Juma retweeted
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨
Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
Juma retweeted
Ninawashukuru wananchi wa Arusha kwa mapokezi mazuri mliyonipa nilipowasili mkoani hapa kwa ziara ya kikazi.
Mwakani, Arusha itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Wito wangu kwenu ni kuendelea kudumisha amani na utulivu, kuhakikisha mazingira yetu yanakuwa safi na kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazotokana na mashindano hayo.
Juma retweeted
Kuna namna watu wapo ndani wanaamini huko nje ni kampeni moja kali sana ya kuwapambania, kumbe huku nje watu wapo busy na mambo yao washasahaulika
Tajiri Mswahili sana 😂😂😂, Mzee Mangungu ashikilie hapohapo. Huu uwekezaji wa hovyo FCC ipo na wanachukulia poa.
Baadhi ya Wanachama na mashabiki wa klabu ya Simba wamefika ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF), wakiwa wameshika mabango yenye ujumbe, kupinga Kamati ya Uchaguzi ya TFF kusimamia Uchaguzi wa Klabu ya hiyo.
#KitengeSports
25
Juma retweeted
Katika azma ya kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kujenga uelewa na uamuzi wa pamoja kuhusu masuala ya nchi yetu, leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tumekuwa na mazungumzo yenye tija kuhusu namna bora ya kusonga mbele katika mchakato wa Maridhiano na hatimaye Marekebisho ya Katiba, kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.
Enzi za ukoloni Babu zetu walipinga ukoloni na kutumikishwa mashambani kwa kuchemsha karanga na kwenda kuzipanda. Enzi za ukoloni huyu Bwana angeonekana shujaa sana, ishu ni nyakati
Jamaa ajalipwa hela zake na mchina miezi mitatu anamueleza huyo boss Nipe hela huyo mchina anamjibu unachakunifanya angalia Mtanzania alichokifanya 🙆🏾
32
Juma retweeted
Sehemu ya hotuba yangu mapema leo nilipowaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Pamoja na mambo mengine, nimewaelekeza kuimarisha ulinzi wa haki za wananchi, kushughulikia malalamiko yao yanayohusu ukiukwaji wa misingi ya utawala bora na masuala ya kazi, pamoja na kulinda maslahi ya nchi yetu.
Watu ambao Kufanya Diet kunawashinda ndo wagome kula 😂😂😂, nyie CHADEMA mmekosa sera wenetu kwa sasa mnatafuta huruma. Muda wa huruma ulishaisha, kwa sasa "huruma sio malezi"
15
Juma retweeted
Waandishi waandamizi kumbe nao waliona shida mapema, naomba Mungu atuvushe kwenye hili kwa kweli ila haki itendeke.
Juma retweeted
Na kweli hawashindwi maana wana nongwa 😅 ila Madam President yupo timamu 24/7
Juma retweeted
My Vice President - Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru katika Uwanja wa CCM Nelson Mandela Manispaa ya Sumbawanga leo Oktoba 14, 2026.
Juma retweeted
Leo tunapoadhimisha Kumbukizi ya Miaka 27 tangu Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tunajivunia urithi wa tunu za Taifa: amani, umoja na mshikamano alizozijenga na kuturithisha.
Ni wajibu wetu sote kuendelea kutunza, kuenzi, kuishi na kurithisha misingi hiyo kwa vizazi vijavyo kwani ndio nguzo muhimu katika kujenga na kuchochea maendeleo ya Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Juma retweeted
ُلِ ٱللَّهُمَّ مَٰلِكَ ٱلْمُلْكِ تُؤْتِى ٱلْمُلْكَ مَن تَشَآءُ وَتَنزِعُ ٱلْمُلْكَ مِمَّن تَشَآءُ وَتُعِزُّ مَن تَشَآءُ وَتُذِلُّ مَن تَشَآءُ ۖ بِيَدِكَ ٱلْخَيْرُ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَىْءٍۢ قَدِيرٌ
Qur’an 3:26 — Āl ʿImrān
Juma retweeted
🇵🇸🇹🇿 “Tanzania is deeply concerned and saddened by the protracted conflict and humanitarian suffering in Gaza and across the Middle East. We continue to call for the protection of civilians, unhindered humanitarian assistance, and renewed diplomacy towards lasting peace.
Tanzania remains firmly committed to the two-state solution, with Israel and Palestine living side by side in peace and harmony in accordance with international law and relevant UN resolutions. We reaffirm the right of the Palestinian people to self-determination and believe that lasting peace must guarantee dignity, security, and legitimate aspirations of both peoples. We have been consistent on this for the past 50 years. For us, this is a matter of our foreign principles.”
Mtani kelele zote za kutuambia tupiganie kitabu kipya kumbe yeye alikuwa anataka karata tatu 😂😂😂😂.
1
25



















































