CHINANGALI DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishiriki hafla ya uzinduzi wa Mashamba ya Block Farm Dodoma kama mgeni rasmi ambapo amekabidhi magari na baadhi ya mitambo kwa tume ya taifa ya umwagiliaji kwa lengo la kujenga miundombinu wezeshi kwa ajili ya
Hichi kilichofanywa na viongozi wa dini kupinga Ushoga ndiyo inatakiwa iwe hivi kwa CHADEMA, @TunduALissu na wengine.
Haiwezekani viongozi wa dini wapinge ushoga halafu Lissu na wenzake wanausapoti
59
Hivi Bambucha kaziona hizi taarifa maana hakawiagi kununa yule 😀😀.
Basi atuoneshe na yeye nguvu yakez anayoitumiaga Twitter imemsaidia nini 😀
WABUNGE 19
"Kuhusu Wabunge 19 ambalo liko Mahakamani tuachie Mkondo wa Mahakama uendelee kisha tutazame yanayokuja" - Rais @SuluhuSamia
16
Nchi hii inavurugwa na huyu @TunduALissu anachojali maslahi yake binafsi.
Amejipanga kurudi Ubelgiji akatetee ajenda zake za ushoga na kuomba kibali cha kuishi milele Ubelgiji.
Huyu Mtu atakua na na Uchungu kweli na Watanzania
KOMANDO retweeted
WANAFUNZI VYUO VIKUU DAR ES SALAAM WAMSHUKURU RAIS SAMIA, KUONGEZA PESA YA KUJIKIMU
KOMANDO retweeted
WANAFUNZI VYUO VIKUU DAR ES SALAAM WAMSHUKURU RAIS SAMIA, KUONGEZA PESA YA KUJIKIMU
Wanafunzi wa Tasnia tofauti kutoka Vyuo mbalimbali jijini Dar es salaam, wamepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaongezea pesa zao za kujikimu hadi kufikia Shilingi Elfu 10 kwa siku.
KOMANDO retweeted
Viongozi wa Wanachuo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa niaba ya Wanachuo wote wamempongeza sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa maamuzi ya kuwaongeza kiwango cha pesa za kujikimu (Boom) kutoka Tsh 8,500
KOMANDO retweeted
Hivi hawajamaa wataacha kuwa ombaomba lini, kila siku michango juzi,lissu kasema ameamua kurudi nyumbani kwasababu aliishiwa pesa alizonazo Watanzania waliacha kumchangia ...kwahiyo aliwafanya Watanzania kitega uchumi sio ?
KOMANDO retweeted
Ila kweli huyu mama amenifurahisha kweli japo pia kaongea ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
#Sisitumekubali



























