Pinned Tweet
play.google.com/store/apps/d…
My second app Using AI
Flutter
Android studio
play.google.com/store/apps/d…
My first app using AI
Flutter
Android studio
Kwanza bonny aliuliza kuhusu kunyoa vipara
@Mudimabiriani akamjibu kama utani but kwa mfano halisi
Alimwagiza mazaga na dogo hakufanya namna basi mudi akanyoa kipara maana yake kuna jambo lilitokea na matokeo yake yakawa hayo basi nanyoa kipara kuyafuta yaliyopita
Replying to @Master_pizo @Mudimabiriani
Hapo Bony kakosea nini? Alichosema ndo tip za kuambiana vijana wapambanaji.
1
1
124
Pasta Joshua
Vodacom hiyo tabia wanayo na usiposhtuka inakula kwako
Mwaka 2023 nilipata janga kama hilo mteja alirejesha muamala na hela ikapungua na sms sikupata na sikupigiwa simu mpaka siku ya nne niķapiga simu mimi nikaambiwa eti tulikupigia hukupokea niliwafokea sana
Mteja hawezi mwenyewe kufuta malipo yaliyokamilika kwenye Lipa Namba.
Vodacom inaeleza wazi kwenye ukurasa wake wa Lipa Kwa Simu kwamba:
Mteja hawezi kufanya cancellation ya malipo yaliyokamilika.
Vodacom inaweza kurejesha muamala ikiwa imepokea ombi kutoka kwa mfanyabiashara (merchant).
Mteja aliyelipa namba isiyo sahihi anatakiwa kuwasiliana na huduma kwa wateja kupitia 100.
1
114
Kwani ndugu zetu @brela_tanzania mna changamoto gani
Simu hampokei mnakata
Na mkipokea hamumsikilizi mteja mpaka mwisho mnakata simu
Dm nimewaandikia kama mlivyoomba hamjibu chochote
Yaani application inaenda kumaliza miezi miwili sasa ime stack kwenye make final decision
1
185
Baada ya kuagiza Samaki kwa @MarekaMalili ukapna hapa hii mifupa itarundikana sana ndani acha niagize na Paka kabisa wanisafishie mifupa
1
93
Pamoja na kuwatumia taarifa lakini bado mko kimya @brela_tanzania
Replying to @Master_pizo
Habari, pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba namba ya ombi lako ambalo bado hujapokea majibu yako kwa ajili ya msaada zaidi.
1
1
173
Hivi kuna ofisi zinatoa mkopo wa laptop kulipia kidogo kidogo?
@chapo255
@usedpointTz
Niwatumie ujumbe?
mmewahi kunisaidia?
Siku zote shida zangu mnazipotezea na kunizungusha
Mafundi wenu wanasema hizi router zilishapitwa na wakati mnakata hela bila kuwajuza wateja kwa official notice kuhusu uchakavu wa vifaa ili wateja wabadili
Nyie nikiwawahi mbona mnapona
1
170
Naunga mkono hoja
@airtel_tanzania nilichoona cha muhimu ni hii powerbank yao tu ila wananitesa mno kipindi hiki na malalamiko hawafanyii kazi wametia pamba masikioni
Routers za Airtel ni Powerbank. Unauziwa Powerbank kwa 100k fresh naikubali lakini kuhusu internet sahau.
Routers machine kwa hapa Tz ni Vodacom pekee hizi hata kwenye data cap hamna mambo ya kijinga
Kama kuna mtu anataka kuuza internet na upo kijijini huko check number kwenye bio, nicheki WhatsApp kwa msaada zaidi
Uwe na mtaji 1M+
1
258
Mwanetu @TitoMagoti ukivaa sare tu mbona unapewa maiki kabisa uimbishe 😀😀😀😀
MASTER PIZO retweeted
Ukideposit unapata Bonus.
Unaweza Bet hata game ikiisha.
Link. soko.exchange/r/sweetbert-jo…
Kama ni uongo njoo unipige Mawe.































