Juma (@Jumsyd255) header
Juma (@Jumsyd255) profile picture

Yanga S.C| Chelsea| Green is the Colour of Heaven

Tanga, Tanzania
Joined August 2015
Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)Photo by Juma (@Jumsyd255)
Juma retweeted
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨ Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
55
318
50
1,187
104,405
Welcome to the capital city of AFCON 2027. Dar Es Salaam yetu hakuna matata 😁.
21
49
3
269
10,867
Ninawashukuru wananchi wa Arusha kwa mapokezi mazuri mliyonipa nilipowasili mkoani hapa kwa ziara ya kikazi. Mwakani, Arusha itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Wito wangu kwenu ni kuendelea kudumisha amani na utulivu, kuhakikisha mazingira yetu yanakuwa safi na kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazotokana na mashindano hayo.
71
162
11
869
49,580
Kuna namna watu wapo ndani wanaamini huko nje ni kampeni moja kali sana ya kuwapambania, kumbe huku nje watu wapo busy na mambo yao washasahaulika
6
7
2
31
2,956
Katika azma ya kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kujenga uelewa na uamuzi wa pamoja kuhusu masuala ya nchi yetu, leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam. Tumekuwa na mazungumzo yenye tija kuhusu namna bora ya kusonga mbele katika mchakato wa Maridhiano na hatimaye Marekebisho ya Katiba, kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.
141
105
14
298
44,846
Kipenzi cha watanzania🇹🇿😊
114
42
13
210
22,834
Sehemu ya hotuba yangu mapema leo nilipowaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Pamoja na mambo mengine, nimewaelekeza kuimarisha ulinzi wa haki za wananchi, kushughulikia malalamiko yao yanayohusu ukiukwaji wa misingi ya utawala bora na masuala ya kazi, pamoja na kulinda maslahi ya nchi yetu.
46
96
1
254
24,877
Ni siku nyingine ngumu sana kwa wakazi haramu wa Nairobi.... 😂😂😂😂😂😂😂😂
3
6
18
2,188
Waandishi waandamizi kumbe nao waliona shida mapema, naomba Mungu atuvushe kwenye hili kwa kweli ila haki itendeke.
5
11
1
51
9,366
Na kweli hawashindwi maana wana nongwa 😅 ila Madam President yupo timamu 24/7
Replying to @ManLikeFrey
Watakuja waseme mbna kapigwa picha za mbali 😅😅
1
2
11
467
My Vice President - Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru katika Uwanja wa CCM Nelson Mandela Manispaa ya Sumbawanga leo Oktoba 14, 2026.
2
11
19
665
Leo tunapoadhimisha Kumbukizi ya Miaka 27 tangu Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tunajivunia urithi wa tunu za Taifa: amani, umoja na mshikamano alizozijenga na kuturithisha. Ni wajibu wetu sote kuendelea kutunza, kuenzi, kuishi na kurithisha misingi hiyo kwa vizazi vijavyo kwani ndio nguzo muhimu katika kujenga na kuchochea maendeleo ya Taifa letu. Mungu Ibariki Tanzania.
77
125
3
370
29,089
ُلِ ٱللَّهُمَّ مَٰلِكَ ٱلْمُلْكِ تُؤْتِى ٱلْمُلْكَ مَن تَشَآءُ وَتَنزِعُ ٱلْمُلْكَ مِمَّن تَشَآءُ وَتُعِزُّ مَن تَشَآءُ وَتُذِلُّ مَن تَشَآءُ ۖ بِيَدِكَ ٱلْخَيْرُ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَىْءٍۢ قَدِيرٌ Qur’an 3:26 — Āl ʿImrān
14
17
2
61
19,625
🇵🇸🇹🇿 “Tanzania is deeply concerned and saddened by the protracted conflict and humanitarian suffering in Gaza and across the Middle East. We continue to call for the protection of civilians, unhindered humanitarian assistance, and renewed diplomacy towards lasting peace. Tanzania remains firmly committed to the two-state solution, with Israel and Palestine living side by side in peace and harmony in accordance with international law and relevant UN resolutions. We reaffirm the right of the Palestinian people to self-determination and believe that lasting peace must guarantee dignity, security, and legitimate aspirations of both peoples. We have been consistent on this for the past 50 years. For us, this is a matter of our foreign principles.”
157
457
78
1,871
376,795
Tupate kifungua kinywa wakati tunasubiri mtanange wa bwana Charles na Katuga. Hivi punde tunawaletea mtanange mwanzo mwisho. Kaa karibu.
2
10
29
3,648
Deeply saddened to learn of the passing of President @SuluhuSamia’s husband, Hafidh Ameir. My heartfelt condolences to the President and her family during this very difficult time. On behalf of @WHO, we stand with them in sympathy and sorrow as they mourn their loss.
12
42
1
116
25,645
Moja ya PRESS NGUMU sana ambazo zilizowahi kufanywa BWANA CHUGA ni hii, waliokuwepo Makao Makuu hii Siku alipolitaja jina la Lowassa wote walikimbia hadi waandishi alibaki yeye na hizo MIKE tu.
6
9
180
38,609
HERE WE GO!
288
1,691
263
12,568
712,769
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema wanaheshimu nafasi waliyotumikia wazee kwa taifa, lakini wasiwapangie kufanya majukumu yao.
10
5
2
73
16,868
Kamati Kuu ya CHADEMA Bara itakutana kesho na wanaweza kuitisha kitimoto roast kama lunch, na mambo yakaenda kwa jinsi ambavyo hawana religious balance kwenye Kamati Kuu yao. Wale wazenji wasipoibuka mdudu analiwa fresh tu.
2
16
27
1,029