Magunguli retweeted
Ni mara 100 tutawaliwe na wakoloni weupe kuliko nyinyi wakoloni weusi.
Wakoloni weupe hawakuwa na ukatili wa aina hii kwa Watanzania. Nyinyi wakolosi weusi mnatuchukia Watanzania kuliko hata Wakoloni weupe walivyotuchukia.
Kina Nyerere hawakupitoa hata robo ya mateso wanayopitia kina Lissu kwenye kudai haki. Yani wakoloni weupe walikuwa na huruma kuliko nyinyi Wakoloni weusi….
Think about that…..
Nyerere hakupitia robo ya mateso kwa Wakoloni weupe kama Lissu anayopitia kwa wakoloni weusi….
Na niwaambie tu nyie CCM, muulize binadamu yoyote nini inauma zaidi? kunyanyaswa na mtu baki au kunyanyaswa na ndugu yako wa damu?
Ukinyanyaswa na mtu baki kidogo unaelewa why anakunyanyasa ila ukinyanyaswa na ndugu yako huwa inauma mpaka kwenye maini, mateso ya ndugu yauma.
Acha hao Wakoloni wa mbali waje kututawala maana nyinyi Wakoloni wa nyumbani ni mashetani zaidi…..
MBEYA: Kauli hiyo imetolewa Novemba 20, 2026 na Jaji Mkuu, George Masaju, alipokuwa akifungua Kongamano la kuliombea Taifa.
Fuatilia zaidi jamii.app/KutawaliwaNaWakolo…
#JamiiForums #Demokrasia
Magunguli retweeted
Msikilize kwa makini Huyu Bibi!
Tulimuondoa Muingereza mwenye silaha tukiwa mikono mitupu iwe CCM?
Magunguli retweeted
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa.
Tusikubali Heche akawa demoralized.
Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa.
Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
Magunguli retweeted
MARIDHIANO BILA KUTAMBUA CHANZO CHA MPASUKO NI KUJENGA NYUMBA JUU YA MSINGI USIOJULIKANA” - Suleiman DM
@bongozozo_tanza
Magunguli retweeted
Mwanaharakati ninamuengelea ni huyu.
Huyu ndio mwanaharakati alieona kifo cha Angel.
@UHURU12345
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel…….
KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi…..
Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki…..
Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania.
Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano.
Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
Magunguli retweeted
Kilimanjaro: Dereva wa Jeshi la Polisi, SSGT Hussein Rashid aliwaasa madereva wanafunzi wa jeshi hilo kuwajibika, kuwa na nidhamu, kuzingatia ubinadamu na kutoendeshwa na madaraka waliyonayo wanapokuwa barabarani akitolea mfano uzoefu wake wa kuwaendesha viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi toka mwaka 1992 bila kupata ajali barabarani.
Hussein aliyasema hayo Novemba 17, 2026 katika shule ya Polisi Moshi, kambi ya Kilelepori wakati wa mafunzo ya udereva yanayosimamiwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi jamii.app/PolisiHusseinRashi…
#JamiiForums #Utawala #Governance #Uwajibikaji
Magunguli retweeted
Sijawahi kuona kesi iliyo na ushahidi mwingi na wa kutosha kabisa na iliyo na vigezo vya kufungulia mashitaka, kama haya mauaji yaliyofanywa na Samia.
ICC wasipowafungulia mashitaka wauaji wa Oktoba 29, hiyo mahakama itakuwa haina maana kabisa.
Magunguli retweeted
Replying to @joeselasini
Rent seeking wamejaa Tanzania. Hakuna Entrepreneurs Bali Rent Seeking bongo
Magunguli retweeted
Mauaji ya Oct 29 yalitokea kimzaamzaa. Watawala walig’ang’ana na October tuna✅. Wakiambiwa miaka 4 kabla tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi la sivyo wasogeze mbele uchaguzi ili hayo yapatikane kwanza . Hawakusikia naKilichotokea kama hawajajifunza kwacho!
Magunguli retweeted
Pole pole alisha toa CODE MAPEMA kuhusu maridhiano. kiufupi jamaa alikuwa anaelewa kila kitu kitakacho kuja kutokea 🔥🔥🔥🔥🙌🏾 TRUE HERO
Magunguli retweeted
Kila mtu anashangaa nchi imefikaje hapa !!
Ndipo watu wanasema JK hakuna kitu alikuwa anamuogopa Mkapa ndani ya CCM na kulikuwa na miamba ndani ya CCM nyakati hizo
Mkapa aliwahi kudai #KatibaMpya kama Warioba
Leo angetekwa kama Nchimbi


















