MASTER PIZO (@Master_pizo) header
MASTER PIZO (@Master_pizo) profile picture

artist | youtuber | music producer | tech | tester | join https://teapawt.net/t.co/FojxRAfTKJ

Tanzania
Joined August 2013
Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)Photo by MASTER PIZO (@Master_pizo)
MASTER PIZO retweeted
The Sakharov Prize should go to Tundu Lissu! @ReinholdLopatka @lukasmandl @davidmcallister
57
391
16
1,021
24,090
Ukideposit unapata Bonus. Unaweza Bet hata game ikiisha. Link. soko.exchange/r/sweetbert-jo… Kama ni uongo njoo unipige Mawe.
2
2
36
Mawazo yetu Muda huu πŸ’­
1
1
7
325
Unatamba ukiwa wapi?! Wimbo huu unapatikana kwenye digital platforms zote
1
2
13
448
Lango ni Moja tuπŸ™ŒπŸ½ Lango ndiye Yesu Bwana πŸ™ŒπŸ½πŸ”₯ Wimbo huu unapatikana katika Digital platform zote
3
7
17
496
Faraja on Focus πŸ˜ƒ
2
9
238
Tunawatakia Wiki njema na yenye Mafanikio
1
2
1
8
637
Big Up mzee Nilitaka tu watu waone UHALISIA wa TRADING Umejitahidi sana $75 ntakutumia wallet uweke tuwape challenge wengineπŸ™πŸ½
#50dollarchallenge update. Tumefikia tamati ya challenge yetu. Tumefikia Lengo letu lakin tukiwa na floating loss ya -27 usd. @gabyconscious hii imekaaje mzee.
8
10
79
8,346
Hii MICHONGO kama kijana umefanya na umetoboa basi hakuna kitakachokuyumbisha: 1.Kuuza simu USED zenye vipengele daily 2.forex (trading) 3.Dalali wa nyumba / viwanja – miezi mingi unaweza kukaa bila deal, ganji mnagawana 4.Kuuza magari used – wateja wagumu anacompare wauzaji 10 5.Boda boda mjini kati– hatari ya ajali + pressure ya kila siku 6.Kuuza Kariakoo (hasa electronics au nguo) – ushindani mkali sana kila mtu anauza 7.Import biashara (Dubai–China–Tanzania) – risk ya mizigo kupotea, mzigo kuja usivotarajia,Cargo kuyeyusha, na kuitwa tapeli 8.Freelancing online (copywriting, design, coding,VA,etc) – kupata clients ni ngumu mwanzoni 9.Kufanya sales agent wa bidhaa (insurance, telecom mabando, real estate) – unalipwa kwa commission tu 10.Content creation / influencing – miaka ya mwanzo unafanya bila kupata hata mia🀣 ONGEZEAπŸ‘‡
45
38
9
328
31,706
Shoppings za Techbros hunishangaza sana mtu mmoja anaeza nnua Camera 5 kila moja na kazi yakeπŸ˜…
1
9
59
3,403
MASTER PIZO retweeted
6 Php Packages πŸ“¦ so far πŸ™ and 1 Flutter Package
3
6
1
28
1,979
MASTER PIZO retweeted
na ni malipo ya nje ,ndani tu hapa ni 2 days kuyapata ,watu watumia TT ili kuepusha lawama za kuitana matapeli sababu za mifumo
Sharon apigwe tu Yaani ushaambiwa hela haijafika na unapewa proof hela haijafika Unafunga safari kwenda bank Mtu kaamka anakuambia ndo ameona hela unamwambia anazingua Kwa hiyo mtu asilale sasa? Kisa 1M unataka mtu akeshe akisubiri huo muamala uingie Mother father
1
1
249
MASTER PIZO retweeted
Ninayofuraha kualikwa na Kituo cha redio cha KISS FM, Kesho tareh 29 January katika kipindi cha Morning Kiss, Nitakua nikielezea ni jinsi gani mfumo wa @DukaSmart unawasaidia Wafanyabiashara Kusimamia Biashara zao Kidigitali.
5
11
1
39
3,926
Hii ni Mwanza, Baadaye mje kuanza kusema waandamanaji walikuwa wanafanya fujo. Kuna mtu huwa anasema wananchi hawana hoja, mara wametoka nje ya nchi. Hii ni Tanzania na hawa ni Gen Z. #D9
50
339
21
1,087
116,984
MASTER PIZO retweeted
Kitu nachojua Africa Mapinduzi yatakua mengi sana ndani ya miaka 7 hii kuanzia sasa... Africa mashariki wa kwanza kuliwa kichwa atakua Museven...kisha tutafata.
49
111
24
1,070
106,019
‼️ROUTE ZA MAANDAMANO - MAPENDEKEZO‼️ Jamani mapendekezo ni kuwa watu wakutane katika ofisi ya mkuu wa Wilaya katika wilaya zao Kwa Dar es Salaam na Dodoma nadhani imeeleeweka Hapa ni mapendekezo kwa mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu #D9 iko vizuri #SamiaMustGo
24
224
4
809
37,192
DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT! Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa hawauwawi by VIGILANTE STREET JUSTICE. Now imagine sisi Watoto wasio na silaha wameuwawa, wakiwa kwenye harakati za kudai β€œA better Tomorrow” yao! Sasa Socialites, Celebrities, Influencers na hata Wananchi wengine wa kawaida, tunakuja na Caption na Hashtags za PRAY FOR TANZANIA, as if it is a social media trend. Ni dhahiri HAKI ZA KIBINADAMU zimekiukwa, KATIBA imebagazwa na RULES OF ENGAGEMENT (baina ya Armed Forced na Civilians) zimepuuzwa. Hakuna playbook yeyote duniani inayo justify such atrocities & inhumane acts; kama ipo basi ni Playbook ya Kigaidi na Kidikteta! PERIOD WATANZANIA WOTE, badala ya kuandika β€œPray For Tanzania”, let us FIGHT FOR TANZANIA!! FIGHT FOR GEN Z walioandamana kudai Reforms, Katiba Mpya, Kupinga Utekaji, Utawala Bora, nk. na wakaishia kuumizwa na kuuwawa. FIGHT FOR JUSTICE ya Waliokuwa Nyumbani, kwenye Vibanda Vya Video, Madukani, Maskani, nk Wakaishia kumiminiwa risasi pasi na hatia yeyote na kupokwa haki yao ya kuishi. FIGHT FOR JUSTICE ya DAFROZA (Mama Frank) Mgombea udiwani Sirari (ACT) aliyefia Mikononi Mwa Polisi. FIGHT FOR JUSTICE ya watoa huduma ya Afya ambao wakitoka hospitali kuhudumia Majeraha, wakauwawa!! FIGHT FOR RIGHT yetu ya kupata Internet na Mawasiliano, maana internet dunia ya sasa ni utility kama Maji, Umeme, etc. FIGHT FOR RIGHT za Vyombo vya Habari, ili vitupatie β€œNEWS WITHOUT FEAR OR FAVOR” Mambo ya PRAY tuwaachie watu wa nchi zingine sisi WE HAVE TO FIGHT! DAMU ZA MAREHEMU NA ZA WALIOJERUHIWA ZISIENDE BURE… The Leader
80
470
20
1,466
59,065
MASTER PIZO retweeted
Kama tukitaka kuwakomesha hao wasanii the best way is to mass report them on every social media platform. That’s the most effective way of canceling them. They will lose their accounts maana hio ndio their biggest source of income and that’s how the Kenyan celebs also gave in.
17
204
10
678
49,323
MASTER PIZO retweeted
MABOMU YANARUDISHWA KWA POLISI KAMA YANAVYOTUMWA. #MO29 #MaandamanoUodates
17
192
3
839
37,389
Help my research
38
2,001
5
422
263,154