Dullah X (@DullahWrites) header
Dullah X (@DullahWrites) profile picture

Rules are rules. Without them, we’re just savages. #LoveThursdays | #HistoriaIliyofichwa |

Joined August 2023
Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)
Hofu inaweza kukufanya uwe mzimamzimani maisha yote, na hofu hiyo hiyo inaweza kukufanya ufe kabla hata hujaishi. Chagua: Kuishi kwa woga taratibu, au kusimama, kuongea, na kuishi kwa ujasiri. Hofu haikulindi — inakumaliza.
48
Tatizo sio kuwalaumu watu kwa mafanikio yao mkuu, hoja ni system nzima. Maana vipi nchi maskini wananchi wanahangaika na chakula na dawa halafu viongozi wachache wanashangilia Rolls Royce? Hapo sio hustle tu, ni imbalance ya rasilimali.
Ndugu yangu tupambane tuondoe umaskin na tujenge uchumi wa familia zetu...fursa zipo kiongozi... Mara nyingi tuwawazia vibaya wenye navyo kwasababu ya njaa ya mafanikio inayotukabili mkuu...
44
Yaani unakimbiza maisha yako kwa ahadi zisizoisha za kesho ambazo hazifiki. Kila siku unapoteza nafasi ya leo kwa kutegemea kesho ambayo haina uhakika. Ndiyo maana mtu anayejua thamani ya muda, anashika fursa ya leo kwa nguvu zote.
29
Hakuna mtu aliyesema sanaa sio ajira – hoja ilikuwa ni campaign za kisiasa kushushwa level mpaka kugeuzwa comedy shows badala ya kuzungumzia sera. Kuletewa Schwarzenegger kwenye jukwaa la siasa haina uhusiano wowote na kuendeleza sekta ya sanaa 😅.
Huu ndio ubaya wa ufinyu wa fikra ulionao. Unajua kuwa Sanaa ni Ajira na inaajiri watu wengi sana? Unajua kuwa soko Letu la Sanaa lipo chini Kwa sababu ya kukosa wataalamu? Kuja Kwa watu waliofika mbali katika Sekta hiyo unajua Kuna athari gani Kwa wenye matarajio hayo?
1
28
Kuitafuta ela bila kusimamia maisha ni kazi bila hadhira. Kuweka akili kwenye kile kinachokupa maana ni kuanza kuishi maisha, si kusubiri retire. Weka rasilimali (pesa, muda) kufanya yale yanayokufanya uishi siyo yale yanayotaka watu wengine.
15
Mtu amefariki hospitalini, halafu familia yake inalipishwa 500k–700k ili maiti itolewe mortuary 🤔 Swali ni: hivi tunanunua mwili wa ndugu yetu au tunalipia huduma gani hasa? Kodi tunazolipa zinakwenda wapi? Hii system ina uchungu kweli.
39
Waliuziwa ndoto na ahadi za majimbo, hela za kampeni hawajaziona, sasa wanataka kurudi home. Ni kama kuacha mke ukaenda kwa sidechick halafu sidechick mwenyewe hana hata ugali jikoni.
22
Kuna maneno yakishatoka kwa mwanamke, mwanaume hufunga roho yake kimya kimya. Ndoa huendelea kuwa kama jina, lakini kihisia inakuwa kivuli tu.
1
1
86
Ukiwa na Gundu Ata Shughuli iwe Kwenu Unakosa UBWABWA.
20
Jitahidi sana Usiweke Utani na mtu alie KUAJIRI🤔
23
Maisha yanakupa nafasi ya kushindana kama kwenye soko, lakini ushindi wako unaanza unapojua thamani yako. Ongeza thamani yako, toa msaada, zalishe fikra na uhusiano, ndipo pesa, heshima, na uhuru vitafuata.
24
Ulinizaa kwa matakwa yako Nilisimama kwa ajili yako ni zamu yako leo usimame kwangu Sina usafi kama wako hautaki nilitaje jina lako Kwanzia sasa usilitaje langu HATIA VI @dizastavina 🙌🔥
17
Imagine uko kwenye gari, ukamgonga mzee bahati mbaya hukusema chochote wala kuomba msamaha. Siku ya kwenda kutoa posa, unakuta… mzee yuleyule ndiye baba wa yule unayetaka kumuoa. 😳 Ndoa inaendelea au unaachia ngazi? Je, ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?
19
Tunashuhudia mwelekeo wa hatar ambap nafas za uongoz zinageuk kuw urith wa kifamilia badal ya dhaman kutok kwa wananchi. Demokrasia ya kwel haiwez kushamir ikiw uwazi, usaw na ushindan wa hak vinapotea. Tunahitaj mageuz ya mfum wa kisiasa na uchaguz ili kurejesh iman ya wananchi.
12
Tuna jukumu kubwa kama raia kulinda misingi ya demokrasia, uwazi na usawa. Ni muhimu kuhoji, kujadili na kushiriki mijadala ya kitaifa kwa heshima na hoja. Tuendelee kufuatilia kwa makini, kudai mabadiliko ya kweli na kuhakikisha sauti ya kila Mtanzania inasikika.
11
Mwanaume, ndoa ni taasisi ya maamuzi magumu. Mke ambaye alikuzwa na wazazi wote ana nafasi kubwa ya kuwa na msimamo wa kimantiki wakati wa migogoro. Si hukumu, ni uhalisia wa psychology ya malezi.
20
Mwanamke aliyekuzwa na mzazi mmoja (hasa mama tu) mara nyingi hukua bila exposure ya 'male-feminine energy balance'. Hii huonekana kwenye ndoa – ukigombana, suluhisho linakuwa hisia zaidi kuliko mantiki. Mzazi wa jinsia zote hujenga emotional balance.
21
Ukilelewa na mzazi mmoja, hasa mama, kuna nafasi kubwa ya kujifunza upendo lakini mara nyingi msimamo na balance ya hisia hukosekana. Hii inaweza kuathiri mahusiano baadaye. Mzazi wa jinsia tofauti huongeza usawa wa mtazamo. Parenting matters.
21
Kipaji huleta nafasi, lakini nidhamu, unyenyekevu na kujifunza ndivyo hujenga mafanikio ya kweli.
21
Kabla sijakimbilia mipango yangu, nakushukuru Mungu kwa kunipa nafasi nyingine ya kupumua, kupenda, na kuishi. 🙌🏾
20