
#Hydrogeologist #WaterWelldrilling Expert #TawaWaterProffesional #OwnerTawaWaterProffesional #CbeAllumn #WaterInstituteAllumn #SimbaSc #LiverpoolFc
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2019
- Tweets84K
- Following15.1K
- Followers43.2K
- Likes62.8K
Simba Madevu retweeted
Unamwambia mtu wa pembeni yako kwenye daladala, fungua disrisha anafungua alafu anaibiwa simu..
Oyaa..😂😂🙌🙌
Simba Madevu retweeted
TAWAP
Bei za Uchimbaji wa Visima na Underground water survey.
Uchimbaji Dar & Pwani ni Tshs 90,000/= kwa mita moja
Uchimbaji mkoani ni Tshs 145,000/= kwa mita moja
Survey Dar & Pwani ni Tshs 250,000/= hadi Tshs 500,000/=
Please Retweet
0689 150 968
0764 418 248
0625 557 395
Simba Madevu retweeted
Ladies let’s normalize not calling these men our husbands until they’re in fact our husbands. Au nisiwashauri mna mipango yenu?
Simba Madevu retweeted
And then there's @Arsenal .🤪
Simba Madevu retweeted
BARUA YA WAZI KWA DADA ZETU.
Najua wengi wanachukia account hii lakini sometimes acha Injiri itembee.
Dada yangu kipenzi Unapokuwa umefikia umri wa miaka 25 na haujaolewa.
Achana na ujinga wote umeokua ukifanya au unaoufanya.
Simba Madevu retweeted
UKOMBOZI WA UUME KUSINYAA AU KULEGEA WAKATI WA TENDO (ERECTILE DYSFUNCTION).
Uzi🧵Tuone, Chanzo cha tatizo, Dalili, Uchunguzi wa tatizo Na Ushauri tiba kwa siku 90 za kufunga mwaka.
👇
Simba Madevu retweeted
Natamani kufanya jambo kwa wengi waliokosa fursa hii ya watu wachache.
Ndugu zangu, hakuna wakati ambao nimepokea DM nyingi za maombi ya kazi kama wakati huu. Mpaka leo ni zaidi ya Maombi 300.
Kwa bahati mbaya, fursa hii ilikuwa ni Kwa nafasi chache.
Binafsi Natamani niwafanyie Workshop Training ya kuwawezesha kupata Ujuzi mbalimbali BURE!! Kwa kushirikiana na rafiki zangu tunaofanya Trainings mbalimbali ktk jamii yetu.
Ninaomba WADAU ambao wako tayari kusapoti kwa kulipia UKUMBI na gharama za uendeshaji, tuwasaidie hawa vijana wa Kitanzania.
Hata kama ni Taasisi inataka kudhamini, Mtu Binafsi au Shirika naomba tuwasaidie Watanzania hawa. Binafsi nikiwaangalia Roho inaniuma. Unashindwa umchukue yupi na umuache yupi.
Kama Kuna mdau yupo tayari, tafadhali nichek DM au kwa WhatsApp no 0748127173
Tulijenge Taifa letu, Tukuze UCHUMI na USTAWI wa Kila mmoja.
@neec_uwezeshaji
@ahmedsalimasas @moodewji
Simba Madevu retweeted
Mwili wa Mfanyabiashara maarufu wa madini Mkoani Arusha Christian Temu umeshindwa kuzikwa katika Kata ya Moshono Mkoani Arusha licha ya taratibu zote za mazishi kukamilika ikiwemo kaburi kuchimbwa baada ya Mke wa Marehemu aitwaye Yasinta Kilawe, kwenda Mahakamani na kuweka zuio la Mumewe kutozikwa kwa madai ya kutokushirikishwa kwenye taratibu za mazishi.
Mwanamke huyo alipeleka maombi hayo madogo na kuweka zuio hilo Mahakamani kupitia Mawakili wake hadi hapo pande zote mbili zitakaposikilizwa na kufikiwa mwafaka.
Ripota wa Ayo TV Arusha ameripoti kuwa katika msiba huo kila kitu kilikuwa kimeandaliwa lakini Waombolezaji kutoka sehemu mbalimbali wamelazimika kuondoka hadi watakapotangaziwa siku nyingine ya maziko.
#MillardAyoUPDATES
Simba Madevu retweeted
IRAN Waangushe Hizi ICBM Kama Tano Hivi Pale ISRAEL Wamalize Kazi. Au Iran Hawana Hii Mizigo? @NjiwaFLow
Simba Madevu retweeted
Hii ya Iran na Israel sijaielewa ila ntaiba muda wangu niielewe,hata Lee akiniuliza siku moja nimueleweshe shida ni nini
Simba Madevu retweeted
Dem akikupenda, atapambana kwa nguvu zote ili akupate, wanambinu kali ya kumpata mwanaume kuliko hata wanaume walivyo na uwezo wa kutongoza demu. Hatokuonyesha greenlights pekee lazima atafanya ata mawasiliano yawe ya hisia sana juu yako bila hata aibu, siku mtakapopendwa mtaona.
Simba Madevu retweeted
Alipewa nafasi ya kuchezea timu ya taifa ya Ubelgiji pamoja na kina KDB na Lukaku, yeye akachagua DR Congo. Kinda mwenye miaka 22 aliyezaliwa 2002 Ila mwenye kipaji sawa na muunganiko wa Vinicius na Saka. Mpanzu Elie Nkibisawala ametangazwa rasmi SIMBA. Tupewe makombe yetu mapema
Simba Madevu retweeted
Hakuna ajuaye kesho yake,
Hakuna ajuaye kesho ya mwenziwe,
Kwahiyo, Tuishi kwa kuheshimiana.
Let Love Lead.
Good morning all!
Simba Madevu retweeted
Supervisor wangu nilipokuwa nasoma yeye ndiye alikuwa ana- submit papers zetu. Paper yetu ikiwa rejected, alikuwa ananiambia YOUR paper was rejected. Paper ikiwa accepted anasema, OUR paper was accepted. Hiyo ilikuwa South Korea, siyo Bongo. Ugonjwa wa supervision ni global. The earlier you know that the better.
One more thing, hakuna supervisor duniani ambaye hayuko bize.
Simba Madevu retweeted
Ni hatua nzuri sana, ningeshauri huu usafiri uwe wapatiwe viongozi wetu kwanza wautumie wakati sisi tunajitafuta
Simba Madevu retweeted
Sema Mambo Yakiwa Magumu Sana Naingia Kwenye Maswala Ya Utabiri. Maana Miaka 13 Ilyopita Nilitoa Wimbo Wa RIDHIWANI Amfikishie Mzee Ujumbe Juu Ya Changamoto Zetu Wananchi Na Ujumbe Ulifika Leo Hii RIDHIWANI Ni Mbunge Na Waziri Kweli Ulimi Unaumba 😂💪🏿



























