Pinned Tweet
Huyu @henryimani_ anapaswa pongezi nyingi chapa retweet hapa katuulia hili jinga vizuri kabisa๐ฎ๐ฎ
Deo Mwashota retweeted
Hebu nisaidieni kucheka jamani, ila hawa wauza furniture uchwara tunaowaokota mitandaoni na kutaka kuwasupport eti kisa marafiki zetu na tuna ukaribu nao wanajuaga sana kutudissapoint๐
Nlitaka sofa frame 1 na nikainsist sana kwamba iwe hivyo akanambia nimpe 850k uhakika (YAANI NLITAKA SAME EXACT DESIGN HADI RANGI) mind you mwanzo budget ya sofa ilikua 780k akasema siezi pata hiyo design kwa 780 niongeze hela bila shida nikaongeza hadi 850k
Sasa nkaa nashangaa mtu anainsist kunitumia vitu bila kutuma picha, kheee si ndo nmforc picha natumiwa huo utumbo๐น
Haya hebu niambirni hiyo frame two na huto tumito ndo nini๐ mi hapa hadi badala ya kukasirika nmebidi nicheke kwanza๐น๐น๐น
Hivi hatakama nna gubu hiyo frame 2,3 na 4 ni sofa ya LAKI NANE NA NUSU HIYO?!
๐๐๐๐MKISUPPORTIWA HEBU SAPOTIKENI JAMANI MNATUPA WAKATI MGUMU
Deo Mwashota retweeted
๐Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali๐ฅฐ
๐ Size S,M,L,Xl,& XXL
๐Bei 35,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
๐Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Deo Mwashota retweeted
Mwanamke anayekuweka kwenye maombi yake kila siku ni wa muhimu sana kuliko yule anaekuweka status kila siku.
Deo Mwashota retweeted
Mwanaume anayeona kila kitu lakini akajifanya hajui chochote, ni mtu wa hatari sana
Deo Mwashota retweeted
ili Uishi na Watu vizuri Unatakiwa kuishi nao kutokana na Level zao za Akili ๐
Deo Mwashota retweeted
Nimeamua Kumsupport Marioo Kwa ku stream Nyimbo yake Mpyaa kwenye PS5 Yangu nilionunua Cash Bila Dhulma.!!

































