Dullah X (@DullahWrites) header
Dullah X (@DullahWrites) profile picture

Rules are rules. Without them, we’re just savages. #LoveThursdays | #HistoriaIliyofichwa |

Joined August 2023
Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)Photo by Dullah X (@DullahWrites)
27
66
3
572
12,302
Kabla ya kunipima na kunichora Njoo NISOME kwanza naweza kupa RULER ukachezee INCHES😂
7
11
130
2,896
“Hata Mwana wa Maskani unaempenda na kumjali anageuka mnyama when the rent is due”
5
26
274
5,539
👤 Dizasta Vina X Kaa La Moto 📀 NDUGU WA MBALI 🔗dizastavina.com/ndugu-wa-mba…
3
41
1
132
1,370
Sijui tu ila nimejikuta nina matarajio makubwa sana na hii EP hizi tittle za ngoma tu zinatisha sana 🥶 Ngoja nisimalize maneno 😅
10
26
2
96
1,611
Extended playlist (EP) ya @dizastavina itatoka kesho kwenye Digital platforms. Itauzwa kwa watakaotaka wawe nazo kwa simu na Emails Bei ni 10,000 tu LIPA NAMBA NI MPESA *352317499* Jina ni *DIZASTA VINA* Ukishatuma text muamala kwenye hii namba 0762 158871
4
7
166
Dullah X retweeted
Rudi nyumbani kapumzike Rudi nyumbani kapumzike Nimeshindwa na maudhi Rudi nyumbani kapumzike Ukishabadilika utarudi Maana haya mahusiano yananipoteza Haya mahusiano yananipoteza Najua we' ni mrembo na machoni unapendeza Ila una haraka na kwenda na kasi yako sitaweza Wimbo wako bora wa dizasta vina ni upi??
16
25
2
101
3,776
Dullah X retweeted
Muda wa kupata MSOSI WA UBONGO. Namba ni ile ile home boi?
12
48
483
20,924
Dullah X retweeted
Kasheshe Mjini😁, Muda wa mitaa kuwa kimyaa umefika, Ni muda wa kuacha mashaka mitaani Kama serial killer 😂😂 Mabibi na mabwana Welcome to the @dizastavina & @Kaa_Moto Show 💥💥 Stay tuned 😜, August 30,2026💥 Bombooclaaaat
8
22
85
1,110
30th August, 2026 – at Dar es Salaam, Tanzania
79
299
58
753
64,978
Dullah X retweeted
Mashujaa wa #MO29 hatuwezi kuwasahau kwa CASHOUT YA 23M Ambayo hata tungepata usingepewa. Leo focus ni moja tuu kuwakumbuka mashujaa wetu wa #MO29 Tamaa zako za hela za watu pelekea maskini wenzio. Unatokea bongo? Haya kasalimie wakina Zuchu. #MO29
18
229
996
14,586
Sikiliza Mpaka Mwisho!! #ROSTAM 🏆
16
48
1
335
12,461
Ushabiki ni sehemu ya hitaji la kisaikolojia la binadamu, hii ipo tangu kuwepo kwetu kwenye uso wa ulimwengu. Inasaidia kuonyesha utambulisho (identity) na muunganiko wa kihisia baina ya wahusika. Faida ya wahusika wa upande mmoja mara nyingi huwa ni udhia kwa wahusika wa upande mwingine, kwa hiyo ni kawaida kabisa kwa wewe kujisikia hivyo dhidi yao. Nina uhakika yote inatoka sehemu ya upendo kwa upande wao na sio kulenga kuudhi upande wako. Pole kwa udhia. Napendekeza majadiliano chanya kuunga pande zetu na si mkanganyiko kututenganisha #hiphop
Mashabiki wa Dizasta Vina wana entitlement flani za kifala kama mashabiki wa Barcelona.
96
137
35
563
60,940
Niliwahi kusimuliwa na kipenyo mmoja kwa sasa ameshastaafu!! Anasema Obama alivyokuja 🇹🇿 2013. Kama ilivyo kawaida ya marais wa mataifa makubwa kama 🇺🇸 wakienda nchi fulani wanaenda na security wao (Secret Service) tena huwa baadhi wanatangulia kwanza nchi husika kabla ya rais kutua. Makachero wakatangulizwa ki-homeboi🇹🇿 Sasa wakiwa kwenye kukagua usalama mwanangu (Kipenyo mstaafu) ananambia jamaa wakali-suspect gari moja lilikuwa limeegeshwa maeneo ya either Kipawa au Majumba 6 ndani lina mtu kama 5 hivi na zina silaha…..Pyuu Pyuu kubwa zile!! Inasemekana kuna kifaa maalumu….sijui ni satellite au nini, ndio kiliwawezesha kuwasanukia machizi wale na zile silaha!! Kitu ambacho secret service yetu hawakuweza kugundua watu wale!! Basi vijana wa Obama wakawatimbia na kuwatia kwenye 18 machizi wale…. wakaishi nao!! Na tukio hilo lilifanyika kimya kimya bila kushirikisha intelejensia ya ndichi!! Kwa maana mpaka hapo 👮 👮‍♀️ 🚔 wetu walikuwa hawajui kinachoendelea!! Baada ya kuwapekua kila kitu wakawakuta na silaha na BAG 💰 💴 Kumbe mahomeboy walikuwa wametoka kupiga tukio maeneo!! What a coincidence! Meee kafia kwa muuza 🍲 Kumbuka vijana wa 🇺🇸 lengo lao ni kum-protect rais wao tu, mengine hayawahusu, hivyo walihisi pengine machizi wana dirty mission dhidi ya Rais wao!! Kumbe machizi wao wana mchongo wao mwingine kwanza hata hawajui kama Barack anakuja nchini!! Walipojiridhisha machizi sio threat kwao wakajiuliza wawateme au wawakabidhishe kwa EJM….. IGP wa wakati huo!! Wana wakavuta Tambo makao makuu 🇹🇿 🗣️Oyaaa tumewakamata watu tulihisi ni cheche kwa presidah wetu, ila sio kweli….ila wana kazi chafu mkononi!! Ibukeni muwadake watu wenu!! MAHOMEBOYz wakaoza kizembe….. Inasemekana wa 🇺🇸 walikuwa na chombo inayoweza kuona mpaka ndani ya nyumba na kukagua kila kitu…..technology ambayo kwetu bado….!! Ndomana waliweza kugundua watu wale wenye silaha!! Na sababu ya kuwachomesha machizi ilikuwa ni kama showoff tu zile za kuwaonyesha secret service yetu kuwa sisi 🇺🇸 tuna technology ya mwaka wa mbele sana!! Sijui kama ni kweli ilitokea hivi 2013 Au yule Kipenyo mstaafu Katoo shindili!! Maana wastaafu nao kwa sound!!
108
114
9
1,505
137,581
Spitting Bars ‘n White House 🏆
10
68
1
718
38,319
My fellow Tanzanians mnaotukejeli, kutudhihaki, kutubeza na kutukebehi sisi tunaopambania haya mabadiliko!! Plus wote mnaotaka kutuua, kutupiga, kututeka, kututesa na kutufunga sisi tunaopigania haya manadiliko!! MNAKOSEA SANA MNAKOSEA MNO!! Mnaweza msione umuhimu wa haya tunayoyapigania leo kwa sababu ya nafasi mlizoko sasa……..!! Siku moja mtaona umuhimu wake na itakuwa too late…..mtatamani mngetuunga mkono!!!
244
519
7
2,826
145,989
I said it earlier…..🤲
61
966
16
3,325
75,988
Kunao majeruhi walipopata majeraha walihofia kwenda hospital kwa kile kilichokuwa kinaendelea hospitalini. Huku mtaani walipata treatment za kimya kimya kutoka kwa wazalendo wetu wenye taaluma za uuguzi na udaktari na walifanikiwa sana kuokoa maisha ya ndugu zetu!! Mungu awabariki sana na kuwaongezea mlipopungukiwa Nurses & Doctors mliopambania uhai wa ndugu zetu!! Mmefanya kazi ya Mungu hakika!!🤲 Shout out to Y’all
26
199
1
1,357
32,875
Punde tu Mungu anapokuinua juu, shetani naye hunyanyuka na kuandika jina lako kwenye orodha yake Ndiyo maana baraka mpya huibua vita vya zamani, ni kwasababu nuru ya mbinguni imekumulika kiasi kwamba inakufanya uonekane jehanamu Neema na baraka vikikufikia jiandae na MAPAMBANO
7
50
361
7,939
Walioharibiwa mali wanapewa media coverage waongelee uharibifu huo!! Waliouliwa ndugu zao na wanaodai miili ya ndugu zao na majeruhi wanaouguza vidonda wanakuwa silenced wasiongee wala kulalamika popote!! Binafsi nuangana na waliopoteza mali zao, na sisupport uharibifu na uwizi wa mali za wapambanaji wenzetu, Na haipaswi kuwa hivyo!! Mungu awafanyie wepesi🤲 Lakini haswa naungana zaidi na waliopoteza ndugu zao!! Uhai una thamani zaidi ya mali!! Mali zinatafutwa lakini uhai ukitoka umeondoka!!!
53
254
4
1,528
44,884