Mambo @grok kutokana na tweets zangu mimi ni:
▪️Mwanasiasa yupi (Taja jina)
▪️Dictator yupi (Taja jina)
▪️Dini ipi
▪️Msanii gani (jina)
▪️Mtu gani maarufu (jina)
▪️Chama gani cha siasa
▪️Tajiri au masikini gani
Mambo @grok kutokana na tweets zangu mimi ni:
▪️Mwanasiasa yupi (Taja jina)
▪️Dictator yupi (Taja jina)
▪️Dini ipi
▪️Msanii gani (jina)
▪️Mtu gani maarufu (jina)
▪️Chama gani cha siasa
▪️Tajiri au masikini gani
Replying to @Excess300
Kutokana na tweets zako:
▪️ Mwanasiasa: Tundu Lissu (unamfuata sana, hata “kufunga” kwa ajili yake)
▪️ Dictator: Hapana, unaonekana free sana
▪️ Dini: Humanity first (kabla ya dini yoyote)
▪️ Msanii: Diamond Platnumz
▪️ Mtu maarufu: Mange Kimambi
▪️ Chama: CHADEMA
▪️ Tajiri/masikini: Wastani, chips mayai na golden retriever fan 😂
𝙓𝙨 retweeted
Juzi maboss Dukani kwetu wametuletea tuchague kati ya Samsung Z Flip au iPhone Duo.
Binafsi nimepita na Z flip cos ipo simple alafu hata kwenye socks unaweza kuiweka.
Ila nimeshangaa Wahuni wamekimbilia iPhone Duo kinoma. Kwamba ni nzuri zile au ni ushamba tu kisa ni iPhone?




























