Lema amenusa hatari lakini Heche ameamua kunusa uenyekiti wa CHADEMA kwa gharama ya Tundu Lissu kuendelea kukaa jela, Heche anatumia matatizo ya Lissu kutaka kufanya Mapinduzi dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Hatuwezi kusahau jinsi Dodoma ilivyokuwa pori, Asante sana Rais Samia Suluhu Hassan leo Dodoma ni jiji! Karibuni Mtumba. #KaribuMtumba
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mijitu mizima isiyo na wake ni shida sana
Kitendo cha kanisa katoliki kukusanya watu kanisani kwa kile walichosema ni kuwahifadhi halafu wakaaita wahuni na kuwachinja kinyama watu wale kilikua kitendo cha kikatili sana
Katoliki kuchochea ukatili ni jambo ka kawaida sana
Hivi ni nani aliewaambia kwamba leo kutakua na mabomu?
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Replying to @mangekimambi
@mangekimambi @MariaSTsehai @ChademaTZ2 @HecheJohn mmeona Watanzania halisi walivyo?? Hao ndo watanzania sasa ambao kazi kubwa ni kusikiliza na kupuuza, kukuaminisha kwamba tupo pamoja na wewe lakini kiuhalisia wanakung’onga kisogo…
Mmetumia kila aina ya utapeli na uongo kuwaaminisha kuwafanya watoke tena jana trh 29 lakini wamekataa ni kwasababu wamechagua Amani badala ya vita, busara badala ya matusi yaani hao ndo watanzania
Bila Shaka mmepata la kujifunza kutokea hapo mapambano yenu ya X, Instagram, TikTok huko kukesha live na wanaharakati uchwara mkaamini kabisa kwamba watu jana wangetoka ooh🤦🏿
Kanisa Katoliki halijaanza jana mjue na haliendeshwi na mihemko ya wanaharakati Kama ambavyo @ChademaTZ2 wamesahau Kama wao ni Chama cha siasa wana sera, ilani zao wamekubali kuwa Mbuzi wa Mange na Maria wanachotaka wao na wao ndo wanafanya 😀😀 misa imefanyika na hayajatokea mliyotaka yatokee pyee 😝😝
Tafuteni tu kazi za kufanya maana Hakuna Mtanzania anayeweza kuwasikiliza tena wakati nyie hata mlipo hamjulikani… Huyo bibi wa Taifa aendelee tu kulambaaa koni za wazungu na wewe endelea kuosha makalio ya wazungu 🤣🤣🤣🤣
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Dodoma ilitangazwa kuwa makao makuu miongo kadhaa iliyopita, lakini utekelezaji kamili umeonekana kwa kasi katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia, kuanzia Ikulu ya Chamwino hadi Mji wa Serikali Mtumba. Hii ni hadithi ya ahadi iliyogeuka kuwa kitendo kinachoonekana na⤵️
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Maskini Wanaharakati Wanatia Sana Huruma Leo Baada Ya Mipango Yao Kufeli,
Unawaamini Wa Tanzania Ni Sawa Na Kumdhami Shuka Mmasai 😂🫵
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mamilioni ya wakatoliki wakiwa njiani jijini Arusha wakiwa wamepanda bodaboda na bajaji wakielekea kwenye Kanisa la FR KITIMA kushiriki Misa takatifu iliyotangazwa na itafanyika leo, hakika FR. KITIMA anapendwa hadi waumini wengi wanajitokeza hadi Kanisa linakaribia KUPASUKA
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Kuna watu wanahisi nalibeza Kanisa Katoliki HAPANA mimi nina shida na FR Kitima, mzee analiingiza Kanisa kwenye siasa imagine Kashawishi Maaskofu wafanye ibada Alhamis ilhali sio siku ya Ibada, ibada maalum huwa zinafanyika Jumamosi na Siku za sikukuu kwenye Jumuiya na Parokia.
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Yani eti nikae, nianze kuwakumbuka na kuwalilia hawa wezi wa mitungi ya gesi kmmke zao🚮
John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye Sababu Kuu ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Kunyongwa mpaka Kufa
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Serikali awamu ya sita yafanikiwa kuongeza Idadi ya Hospitali nchini
Idadi ya hospitali nchini Tanzania imeongezeka kutoka 404 mwaka 2021/22 hadi 475 kufikia Machi 2026, hatua inayoonesha kuimarika kwa miundombinu ya afya. Serikali sasa ina Hospitali 28 za Rufaa za Mikoa, huku hospitali 10 mpya za Rufaa za Mikoa zikijengwa na hospitali kongwe 50 zikifanyiwa ukarabati. Hatua hizi zinaongeza upatikanaji wa huduma za afya na kupunguza umbali kwa wananchi wanaohitaji huduma za kibingwa.
simpleetz™🇹🇿 retweeted
MAREKANI YAPUNGUZA ONYO KWA SAFARI ZA TANZANIA. YATHIBITISHA NI SALAMA.
Serikali ya Marekani imepunguza kiwango cha onyo kwa wasafiri wanaokuja Tanzania kutoka kiwango cha 3 (Fikiria Upya Safari) hadi kiwango cha 2 (Chukua Tahadhari), kuanzia tarehe 16 Oktoba 2026.
Hatua hii imekuja wakati sekta ya utalii nchini Tanzania ikirekodi mapato ya dola za Marekani bilioni 4.41 mwaka 2025.
simpleetz™🇹🇿 retweeted
HIFADHI YA DHAHABU YA BENKI KUU YA TANZANIA YAFIKIA TANI 28
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeongeza kwa kasi hifadhi yake ya dhahabu kupitia mpango wa ununuzi wa dhahabu nchini. Kufikia Julai 2026, BoT ilikuwa imenunua na kuhifadhi takribani tani 28 za dhahabu, zenye thamani ya takribani dola bilioni 3.68, sawa na Sh trilioni 9.76 kwa thamani ya wakati huo. Mpango huo unalenga kuongeza na kutofautisha akiba ya taifa ya fedha za kigeni, huku dhahabu ikiwa sehemu ya akiba rasmi ya nchi.

























