not fine. Kiuhalisia upendo ulifaaa kuwa mkubwa kuliko chuki kwa wapenzi waliopita na hapo tungeishi maisha ya kufurahia tena sana. Wanamaumivu makubwa sana kwenye mioyo yao so kama pain is what she have been taking in these girls won't have love in their outlet. Somo leo liende kwa mfano. Haujawahi kuingia kwenye mahusiano mchumba kakukubali vizuri anakuchangamkia then baada ya muda anakwambia anahisi hana utayari kwa sasa? Basi hapo maumivu ya kumkosa mpenzi wa zamani au mahusiano ya yaliyopiya bado yanakuwa yanaishinda furaha ya mpenzi wa sasa. Sijui kama mmenielewa wanangu sana.
5
16
141
7,342
Ukiwa broke madem wanakudharau, treat you like trash & disrespect you as fuck! But they expect you to respect them, not to objectify them & stay loyal when you beat brokeness & secure that bag It's no surprise how moneyed niggas don't care about them bitchez. Secure the Bag.
5
22
198
6,518
Kuna class kubwa sana ya ma-Binti kukata tamaa na mapenzi kisa past experience Wana stop kutoa energy kwa wanaume wao kwasababu waliwahi fanya ivo lakini haiku work out. All woman deserves respect on this issue + advice on this. Lots of men today never end like their fathers.
2
15
159
7,941
Mwanaume asiye na future ni Mwanaume aliyepotea. Skia, hakuna Mwanamke anayejali kuhusu past yako, kama ulikuwa mwizi, kibaka, mlevi, jambazi n.k hakuna anayejali hilo. Ila wao wanaangalia kesho yako tu. Kama huna malengo yoyote ya baadae, usishangae kuona Wanawake wanakuacha kwa ajili ya Mwanaume mwenye malengo. Hakikisha malengo yako ndio kipaumbele chako, hata kama ikitokea Mwanamke akaamua kusimama between you and your purpose, MPIGE CHINI. Wengi wao huwa ni wapitaji tu, hakikisha una-chase papers na sio hoes. Unaweza amka hasubuhi ukakuta manzi yako kashakimbilia kwa dude jingine ila 100M+ zako zitabaki vilevile. MALENGO YAKO YAKIWA MAKUBWA MAPENZI HAYATOKUTESA KABISA.
7
13
158
7,460
Hii nilikutana nayo 3 months nyuma chuga,jamaa anafanya kazi na kulipwa kila mwezi. Mke wake kabeba ujauzito 0 to 9month,siku ya kujifungua jamaa hana hata mia ndio unajiuliza maisha ni magumu au saving ndio hakuna. Tujifunze kuweka akiba,hasa Kwa kidogo tunachopata Tu.
Kukosa pesa kweli kupo. Kuna familia hapa jirani mke mjamzito kaja kuomba pesa kwaajili ya kufungua kadi ya 12k Sijui ni utapeli au imekaaje, sio watu wazima 22yrs wana mtoto na mwingine ni mjamzito. Kuna muda anasema wanapiga mlo mmoja tu per day, mmewake kweli anapiga kazi ila anasema familia ya wazazi wa mume wanamtegemea dogo. Dogo anaishi kwao kwenye nyumba ya pembeni, ina make sense ila nashindwa kuamini. Mimba ina 0 month mpaka kufika minne huna pesa ya kujiandikisha. Maisha ni magumu sana.
1
2
23
1,190
Kukosa pesa kweli kupo. Kuna familia hapa jirani mke mjamzito kaja kuomba pesa kwaajili ya kufungua kadi ya 12k Sijui ni utapeli au imekaaje, sio watu wazima 22yrs wana mtoto na mwingine ni mjamzito. Kuna muda anasema wanapiga mlo mmoja tu per day, mmewake kweli anapiga kazi ila anasema familia ya wazazi wa mume wanamtegemea dogo. Dogo anaishi kwao kwenye nyumba ya pembeni, ina make sense ila nashindwa kuamini. Mimba ina 0 month mpaka kufika minne huna pesa ya kujiandikisha. Maisha ni magumu sana.
27
20
6
333
24,794
Baadhi ya wanaume tunaamka tunaangalia motivation U-tube then tunarudi kulala, Spending the whole day indoor waiting for success, so funny Not going after your dreams ni hatari wazee Amka ukajichanganye hatakama hauna kazi bro.
6
18
199
6,769
Sasa naanza kuelewa kwanini bar maid ni chakula ya wengi waliooa. Manzi akishajua una mke yeye anruka vibaya sana. Ni either. Akukubali yeye au Apende huduma zako ndio umpate na. Anaweza pokea huduma zako na usimpate.
6
3
1
155
7,699
Kuna time unamuona single mother anapambaa na mabeseni ya matunda. Mara karanga barabarani. Pengine kufua nguo za watu. Kusambaza vyakula vya migahawani. Halafu paaap. Unaona kasuka kwa 25k Mara kucha kabandika kwa 10k.
20
16
2
350
15,386
Ko watu wanaona kama Fabrizio anafaida sanaa. Kama mlivyoona tweet zangu kama nafaidi sana uongo? Chuki inamuumiza aliyehifadhi. Acheni usenge.
3
4
1
140
6,636
ProsperNow. retweeted
IF AFRICA HAD A SUPERHERO 😂😂😂😂😂😂😂Spiderman Kennar 😂 – at Ruiru, Kenya
578
4,853
488
19,396
916,308
Binti wa kisasa ana Fuck na mzee yuko Twice as old only because mzee ana pesa atampa. Mdada hajali kuhusu thamani yake. Wanaangalia nini unatoa, hakuna affections na love tena. Dada zetu wanapotea sana, naweza sema siwaonei huruma But so is everyone? Tamaa mbaya.
5
5
1
92
6,448