John ジョン (@John6KK) header
John ジョン (@John6KK) profile picture

Marine Biologist||Microbiologist||Marine Conservation||Team #SimbaSC&LiverpoolFC;

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2011
Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)Photo by John ジョン (@John6KK)
John ジョン retweeted
Msikilizeni Makamu wa Rais (Mst.) PHILIP MPANGO ambaye ni MKWELI na MCHA MUNGU SANA. TAASISI ZA HAKI JINAI NI MBOVU jamani 👇
19
177
7
843
34,891
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana kwa hoja hakuhitaji matusi, dhihaka wala chuki. Lissu amekaa gerezani takribani mwaka mmoja na miezi sita, akikabiliwa na kesi ambayo sisi tunaamini ni ya kisiasa na isiyo na haki. Anafahamu yaliyompata na serikali iliyomweka mahabusu. Lakini alipofahamishwa kuhusu msiba wa mume wa Mama Samia, akiwa mbele ya mahakama, alitoa salamu zake za pole kwa wafiwa mara mbili. Huu si unyonge. Hii ni hekima, utu na ukomavu wa kiwango cha juu. Na si mara ya kwanza. Aliwahi pia kumtetea Sabaya katika kesi yake Moshi. Wengi tulishangaa, nami nilishangaa. Lakini nilipomuuliza baadaye, nilielewa kwamba kwake haki haichagui upande. Hilo ndilo fundisho kubwa tunalopaswa kulibeba. Tunaweza kupinga serikali, kudai haki na kupigania demokrasia bila kujenga harakati zetu juu ya chuki na kisasi. Lakini kama tunasema tunampenda Lissu, basi pale anaposema ana pumzi ya kuvumilia mateso na kukaa gerezani, sisi tunapaswa kuchukua kauli hiyo kama mwito wa ujasiri, si ruhusa ya kukaa kimya. Kama tunaamini kesi hii si ya haki, basi viongozi tunanapaswa kuwaongoza wananchi katika hatua za amani, kisheria na kidemokrasia za kudai haki, pengine kwa njia ya maandamano. Sio kwenye keyboard tu na microphone. Demokrasia inahitaji wananchi wanaothubutu kusimama kwa kile wanachoamini. Na kama siku moja tutapata nafasi ya kuongoza nchi hii, tusije tukarudia makosa tunayoyapinga leo. Lazima tutawala kwa haki, utu na dhamira njema. Mimi nitasimama kwenye upendo, utu na haki siku zote ktk kazi hii. Anyway , hekima ya Lissu kutoa pole kwa Mama Samia was a top-class thinking. Inaonyesha kwamba hata unapoteseka, unaweza kuchagua utu, hata unapopinga, unaweza kukataa kisasi. Wakati mwingine Mungu hataki umshinde adui yako kwa chuki, bali kwa upendo, hekima na maisha yenye ushuhuda kwamba uovu wake haukukushinda. Mimi niko tayari kusimama kwa amani na kwa ujasiri. Katika hatua ya kupigania uhuru wa Lissu kuwa nje ya kuta za gereza na sio kusema ana pumzi ya kukaa jela hata maisha. Tuna watu wengi sana Chama hiki , pumzi yetu itoke mtandaoni , fikeni tu hata mahakamani kwa sasa na huku viongozi wakuu watusaidie kutafakari jambo muhimu la haki , sheria na amani. “You don’t have to hate those who hurt you. Sometimes the greatest revenge is to rise above them with peace, dignity, and success.” Thank you !!
806
181
126
1,232
600,670
John ジョン retweeted
🚨 Breaking: This is the best freekick of all time in premier league history
93
197
14
5,636
416,287
John ジョン retweeted
Kataa propaganda za wadharimu Changia CHAMA @ChademaTZ2
1
7
32
1,209
John ジョン retweeted
Tunaposema maeneo kama Tandale, Mlalakuwa, Mabibo, Manzese, Mwananyamala na mengine yajengwe upya, tunamaanisha mabadiliko ya aina hii yanayoonekana kwenye video hapa chini. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba Serikali tayari imeanza utekelezaji wa mpango huu, ambapo pilot study itafanyika katika eneo la Makangira, Msasani. Huu ni mwanzo wa mageuzi makubwa ya upangaji miji na makazi ya kisasa jijini Dar es Salaam na nchi nzima kwa ujumla.
60
22
5
94
23,167
Dubai in 1966
1966, the village they called Dubai.
101
John ジョン retweeted
10/10 kneeslide from Hugo Ekitike. 😮‍💨 teapawt.net/sabzlenka/status/19973…
25
447
6
7,212
131,376
Gyokeres waiting for the ball in the box Martinelli:
89
904
138
6,507
166,119
John ジョン retweeted
16 Year Old Rio Ngumoha has rescued Liverpool against Newcastle on the 100th minute on his Premier League debut. Drink it in.
38
458
3
5,893
96,953
Life
13
118
4
1,355
43,791
Time
17
308
8
2,181
74,068
Karma
4
29
203
18,853
Pray
7
61
3
427
31,742
Looks like another Fernando Torres at his prime
What a start 😮‍💨
2
108
Du du du Hugo Ekitike 💃 teapawt.net/topmiamisurf/status/19…
7
52
5
858
41,290
No more waiting… The 2025/26 Premier League season starts today. 🤩
1,343
12,493
1,821
82,143
2,994,439
Robbie Fowler's 4 minute, 33 second hat-trick against Arsenal in 1994 God
33
126
8
1,484
96,628
Gyokeres waiting for the ball in the box Martinelli:
756
4,862
811
42,071
5,349,700
Which is the right way to receive the body and blood of Christ? Tongue ✅️ Hand ❎️
30
14
6
166
10,120