𝑱𝑺 (@JsMtuPoa) header
𝑱𝑺 (@JsMtuPoa) profile picture

Reasoning is the greatest tool to success 𝓑𝓮 𝓸𝓻𝓲𝓰𝓲𝓷𝓪𝓵..📌

Joined July 2012
Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)Photo by 𝑱𝑺 (@JsMtuPoa)
𝑱𝑺 retweeted
Hivi ni vipi kama dunia tunayoishi na kila kitu ni ndoto. Je ? ungependa tukuamshe au tukuache ulale.
1
1
2
333
𝑱𝑺 retweeted
Hakuna wa kukuwekea njia, Pambana. ipo siku watakuheshima au wataheshimu mafanikio yako.
2
3
5
559
𝑱𝑺 retweeted
Hello Dears♥️ Yes ni kweli unaweza kuja kuwa miongoni mwa walio fanikiwa ikiwa tu utaongeza jitihada zaidi ya ile ulikua nayo jana imani zaidi ya ile ya jana nidhamu zaidi ya ile ya jana kuwekeza zaidi ya jana na kubwa zaidi ujasiri wa kupita pale ulipoogopa kupita jana KAZA💪
26
32
60
1,202
𝑱𝑺 retweeted
Hello Dears♥️ Kama vile ambavyo hakuna anaeweza kuzuia jua lisichomoze kadhalika kwako pia hakuna anaeweza kuzuia kufanikiwa kwako ikiwa Mungu ameruhusu ufanikiwe hivyo usiogope vikwazo pambana na uwe na imani kuwa siku yako itafika tu🙏 KAZA MWANANGU💪😍
21
30
1
51
840
𝑱𝑺 retweeted
Usidate na broke girl,.. Wapo kutatafuta , siku una anayeya. 📌
1
2
937
Mwanaume anaejitafuta hujinyima raha za leo ili kufanikisha malengo ya Kesho✍
23
32
67
883
𝑱𝑺 retweeted
Oya kaza hapo hapo.. Hata kama umekosea. Fumanizi we kataa atakama huko na mtuhumiwa Usikubali. Ikiwezekana Jikatae hata wewe, "sema sio wewe" 😬
1
6
421
𝑱𝑺 retweeted
Kwa maneno machache USHAMBA NI NINI? ...
1
1
1
497
Kuna jamaa kapita na ist hapa karume anataka vichwa vya mbezi buku mbili mbili 😂😂😂 @munyamambogo @EsirEid @EngMapundajr @JsMtuPoa @The_Real_Kivuyo
2
5
247
𝑱𝑺 retweeted
Hizi nyakati zilikuwa nzuri sana 😀
9
6
1
37
1,407
𝑱𝑺 retweeted
Huyu jamaa alipata followers 10k kwa masaa 24 alafu akapotea alipeleka sana moto hile siku 🙌🙌😁😁
48
27
7
450
60,269
𝑱𝑺 retweeted
Assume wangefungulia X afu ipigwe semina moja elekezi ya vijana kulipia bluetick na kuanza kuzalisha contents ili kuyafukuzia maokoto ya Elon Musk na tukashambulia kama manyigu. Trust me huenda malalamiko ya maisha magumu kwa vijana yangepungua kwa kiasi fulani.."Nipo ndotoni😀
23
24
81
1,260
𝑱𝑺 retweeted
Good morning tweet isikufanye ujione celeb 😂
33
42
94
886
𝑱𝑺 retweeted
Leo jumamosi watu wapo free wanachezea tu simu zao wagonga ulimbo tuinuane kuyafukuzia maokoto ya mjomba Elon Musk. Hakikisha unafollow back kwa pamoja tutaweza kuyapata🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀
44
24
69
991
Umasikini si hukumu ya maisha—ni hali inayoweza kubadilika. Kuwa mtu anayeshikika: jiamini, chukua hatua, na usikate tamaa. Mabadiliko huanza na wewe leo. #PambanaNaUmasikini #Jiamini Good morning friends
25
32
59
908
𝗟𝗢𝗖𝗞 𝗦𝗖𝗥𝗘𝗘𝗡 | 𝗛𝗢𝗠𝗘 𝗦𝗖𝗥𝗘𝗘𝗡 𝗪𝗔𝗟𝗟𝗣𝗔𝗣𝗘𝗥 𝗧𝗛𝗥𝗘𝗔𝗗 𝗟𝗘𝗧'𝗦 𝗚𝗢
29
54
70
1,935
Chezea mwili wa mtu uchezeavyo ila kuwa makini usije ukacheza na maisha yake maana wengine ni tegemeo kubwa sana kwenye Familia.
27
46
1
131
4,086
𝑱𝑺 retweeted
Usichoke kunawatu bila wewe leo na kesho yao itakuwa changamoto. Pambana maana wanakuamini usije waangusha.
2
9
19
413
𝑱𝑺 retweeted
Good morning family
2
2
6
224