Hasheem Bongo (@HBongoMan) header
Hasheem Bongo (@HBongoMan) profile picture

A Tanzanian 🇹🇿 rapper with a political mind

Joined October 2021
Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)Photo by Hasheem Bongo (@HBongoMan)
Hasheem Bongo retweeted
🗣️ Journalist: "Kylian, over here, on the left, far-left." 🗣️ Kylian Mbappé: "Thank God you weren't sitting on the right then. (laughs)"
41
1,299
86
10,622
2,897,983
Dictator Mbappé at it again
🚨💣 BREAKING: XABI ALONSO LEAVES REAL MADRID WITH IMMEDIATE EFFECT.
24
68
24
964
5,950,645
Hasheem Bongo retweeted
Elon did it all in one life
285
2,360
208
29,265
511,959
Hasheem Bongo retweeted
Whenever life gets too heavy, I come back to this video.
57
3,341
46
15,618
399,907
Hasheem Bongo retweeted
LA influencer goes scorched earth on Mark Zuckerberg's Meta after it caved to draconian African regime: suit trib.al/oOPqrqH
319
948
85
3,136
536,021
OFFICIAL ANNOUNCEMENT TO THE WORLD We, the Tanzanian people, do not recognize Samia Suluhu Hassan or Deo Ndejembi as the legitimate President and Vice President of Tanzania. No legitimate election was held on October 29, 2025. Instead, what happened was a systematic campaign of mass killings, with more than 10,000 Tanzanians killed during a five-day internet shutdown. Any government that recognizes these two individuals as the legitimate leaders of Tanzania is turning its back on the Tanzanian people and standing against their demand for justice, democracy, and accountability. Those responsible for these atrocities must be held accountable. The blood of Tanzanians cannot simply be ignored, and the victims and their families must not be forgotten. We call on the international community to stand with the Tanzanian people as we fight for: A new, democratic Constitution A genuinely free and fair election An end to killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, and sexual torture An end to the suppression and muzzling of the independent media Full accountability and justice for the victims Tanzania belongs to its people. We will continue to demand democracy, freedom, justice, and a government that derives its legitimacy from the will of the Tanzanian people. The world must stand with the people of Tanzania. KISWAHILI TANGAZO RASMI KWA ULIMWENGU Sisi, Watanzania, hatuwatambui Samia Suluhu Hassan wala Deo Ndejembi kama Rais na Makamu wa Rais halali wa Tanzania. Hakukuwa na uchaguzi halali uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Badala yake, kilichotokea ni kampeni ya mauaji ya halaiki yaliyopangwa na kutekelezwa kwa utaratibu, ambapo zaidi ya Watanzania 10,000 waliuawa wakati wa kukatika kwa intaneti kwa siku tano. Serikali yoyote itakayowatambua watu hawa wawili kama viongozi halali wa Tanzania inawageuzia kisogo Watanzania na kusimama kinyume na madai yao ya haki, demokrasia na uwajibikaji. Wale waliohusika na ukatili huu lazima wawajibishwe. Damu ya Watanzania haiwezi kupuuzwa, na waathirika pamoja na familia zao hawapaswi kusahaulika. Tunaiomba jumuiya ya kimataifa kusimama pamoja na Watanzania tunapopigania: Katiba mpya ya kidemokrasia Uchaguzi huru na wa haki Kukomeshwa kwa mauaji, utekaji nyara, kufungwa kiholela na mateso ya kingono Kukomeshwa kwa ukandamizaji na kunyamazishwa kwa vyombo huru vya habari Uwajibikaji kamili na haki kwa waathirika Tanzania ni ya Watanzania. Tutaendelea kudai demokrasia, uhuru, haki na serikali inayopata uhalali wake kutokana na matakwa ya wananchi wa Tanzania. Ulimwengu lazima usimame pamoja na wananchi wa Tanzania.
37
487
6
1,730
76,459
Dah watanzania wakigomea kiongozi na kumkataa kila anayejihusisha naye anashukiwa kuwa kabila moja naye Leo watu wapo timeline na DM wanasema Ndejembi achunguzwe ni mzanzibari au ana asili hizo maana hata chogo hana 😁 Familia ya mzee Ndejembi ni ya watanganyika - unfortunately wapo watanganyika walio tayari kuuza nchi kwa genge la wazanzibari na waarabu kama @mangekimambi anavyoeleza Tupambanie #KatibaMpya na #FreeTunduLissu au tumekwisha
27
101
2
692
60,503
‼️NDEJEMBI MTU WA GSM KUMBE‼️ Deo Ndejembi hajazuka tu na kabla ya kuingizwa kwenye siasa alikuwa anafanya kazi Alosco Holdings ambayo ni kampuni mama ya GSM group - mpo? CV yake naona watu wanaanza eti alikuwa sijui mbunge sijui waziri - no! Sisi tumechimba - amesahau hata kubadili Linkedin yake kabaki Head of Group Marketing Alosoc 😁 Sasa mnaona wizara alizopita - ardhi, alafu nishati! Haya! Mengine baadaye ila ungeni na ile ya @mangekimambi mmeanza kupata picha sasa what we are dealing with in Tanganyika!? Nasema #TutaelewanaTu
39
147
5
849
112,281
Ushirika wa wachawi haudumu: JK ndiye aliyempromoti Nchimbi kupata ukatibu mkuu wa CCM. Na ndiye aliyezuia Bashite asiwe mgombea mwenza na badala yake akampigia debe Nchimbi ambaye alikuwa MWANAMTANDAO kama Jk. Lakini ilipobaki choice ya Nchimbi or Samia, Jk akamtosa Nchimbi
15
43
990
55,477
Hasheem Bongo retweeted
"Ongeza MOTO washaanza kutoana MAINI" 🤣🤣
26
156
3
1,060
23,666
Watanzania, Nchimbi hajajiuzu kwa kutaka, HE WAS FORCED OUT!!!! CCM walikuwa wanamuondoa wiki hii kwa kudai katiba mpya………
81
489
9
3,712
420,898
Hasheem Bongo retweeted
Imma ulifanya kosa KUBWA sana KUDHANI KACHERO ni RAFIKI yako! Huyo mtu ni hatari na nusu na huwa HANA RAFIKI inapofika swala la OPERATION maalum. Amekupiga UTOSINI. Ya kwako ni zaidi ya Katelephone na WENGINE wote! Naona Kikao Cha Dom Kimehamia DAR. Mambo yote kesho. Nalala🤣
12
19
374
30,174
Hasheem Bongo retweeted
Nchimbi ni mkatoliki Lissu mkatoliki wakiungana n TEC naskia mpishi alimuekea sumu akalazimishwa kula hicho chakula akafa jamaa akaona bora aijuzulu tu.
34
99
3
1,959
70,827
Niliandika hii posti kuhusu Nchimbi miaka 2 iliyopita. Niliwaambia Watanzania miaka 2 iliyopita kuwa CCM lazma watamuondoa Nchimbi…. I was 100% sure kuwa yoyote ambae ni old school CCM nikimaanisha wenye mentality kama za kina Mzee Kingunge hatokubali hizi siasa zinazoangamiza nchi na wananchi wake….. MaCCM wa zamani walikuwa ni wadokozi tu ila kuna sehemu ya mioyo yao ilikuwa ina bleed Tanganyika and no money in the world could make them sell out. Hawa vijana wa CCM ya leo ni mambwa koko, wanaangalia nchi inapukutuka wao wanajali vyeo tu… Watanzania ile CCM tuliyokuwa tunaijua haipo tena. Ukimuona Mtanzania bado anavaa nguo za CCM, mpeleke Mirembe ana matatizo ya akili huyo…. CCM imekata moto…..
As you all know I’m not a fan of Nape Nnaye and I have never been ila kama mtakumbuka vizuri siku Nape na January walipoondolewa nilikaa kimya kama sipo, nikawa nawachora watu humu X mkishangalia na kumcheka Nape. Haki nilipata shock kidogo kuona wale wanaojiita ma genius wa nchi wakishangalia kitu ambacho kilikuwa kinaashiria kuwa Samia anaelekea kule kule kwa Magufuli, alafu leo wanajitia wako shocked na kulalamika juu ya muelekeo wa Samia. As much as I don’t like Nape ila simchukiii Nape more than I love my country. Mimi nilikaa kimya ile siku sababu nilijua chochote nitakachoongea mngesema ni sababu nna urafiki na Mwamvita Makamba, urafiki ambao hauko tena kutokana na kwamba niliamua kukaa mbali ili siasa zangu sisi affect maisha ya familia yao. Kinachosikitisha ni kwamba hata siku ambayo Nchimbi ataondelewa CCM mtashangilia pia bila kuangalia the bigger picture. Siku Nchimbi akiondelewa CCM inatakiwa kuwa ni siku ya msiba mkubwa Tanzania maana yoyote atakaechukua nafasi yake ni kwamba amekubali Samia aongezewe muda wa urais. Yes kuna wana CCM ambao woote hatuwapendi ila tuangalie mambo kwenye context ya nchi nzima na sio individual. Nape hakuondolewa sababu ya alichosema kuhusu uchaguzi, Nape aliondolewa sababu moja tu, undugu na January Makamba, ambae ana ndoto za kugombea Uraisi in 2030. Hiko ndo kilichomtoa Nape. Ingekuwa maneno yake ndo yamemtoa basi Maneno Bashite aliyoongea jana kwa Mwamposa kuwa Mungu pia haha demokrasia yangefanya Bashite aondolewe, au maneno mazito walioongea wana CCM wengine yangefanya waondolewe. Nachosema ni kwamba, kila anachofanya Samia kuanzia sana ni kwa kupimwa kwa mapana na marefu na Sio kushangilia tu.
31
187
1
1,412
225,781
Ndo wanashtuka kuwa huu ni mtego wamejitega Sasa wanataka Kabudi aje kuwa Makamu 😁 Nchi hii ina vituko! Ila Mungu wetu anatupenda sana 🙏🏽
31
136
3
1,465
85,718
Hasheem Bongo retweeted
Wasenge walianza kuuwa MPISHI BINAFSI kumbe.
34
99
3
1,267
111,603
Hasheem Bongo retweeted
Last week, the Tanzanian government suspended a local newspaper for 6 months for reporting that the country’s vice president had refused to resign. Today, VP Emmanuel Nchimbi announced he’s resigning after a year in the job 👀
109
928
38
3,686
216,710
Naona mzee Kaguta katushtua Abdul kaenda kumtembelea kutafuta uwekezaji Tunashukuru Mzee huwa anatusanua 😬👊🏽 Huyu Abdul ana delegation kama nani? #TutaelewwanaTu
I welcomed my son from Tanzania, Abdul Halim Hafidh Ameir and his delegation at State House Entebbe. We discussed investment opportunities and how the private sector can continue contributing to the growth and development of our two countries.
23
105
2
573
48,747
Samia is getting out of dodge with that fake ass letter 😁 Mmesahau kwa nini walifungia Mwanahalisi?? Nyie mnaona barua ina ma tarehe mara nimemwandikia Rais then what? Anasubiri majibu ama sielewi alafu umakamu unajiuzulu Instagram? 🤣 Nyie! Hii ni panic na script ni worse that Nollywood Eniwei #TutaelewanaTu wanyukane na wauane!
46
105
4
807
122,040