#NiYeye (@InnocentJLS) header
#NiYeye (@InnocentJLS) profile picture

Jesus is Able

Kiboroloni, Moshi, Tanzania
Joined October 2019
Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)
Ujumbe uwafikie wauwaji wote @Tanzaiite
4
46
1
222
6,541
Sema Sammy Awami naye ana balaa tena zaidi ya Kikeke anajua namna ya kuuliza Maswali kimkakati huku akicheka!! Hii Interview ya TAL Katisha sana 🙌🙌😂
9
23
2
414
15,524
#NiYeye retweeted
PhD inaongea sikiliza.
9
176
2
1,055
17,737
#NiYeye retweeted
Kaka @YerickoNyerereT tuseme ungekuwa ndugu wa Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali, Polepole, Ben Sanane na wengine wengi unaowafahamu. Hawa vifo vyao vilichochewa na NANI? Ungetaka NANI afungwe au anyongwe? Kwa kuwa nakupenda sana, usijiachie sana kwenye masuala haya.
"Katika Vurugu alizohamasisha Tundu Lissu na Wenzake nilipoteza ndugu wawili, unafikiri Nina Maumivu Kiasi gani?"- Yericko Nyerere aliyewahi kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni 2025 Kwa tiketi ya Chaumma.
20
9
2
51
5,822
CHRIST. IS. KING.
78
1,343
33
12,151
126,687
1. Kwa JK pesa ilipigwa, lakini walioipiga hawakuwa na showoff sana, na waliingiza mtaani kwa kiasi na ule mzunguko ukawafikia na wateule wachache. 2. Kwa Banza pesa ilipigwa zaidi kuliko kwa JK, tena ilipigwa kibabe mno, lakini na kikundi cha watu wachache tu. (Push Gang) and a few elites walionunuliwa ku~join the move! Na hapo ndipo kukazaliwa tabia ya #Uchawa as a way ya kukutana na hizo pesa. Lakini hawa hawakuileta pesa mtaani, walibaki na vibunda vyao majumbani na mtaani vyuma vikakaza kweli!! 3. Kwa 🧕 sio tu imepigwa pesa…NO! Ni limemwagika BEGI, kwa lugha nyingine tunasema limeshuka kontena, wahuni tunaliita Teke la Van~Dame!! Bag 💰 hili liko chini ya familia. Hawa sasa wamekuja kitofauti kabisa, kwanza wana show-off, wana~spend mno kwa matumizi yao binafsi na sio uma…. And they don’t give an “F” Yes, hawajali, hawaogopi. Hawa formula yao ni…. You’ll only eat if you’re in their circle. Ukiwa mtaani basi chain hii itakufikia kama tu uko kwenye circle yao na unaongea lugha yao. Kinyume na hivyo wewe ni adui kwao, hutakula na watakushambulia kama adui! Kingine hawa wa sasa ni wakatili sana, as a way ya ku-secure bag lao. #NB Ukatili huu waliurithi kutoka awamu ya Banza, lakini wao wameu-double. Ndio tupo hapo sasa 2026!!! Hatupendi, hatutaki na haikubaliki mpige pesa zetu. Ndio maana tunawakemea!! Lakini basi angalau mkishazipiga msizifanyie matumizi binafsi….zirudisheni mtaani mlisaidie taifa. Fufueni na jengeni viwanda vipya then ajirini maHomeboy wangu walipeni vizuri wazalishe products, huku na wao wanafanya maisha. Degree holders tupo nao kitaa asubuhi tunaendesha TukTuk 🏍️ jioni tuna~bet……….hii sio kweli maisha gani haya!! Jengeni sports academies bora kila mkoa, kuzeni vipaji madogo wapungue mtaani wawe busy na wapate ajira. Kuna mabinti hawapendi kudanga ni dhiki tu na kukosa fursa, wana ndoto, ni wamekosa tu pakuanzia!! Jengeni masoko na mall za kisasa, wapeni vizimba na mitaji waanzishe biashara… wapeni nguvu za kujitafutia Nunueni hata mabus basi special kwa wanafunzi tu, watoto wetu kuwapeleka shule bure, tuwaepushe na changamoto za usafiri, mtatupunguzia wazazi stress…. mbona inawezekana chap kwa tu! Doing so👆mtapunguza sana kelele,lawama hasira na chuki mtaani. And last but not least, msiteke,Msiue,Msifunge wasio na hatia….!!
82
225
7
1,599
87,524
If you fail once, twice, three times, it doesn't matter. Learn from your mistakes and push forward to VICTORY-the sweetest feeling there is!
823
23,506
1,272
78,420
CCM walitaka kukutumia kutangazwa katiba mpya ya uongo tukaondoka ~Mhe. Tundu Lissu
6
61
275
8,422
#NiYeye retweeted
We are deeply sorry for the disruption this incident has caused our customers and partners. We know the trust they place in our services and take that responsibility extremely seriously. We are seeing broad recovery and stability across our services. This was a technical issue not related to cyber or AI / agents. The incident was introduced by an issue during an earlier network capacity upgrade that surfaced following a recent network change. We have addressed the underlying issue and continue to restore service to remaining customers and regions. Given the scale of demand, we restored services gradually, validating stability at each stage. While this took longer, it helped ensure a stable restoration. We will provide a full post-incident report once our review is complete.
7,459
11,917
3,460
70,083
20,627,711
Uchambuzi wa kukera sio kashfa wala uchochezi.
Ishu sio mishahara ishu ni public nuisance Siku hizi watu hawakosoi tena wana kashfu Sidhani kama wanafanya hivyo kwa sababu ya mishahara midogo. Ni bora kuendelea kukosa weledi kwa kigezo cha malipo Michael? Michael Lesen ya Ukocha inahitaji milion mia ngapi?? Mashabiki watatoa maoni kama mashabiki lakini mtu anapoitwa mchambuzi basi tunapaswa kuregulate sekta hiyo
3
2
1
23
3,468
Mauricio Pochettino has agreed to become the Manchester United men’s head coach.

6,162
16,277
6,587
105,657
8,097,882
🚨🚨BREAKING NEWS: Jesus Christ is the Messiah, He died, He rose up again, and He is coming back.
181
1,821
37
19,932
300,217
Full-time. #MUFC || #LIVMUN

15,366
18,987
11,542
80,607
18,110,990
My goat of comedy 😂
17
72
5
505
28,979
LEO NI SIKU YA KUJIUNGA NA CHADEMA KWA ADA YA 3500 KWA MWAKA✌️❤️ Leo tunajoin CHADEMA ili kuwa wanachama wa chama hiki kinachosimamia haki, demokrasia, usawa na utawala bora Kwa kutumia CHADEMA DIGITAL APP, unaweza kuanza safari yako ya kuwa mwanachama wa chama JINSI YA KUJIUNGA KUPITIA ANDROID 1:Fungua Google Play Store kwenye simu yako 2:Tafuta CHADEMA Digital App 3:Pakua na install App rasmi 4:Fungua App na uchague sehemu ya kujisajili (Register/Sign Up) 5:Jaza taarifa zako binafsi kama majina, unapoishi n.k kwa usahihi 5:Fuata maelekezo ya uthibitishaji wa taarifa zako 6:Kamilisha usajili na fuatilia uthibitisho wa uanachama Kumbuka: Tumia taarifa zako halisi na usimpe mtu yeyote OTP au PIN yako Tunahitaji CHADEMA yenye wanachama wengi, wenye uelewa, uzalendo na dhamira ya kuijenga Tanzania yenye haki na demokrasia #CHADEMA #DigitalMembership
9
64
3
139
3,903
#NiYeye retweeted
Mwanamke kama sio wako akikuomba hela usione aibu wala kuzunguka kumwambia huna!!
32
36
7
239
10,233
Happy reborn day kwako kaka Martine Maranja Masese @IAMartin_ Mwenyekiti wa Sera, Ilani na Utafiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani🎂 Nakutakia afya njema, maisha marefu, hekima na mafanikio zaidi katika utumishi wako. Mungu akuongoze na akupe nguvu zaidi. Enjoy your special day kamanda ✌️
12
34
1
169
5,707
Hakuna kocha humu tuambiane ukweli. Carrick alikuwa chaguo sahihi kwa hali ya United ya sasa. Mpeni watu ajenge timu otherwise ni kutapatapa. Hauwezi kuchukua makombe na akina Magwaya, Dalot, Dorgu na Mainoo sometimes tunatakiwa kukubaliana na ukweli.
🚨 EXCLUSIVE: Manchester United finalising deal to appoint Mauricio Pochettino if ultimate decision made to replace Michael Carrick. 54yo lined up & terms being done with camp. #MUFC yet to contact US but straight-forward should plan proceed @TheAthleticFC nytimes.com/athletic/7767421…
33
4
2
123
5,709
Kumekucha wakuu tuamkeni tukapige kazi tulipe kodi ili polisi walipwe mishahara yao na posho zao vizuri wasikose morari ya kazi waendelee kutulinda raia na mali zetu.😊
4
12
139
2,529
DAKTARI Aliyeongea Leo Kwenye Msiba Wa ALUTE MUGHWAI Huyu Hapa. DAKTARI Aliyempokea TUNDU LISSU Akiwa Mahututi Baada Yakupigwa Risasi Nyingi Sana “LISSU Alikua Na DAMU 3” Week Kadhaa Mbele DAKTARI Huyu Akafukuzwa Kazi. Msikilizeni Doctor Akimsimulia TUNDU LISSU Tukio Zima 👇
28
358
9
1,839
93,656