WHITE HOUSE retweeted
Huyu kijana ni Mwenyekiti wa Chaso mkoa wa Mwanza, Manyama eti ameitwa Polisi Mwanza anatakiwa kuripoti saa saba leo mchana.
Msiogope wamebaki na UPUMBAVU wao kukamata na kutisha hawa @tanpol
Ndo maana Chacha alisema Polisi ni mali ya CCM na hakuitwa kujieleza
Ila #TutaelewanaTu
tatizo nimojatu ccm akili zao ziko matakoni huwa hawana watu wenye akili za kutunga hata uongo unao fanania hata pointi kidogo za ukweli sasa unakuja nastori ya kipuuzi hivi @AdvMahinyila anawezaje kumtorosha mtu ambae amesema kama anahatia anyongwe kama hana mumuachie wapumbavu
baada ya matumizi sehemu yake condom huwa ni jalalani tukohapa tunasubiri kelele za kuonewa kutojaliwa zianze
WHITE HOUSE retweeted
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba mniruhusu nilale, nikiamka na drop watoto shule then drop 💣 .
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania. Yani saa 1 usiku fanyeni ku refresh page…..
ISHU NI DIPU!!!!!
Tanzania’s Tundu Lissu deserves the Sakharov Prize.
Facing a possible death sentence amid concerns over the fairness of his trial, the Tanzanian opposition leader remains a courageous symbol of the fight for democracy, human rights and the rule of law.
Hear more from EPP Group MEP @ReinholdLopatka.
WHITE HOUSE retweeted
Hili bango akiliona Kimama na genge lake wanaugua
#FreeTunduLissu
Today, the European Parliament’s Foreign Affairs and Development committees and its Subcommittee on Human Rights will shortlist candidates for this year’s Sakharov Prize. Among the nominees is Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, nominated by the EPP Group.
"Tundu Lissu has been at the forefront of the struggle for electoral reform, political fairness and the restoration of democracy in Tanzania. Despite relentless persecution, he has remained steadfast in his fight. His nomination sends a powerful message of solidarity with democracy defenders around the world and reaffirms our support for their courage and determination," says @ReinholdLopatka MEP, who spearheaded his nomination.
Read more: epp.group/9denr4yj
WHITE HOUSE retweeted
Important: kwa sasa akina Abduli nq Mchengerwa hawana pesa za kuhonga sasa wanawaita UVCCM useless na takataka 😁
Well said Dada wa Taifa 👏🏽
WHITE HOUSE retweeted
Kwa mahali tumefika sasa , pona yetu ni kuitoa ccm madarakani. Hakuna njia nyingine. Tuamke wote kwa pamoja tuseme inatosha. Tuanze kuzungumza kwa vitendo sasa. Wenzetu huko kwingineko wameamua kujipigania ,sisi tuna feli wapi ?
Huyu ndo Jaji Fahamu Hamidu Mtulya ambaye ni mwenyekiti wa muda wa Kamati ya Maadili ya Mawakili waliopanga kuendelea na kikao cha kumvua uwakili Mwabukusi ingawa kuna zuio la mahakama
Amepokea maagizo ya Kimama na mwanaye Abduli na yuko in contempt of
Court! Huyu eti naye ni Jaji 🧐
Hebu leteni faili lake huyu tumsasambue
Tusiogope bali TUPAMBANE 👊🏽
Bila kukaa kinyonge au kwa kulia - push back dhidi ya UOVU
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
#MO29 #TunatokaTena
WHITE HOUSE retweeted
Huyu ndo Jaji Fahamu Hamidu Mtulya ambaye ni mwenyekiti wa muda wa Kamati ya Maadili ya Mawakili waliopanga kuendelea na kikao cha kumvua uwakili Mwabukusi ingawa kuna zuio la mahakama
Amepokea maagizo ya Kimama na mwanaye Abduli na yuko in contempt of
Court! Huyu eti naye ni Jaji 🧐
Hebu leteni faili lake huyu tumsasambue
Tusiogope bali TUPAMBANE 👊🏽
Bila kukaa kinyonge au kwa kulia - push back dhidi ya UOVU
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
#MO29 #TunatokaTena
WHITE HOUSE retweeted
Jaji asalimiwe! 👇🏾
Mwambieni mawazo yenu ila msitukane - we are better than them!
WHITE HOUSE retweeted
📌 Pin this
‼️🚨MARIDHIANO FEKI NOV 7 BAADA YA KUMHUKUMU LISSU NA KUMKAMATA HECHE‼️
Hawa wauaji wa serikali haramu wamepanga uovu unaoenda kuhatarisha usalama na stability ya nchi!
👉🏽 Mwabukusi wamepanga kweli kumtoa na kumfungulia kesi za kipumbavu ila pia kikosi kiko standby kumwua ikiwezekana
👉🏽 TAKUKURU wamepanga wamwite Heche waanze tena ushenzi ule wa mambo ya akaunti yake sijui pesa ili kumwondolea credibility ikifika Nov 7 wamkamate wamweke ndani
👉🏽 Nov 7 wameshaitwa vyama shikizi na yale maboya viongozi wa dini nk waanze MARIDHIANO
👉🏽Lissu anahukumiwa kunyongwa
👉🏽 Wamepanga baada ya hapo watafute team Mwamba waandamane kwa Mbowe wakitaka “akinusuru” chama na arudi ili aipeleke Chadema kwenye maridhiano
👉🏽 Viongozi wa dini wasema kweli wote akina Mwamakula, Kitima, Bagonza, Gwajima wanaenda kuitwa kwenye kamati ya Jaji Lila na kuhojiwa na akina George - ikiwezekana wapewe kesi
👉🏽WanaCCM nao wajipange akina Nchimbi na Madilu same ishu
👉🏽 Wanaharakati tutawindwa tulipo
Na kuna mazagazaga mengine wamepanga ila hizi ndo ndondoo!
Huu ndo mpango wao! Huu si muda wa kuogopa na kukimbia! We have to stand up! Tukirudi nyuma WOTE tumekwisha!
Sisi kazi yetu #WenyeNchiWananchi ni kuelewa TUSIPOTOKA Oct 29 - Nov 6 - #Tanzania is gone! Tanganyika is gone!
Tunaingia kipindi cha giza!
Safari hii hawatoi jeshi bali WANATUPIMA! Tusipotoka watasema Watanzania wameshaufyata watatekeleza haya! This is not a threat but 💯 mpango wao!
Niwaambie Majaji msikubali kupokea maagizo ya Abduli - simameni kwenye haki - you are the Last Frontier
WanaCCM wanaofikiri wako salama - hata mkikaa kimya mtafikiwa
Ewe mwananchi wa kawaida hata kama huna chama utanyukuliwa na kudhulumiwa na haya mashetani na mtakosa wa kuwasemea!
Muda ni huu! This Do or Die! Msiponielewa it is over!
#MO29 #Tunatoka #SamiaMustGo
WHITE HOUSE retweeted
Kama baada ya serikali haram kuwekeza mabilioni ya fedha na kushirikiana na ma influencer wa instagram wameshindwa kukusanya hata Watanzania elfu 5 siku ya leo basi naomba niseme hivi,
HONGERENI WATANZANIA, LEO MMETUTIA MOYO…..
WHITE HOUSE retweeted
Leo natamani hata kufanya video 10 kuwashukuru Watanzania jinsi wamejua kuiheshimisha movement….
Yani ukiondoa zile bodaboda za kulipia na zile gari za kina Bashite yawezekana siku ya leo @HecheJohn alikuwa na nyomi kubwa zaidi kule Moshi Mjini kuliko event iliyofadhiliwa na serikali haram, mabilioni ya pesa kumwagwa na ma influencer haram wa instagram kubeba shughuli.
Pumbav walidhani kujaziana mi comment ya maboti wa CCM kwenye social media ni influence ya ukweli…… Watu wanataka haki bwana…..
Leo naingia kulala moyo mweupeeeeee….. Nikiamka tunaendelea na mapambano but for now lets celebrate serikali haram na ma influencer haram kushindwa kupunguza nguvu ya wananchi kudai haki.
WHITE HOUSE retweeted
Stay strong kaka @Mwabuk2Boniface
Na huyo aliyekushtaki Chacha Nashon asusiwe! Hatutacheka na nyani maana tutavuna mabua na hatuko tayari kwa ujinga huu!
#TutaelewanaTu
TAARIFA KWA UMMA "Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) @TanganyikaLaw























