
|| Critical Thinker|| Unaffiliated with any party @liverpoolfc @simbasctanzania @Barcelona
Joined July 2021
- Tweets8.5K
- Following1.5K
- Followers1.8K
- Likes57.8K
Mau retweeted
Leo ndio siku ya Kuandamana kama kwa Nguvu kubwa zaidi ya siku zote
Mapambano yanapozidi kuwa Magumu,Wagumu huwa Wanaendelea
Kazi tuliyo ianza sasa tunakwenda kuiendeleza mara dufu
Repost 360
Mau retweeted
Tulipowaambia watuachie nchi yetu walituona wapuuzi kama wao. Oohh watz hawawezi kuandamana. Pumbavu zao kipindi hiki Gen-Z tumewaonyesha sisi sio wale wanaowasomba kwenye malori
Mau retweeted
Nguzo kuu za uhai wa chama cha siasa ni demokrasia, nidhamu, maadili na utu. Nguzo hizi zikipuuzwa chama hakipo hata kama viongozi wapo.
Mau retweeted
Pedri kila anachokifanya uwanjani mpira unamtii na kumsikiliza yeye ila Arder Guler yeye kila mechi anauwakika wa kukupa Assist au Goal, utachagua wewe sasa apo. 😃
Hakuna picha inayo niuma kama hii.. Ila hamna namna tukutane msimu ujao
#nguvumoja
1
174
Mau retweeted
☓ Bila followers ni kujiongelesha
✍️ Reply handle yako hapa
✍️ Like handle zilizowekwa na watu
✍️ Mtu aki like handle yako mfollow
✍️ Mtu akikufollow follow back
✍️ Mwisho kabisa mnifollow @humphreyPallan5
Kwa pamoja tutafika 10k ✌️👇
Dogo anaongoza Assist kwenye ligi ana goli 6
UEFA goli 4 Assist 3 na bado ana miaka 17 tu chuki za nini😁😁😁 show some love man😀😀😀
This Post is from a suspended account. Learn more
1
1
323
Mau retweeted
Ukiona tuu anaanza kusema kichwa kinauma na anataka kulala mapema juwa tuu kuna mtu ame request aichapeee..😀😀😀😀😀



























