
Believer.🙏🏿 |Formal_Life |HIP-HOP.🎤 |Info_Tech.💻📲 |Photographer📸 |Gamer🎮 |@manUtd
Tanzania
Joined June 2017
- Tweets17K
- Following1K
- Followers1.3K
- Likes61.9K
Alpha_WolF retweeted
🚨 Michael Carrick when asked about punishing Bruno: “Whatever the situation is, I will always do what is best for the club”.
“If I spoke to him or not, I don't think this is the time to go into that in much detail...”.
Alpha_WolF retweeted
Ukiona kuna eneo unafeli usije ukafikiri kwamba Mungu hapendi ufanikiwe, jikumbushe na neno hili Yeremia 29:11
Alpha_WolF retweeted
Mwili Ni Jela Ya Roho Yako...
Chochote Utakachofanya
Kama Roho Yako Haiko Tayari
Haiwezi kuiacha MWILI.
Ukijaribu Kuitoa Kabla Ya Muda Wake
Itatafuta Mwili Mwingine Wa Kuingia
Na Utajikuta Upo Tena Hapa Hapa.
A Confession of a Mad-man 😆
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Alpha_WolF retweeted
Everything repeats until...
You learn what you were meant to learn.
Patterns in your life aren't random -
they're feedback loops from the universe,
Testing if you're…
finally awake enough to break them.
…
FRANCIS | ABRACADABRA
Alpha_WolF retweeted
Imagine:
Mtoto wako UKAMU- DUNGA hii elimu.
Istead ya kumlazimisha
Kwenda kwenye hizo DINI...
Ambazo wanamwambia Akifa
Ndio ataishi Maisha Mazuri!
Alpha_WolF retweeted
UKIWEZA: Muepushe Mtoto Wako Na DINI.
Najua Utachelewa Kunielewa
Ila Utanielewa Taratibu tu...
Alpha_WolF retweeted
Replying to @Diox255
Fundisha Watoto wako Mkuu,
Usiwapeleke kwenye Tasisi hizi za Kitapeli
Alpha_WolF retweeted
Never ask why J. Cole is in the Top 3 conversation again.
Freestyling over “93 ’Til Infinity” on L.A. Leakers. Pure skill.
This is the difference.
Alpha_WolF retweeted
Kuna Umri Ukifika Utaanza Kuelewa,
Maana Halisi Ya;
• Utu,
• Vitu,
• Ukimya,
• Upendo,
• Roho na Mwili,
• Wema na Ubaya,
• Muda / Wakati,
...
Utaanza Kuelewa;
• Kwann Jambo Lile Halikutokea Kwako,
• Kwanini Watu Fulani Walindoka Kwako,
• Kwanini ulikosea Kufanya Hayo Maamuzi,
• Kwanini Hukuamua Mapema,
...
Utaelewa Zaidi;
• Kuhusu Sauti na Ala Za sauti unazosikiliza,
• Kuhusu Sehemu unazo Kaa na Kuondoka,
• Kuhusu Ulimwengu kwa Upana wake,
• Si Kila Kosa Ni Kosa Kwa Mwingine,
• Kuna Watu Wengi Wamekufa Huku Wapo Hai,
...
Utaelewa;
• Maisha Yote uliyoishi Wewe Ndio Mhusika,
• Uumbaji Upo Ndani Yako na Sio Nje Yako,
• Mungu ni Nguvu na Unaishi Nayo,
• Pesa ni Kila Kitu lakini haiwezi Fanya Kila Kitu,
• Duniani Ndio Nyumbani Kwako Halisi,
...
Bila Kusahau;
• Utaelewa Kila Mtu Yupo Peke Yake,
• Mateso / Magonjwa ni Sehemu Ya Dunia,
• Furaha Haitegemei Watu / Vitu,
...
Kumbuka: Wengi Tutakufa Tukiwa Hatujui,
• Kiliendelea Nini,
• Kinaendelea Nini,
• Kitaendeleaa Nini,
Kwenye Maisha Yetu!.
...
^Abracadabra^






















