Greenjm retweeted
🚨EXCLUSIVE
Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”.
Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌
Repost 200
#FreeTunduLissu
Greenjm retweeted
Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏
Greenjm retweeted
A season for the history books 📖
@manutd's Bruno Fernandes is @EASPORTSFC Player of the Season ❤️
Greenjm retweeted
RATIBA YA KWARESMA 2026 ✝️
• Jumatano ya Majivu – Feb 18: mwanzo wa toba na unyenyekevu
• Dominika za Kwaresma – Feb 22–Machi 22: safari ya sala, kufunga na matendo ya upendo
• Dominika ya Laetare – Machi 15: furaha katikati ya toba
• Dominika ya Matawi – Machi 29: kuingia kwa Yesu Yerusalemu
• Alhamisi Kuu – Aprili 2: Ekaristi na Ukuhani
• Ijumaa Kuu – Aprili 3: mateso na kifo cha Kristo
• Mkesha wa Pasaka – Aprili 4: ushindi wa nuru
• Pasaka – Aprili 5: ufufuko wa Bwana 🙏✝️l
Greenjm retweeted
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari amemuhakikisha kuwa kitadhibitika na kurudi hali ya awali kwa kuendelea kutumia dawa na Chakula.
Ametueleza kuwa amepokea barua kutoka kwa Naibu Msajili wa Mhakama Kuu ya Tanzania kuwa kesi yake itapangwa katika kikao maalumu cha Mahakama. Hata hivyo ikumbukwe kuwa sasa Mahakama Kuu ipo likizo hadi tarehe 31 Januari 2026.
Mwenyekiti Lissu amesisitiza kuwa uhaini ni kosa pekee lililotajwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 na hivyo halitakiwi kuendeshwa na kushitakiwa kwa utaratibu wa makosa mengine ya jinai.
Tutafikisha maelezo haya kwa uongozi wa Mahakama.
Vinginevyo amesema watu wawe imara na kuwa ATARUDI NA KUWA NASI.
Greenjm retweeted
Mungu ni Mwema siku ya leo tumefanikiwa kupata dhamana za ndugu zetu 4, wameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya siku 20 katika kituo cha Polisi Chang'ombe. Lucy Simon Shayo ni kati ya watu ambao wamedhaminiwa Leo. Shukrani kwa Mawakili wetu kwa kazi kubwa .



























