Gerald Hando retweeted
African Governments should create ministries that will focus on Artificial intelligence (AI), AI can help in Agriculture, i.e precision farming, monitoring of crops, predicting of yield. I also urge our continent to use AI in education, Supporting students with intelligent tutoring systems, learning platforms that personalize education.
Gerald Hando retweeted
Replying to @mshambuliaji @Gerald_Hando
Mwandishi mwandamizi Joseph Mihangwa aliwa kutoa makala ze ye kumuelezea Okello vema @Gerald_Hando
Gerald Hando retweeted
#WorldBank Regional Vice President @VictoriaKwakwa congratulated #Tanzania for achieving the best-performing Program for Results (PforR) globally with the Sustainable Rural Water Supply and Sanitation PforR—for two years! @mwigulunchemba1 @mofURT
Gerald Hando retweeted
Salaam ndg zangu Mwaka huu serekali iliamua kununua mahindi kwa ajili ya kumuhakikishia Mkulima Soko,Mpaka sasa 200,273mt zimenunuliwa thamani 187.9bn tumelipa 137bn na leo tumeanza kufanya malipo ya 56bn ilobaki ,jana na leo tumelipa 4.3bn na mpaka Jnne tutakua tumemaliza.
Gerald Hando retweeted
Replying to @thisistemidayo @jambogrouptz
Tatizo ni Content sio Jengo wala ubora wa studio cs bila hivyo hayo mengine ni Zero tu, unless huyo owner awe anasafishia pesa hapo
Gerald Hando retweeted
Once I become rich, one thing I don't want to hear is “don't let money control you” when poverty was controlling me you were silent.
MalemboLE.
Gerald Hando retweeted
NIA NJEMA.
Kumheshimu Mungu wangu
Namtolea roho yangu,
Nifanye kazi nipumzike
Amri zake tu nishike
Wazo, neno, tendo lote
Namtolea Mungu pote
Roho, mwili chote changu,
Pendo na uzima wangu
Mungu wangu nitampenda,
Wala dhambi sitatenda.
Jina lako nasifia,
Utakalo hutimia.
Kwa utii navumilia
Teso na matata pia.
Nipe, Bwana, neema zako
Niongeze sifa yako. Amina.
Gerald Hando retweeted
Future Leo #GodPower 🇹🇿 🤝 🇨🇳
Gerald Hando retweeted
Replying to @PMadeleka
Wewe ni kweli ulionewa au inawezekana ulionewa kwa habari ya Plea Bargain.Lakini usivuke mstari na kusema hivyo kwa wengine kwa sababu najua huna uhakika.
Tunafurahi umetoka na upo huru,wala hawana watakalokufanya!Lakini kuwa mateka wa machungu yako na kusema uliyosema si sawa!
Gerald Hando retweeted
Ameandika @HKigwangalla
Kwa huyu Chui, hiki ni chakula chake yeye na wanaye. Amekipata kwa shida sana. Haitokeagi mara nyingi wanyama wawindaji wakawinda jike tena lenye kunyonyesha, ukiona imetokea hivi hua muwindaji amezidiwa sana!
Lakini kwa mtoto wa kima, anayeenda kuwa chakula cha party ya Chui na familia yake ni mama yake mzazi, ni family. Hajui family ya karibu zaidi ya huyu, ambaye amekuwa chakula cha chui, hajui pa kwenda, na wala anaanzaje kesho yake bila mama yake.
Kila unapokumbana na choice ya kufanya chochote kile kwenye maisha yako, kumbuka unaowafanyia wana familia kama huyu mama kima, basi baki na choice moja tu - kutenda haki na wema dhidi ya wengine, kwa sababu nyuma yao kuna kundi kubwa linalowategemea.
Mara kadhaa katika maisha yangu nimewahi kuwa kwenye nafasi/mamlaka ya kuamua mustakabali wa maisha ya wengine, Kwa hakika nilijitahidi kuchagua kuwatendea wema na haki badala ya kuwamaliza.
Kama ninavyowapenda akina Sheila wangu, huwa naamini na wengine nao wanawapenda akina ‘Sheila’ wao! Hata kwa wale walionitendea ubaya, sikuwahi kuwalipizia ubaya - nilichagua kusamehe. Tupendane ndugu zangu, maisha haya ni mafupi, na kesho kuna hukumu kutoka kwa HAKIMU wa Kweli! #HK #Fighter #NjeYaBox
Gerald Hando retweeted
Aisha ni mke wa marehemu Mhe. William Ole Nasha, Mbunge wa zamani wa Ngorongoro aliyetangulia mbele ya haki. Sijui Aisha na watoto wamejisikiaje baada ya kusikia hotuba ya Mhe. Tundu Lissu kumhusu Mhe. Nasha. Sijui.
Aisha ni mtoto wa mjomba wangu Mzee Mlekwa. Tulikulia wote Msoma Road, pale Nzega. Enzi hizo baba yake alikuwa Katibu wa UVCCM wilaya ya Nzega, wakati mama yangu akiwa Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Nzega. Nilianza darasa la kwanza shule ya msingi Kitongo, Pamoja na dada yake Aisha, aliyeitwa Chala. Tulikuwa marafiki sana.
Mhe. Ole Nasha (PKA) alikuwa Mbunge mahiri sana na makini wa jimbo lake, aliwapenda na kuwapigania watu wake kwa nguvu sana. Aidha, alikuwa msomaji mzuri wa makala zangu.
Sisemi haya kumtetea kwa kuwa ni shemeji yangu na rafiki yangu wa karibu, nasema kwa dhati ya moyo wangu kuwa depiction of Hon. Ole Nasha by the learned Hon. Tundu Lissu is false and fabricated by all terms and means.
Nilimjua Nasha, na nikuambie ukweli kuwa, pamoja na kumuona amekaa kisomi na kiungwana, misimamo yake kwenye mambo yaliyohusu watu wake wa Ngorongoro ilikuwa mikali kuliko ya Tundu Lissu.
Mara kadhaa kwenye vikao vyetu vya kushughulikia mgogoro wa Loliondo ama ‘zoning process’ na ‘voluntary relocation process’ ya Ngorongoro tulipishana na hakulegeza msimamo wake.
Mhe. Nasha aliwahi kuomba kujiuzulu Uwaziri na Ubunge wake kama watu wake wangenyimwa chakula cha msaada. What a selfless leader he was?!
Mhe. Lissu alitaka Mhe. Nasha aongee Bungeni kuwatetea watu wake kivipi wakati muda wote amekaa bungeni alikuwa Waziri? Mhe. Nasha alipata fursa ya kuwatetea watu wake kwetu mawaziri, na hakupungua Wizarani kwetu enzi zile kudai haki za watu wake. Alipigana sana kuhakikisha shule ya wasichana Essere ikijengwa.
Mara kadhaa Mhe. Nasha alileta madiwani na ma Laigwanani kutoka jimboni kwake kuja Wizarani kufuatilia mambo ya jimbo lake. Mbunge wa sasa Mhe. Emmanuel Ole Shangai, na madiwani mashuhuri kama akina Edward Maura na wengine walikuja Wizarani kwangu mara nyingi sana mpaka tulijuana. Huwezi kumdhalilisha marehemu leo hii. Siyo sawa. Mimi naweka records right tu basi.
Natoa ushuhuda hapa kuwa Mhe. Nasha aliwasemea watu wake kwa sauti ya juu sana kuliko Mhe. Lissu alivyowatetea wana Ikungi enzi akiwa Mbunge wao. Mhe. Lissu anajua kabisa kuwa Mhe. Nasha asingeweza kuongea bungeni kutetea watu wake kwa kuwa alikuwa Waziri lakini anapotosha tu kwa maslahi ya kisiasa.
Tena bila aibu anamchafua marehemu, ambaye alikuwa mwanasheria mwenzake, Mbunge mwenzake na akijua kabisa wazi kuwa Mhe. Nasha hawezi kujitetea sababu yupo chini ya ardhi amepumzika pumziko la milele. What a shame?! – at Tanzania
Gerald Hando retweeted
Kampuni ya Uwekezaji kwenye utalii na ranchi za wanyama, Mwiba Holdings Ltd imetishia kuwachukulia hatua kali za kisheria wanasiasa waliosambaza taarifa za uongo kupitia mikutano yao, wakidanganya kwamba kampuni hiyo (na mmiliki wake Thomas Dan Friedkin) imepewa umiliki wa ekari milioni 6 za eneo la hifadhi ya wanyama wilayani Meatu mkoani Simiyu.
Kupitia mikutano ya hadhara ya kisiasa inayoendelea huko Kanda ya Ziwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, amenukuliwa akitoa tuhuma hizo, ambazo sasa zimeelezwa kuwa uongo mtupu.
Katika taarifa yake kwa umma, Mwiba Holdings Ltd imesema haimiliki ardhi yoyote kwenye maeneo ya hifadhi nchini Tanzania na kwamba wilayani Meatu kampuni hii inafanya kazi kwa mikataba ya uwekezaji na upangishaji ambayo imeingia na Halamshauri za Vijiji ambazo ndizo zinazomiliki maeneo hayo. Jumla ya maeneo yote haya yaliyopangishwa ni ekari 171,604 – na si ekari milioni 6 kama ambavyo Lissu amekua akidai.
Kwa mujibu wa takwimu za Mkoa wa Simiyu, mkoa mzima una eneo la kilomita za mraba 23,807 sawa na takribani ekari milioni 2.4. Eneo la Wilaya ya Meatu lililoko kwenye hifadhi ni kilomita za mraba takribani 4,253 sawa na ekari 425,000.
Kwa takwimu hizi, ina maana maelezo ya Lissu yanamaanisha Mwiba imepewa eneo ambalo ni mara 14 ya eneo lote la hifadhi wilayani Meatu, na mara tatu ya ukubwa wa mkoa wote wa Simiyu – jambo ambalo linaonyesha dhahiri taarifa hizi si sahihi.
Aidha, kampuni hiyo (Mwiba Holdings) imeeleza kwamba haijaingia mkataba wowote na Serikali ya Awamu ya Sita kama inavyoelezwa na wapotoshaji, bali mikataba yake ya upangaji na uwekezaji kwenye maeneo haya imekuwepo kwa muda mrefu na iliongezewa muda mwaka 2018 na 2019 wakati wa utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Gerald Hando retweeted
Jecha ntamkumbuka kwa misimamo yake na uzalendo wake....alifanya kazi kwa mujibu wa sheria na kwa kutenda haki
Gerald Hando retweeted
Done @court_afchpr
1. Maded wasiwe wasimamizi wa uchaguzi
2. Makosa yote yawe na dhamana Tanzania, kinyimwa dhamana huku mtu akiwa mtuhumiwa ni kinyume na haki za binadamu!
Tumemaliza kazi yetu! Kazi ipo kwa watekelezaji! Tutafuatilia kwa ukaribu 💪🏾
Gerald Hando retweeted
Kwa jambo kubwa kama hili la Bandari ya Dar es salaam mwananchi hawezi kuwa smart kwa kukimbilia kutoa maoni bila kuwa na taarifa za kutosha na serikali haiwezi kuwa smart kwa kuficha mambo. It should be available in public domain and so it takes two to tango.





























