Mapung'o retweeted
RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA DUNIA COP31
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31).
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Maonesho cha Antalya (Antalya Expo Center), nchini Uturuki siku ya leo tarehe 11 Novemba 2026.
#KigogoMediaUpdates
Mapung'o retweeted
Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima.
Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie afya njema, utulivu na uwezo wa kufanya mitihani yenu kwa umakini na kujiamini.
Aidha, ninatoa wito kwa wote wenye dhamana ya kusimamia mitihani hii kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, umakini na uadilifu, na kuhakikisha mitihani inafanyika kwa haki, amani na usalama.
Mapung'o retweeted
Unafurahi ukiwa wapi? 😎🦁🔥
#NguvuMoja #Weekend
Mapung'o retweeted
𝐘𝐎𝐔 𝐁𝐄𝐓𝐓𝐄𝐑 𝐖𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐘𝐎𝐔𝐑 𝐁𝐀𝐂𝐊.
Mgongo wa mtani haujalindwa, HALI NI MBAYAAAA!!! #KariakooDerby #NguvuMoja
Mapung'o retweeted
LIGI KUU BARA: Simba imemaliza ubishi wa nani ni mbabe katika timu za Kariakoo, hiyo ni baada ya kuitandika #Yanga magoli 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Oktoba 10, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Timu ya #Simba ambayo ilitawala mchezo huo muda mwingi imefikisha pointi 21 na kuongoza msimamo wa Ligi, Yanga ambayo imefungwa kwa mara ya kwanza katika Ligi msimu huu, imebaki nafasi ya pili ukiwa na alama 18.
Mdau umeonaje mchezo?
Zaidi jamii.app/SimbaVsYanga26
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026 #KariakooDerby
Mapung'o retweeted
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza parade kesho baada ya ushindi dhidi ya Yanga SC leo.
Mapung'o retweeted
Porn football served by Steve Barker. Proper brand of Simba football... Lunyasi! Ball strictly on the grass, crisp short triangular passes.
Mapung'o retweeted
Viti vyenu viko wazi uwanjani, lakini mapenzi yenu yatabaki mioyoni mwetu milele. Mlitangulia tukiwa bado tunahitaji tabasamu zenu. Pumzikeni kwa amani ndugu zetu wapendwa. 🙏✨
29 October — Never Forgotten.
Mapung'o retweeted
Steve Barker, WHAT A COACH! 👏
His substitutions were spot on today! 🎯
He gets it right again as Simba beat Yanga 2-1 in the Kariakoo Derby.
Barker has now beaten Manqoba Mngqithi for the 6th time! 👀
Tactical masterclass! 🧠⚽
#AfricanFootball #NguvuMoja
Mapung'o retweeted
MWITENI SASA MARIA SARUNGI AWATETEE..
TULIWAAMBIA haya mambo mkawa hamsikii na mkawa mnashabikiwa na watu wapumbavu kama Maria kuwa mnaonewa..
MADEREVA wengi ni careless na hii ndiyo sababu ya kuweka utaratibu wa kukata points kwenye leseni zao ili wawe makini barababrani lakini mkagoma na kuandamana na kushabikiwa na majitu majinga kama Maria.
SASA mmepata mlichotaka ! TULIENI yaani msisumbue watu hapa maana hamsikii na mtaendelea kufa sana yaani..
#KigogoMediaUpdates

























