Arusha Icon retweeted
Nawakumbuka Sana WanaNgu Wa X👊
Ebu Fanya Kudrop Ngoma Unayoskiiza Muda Tukuige!👇🎵✊️
Arusha Icon retweeted
🚨Mwinyi Zahera kuhusu Yanga kuwa timu ya Level za Ndondo
“Umewai sikia wap timu kubwa kama Mamelodi Sundowns wanadaiwa hela, hawajalipa mchezaji, au wamefungiwa na FIFA kusajili? Kocha anafukunzwa, anaongoza ligi kwa tofauti ya point 5 tu. Bado unaamini ni timu kubwa hiyo?”
Arusha Icon retweeted
Katungu kapewa kazi ya kummaliza Lissu,akiwa Gerezani.
Katungu kapewa mahela na samia na Ahadi ya kupewa nyumba DUBAI.
Tunayaongea haya mapema sababu sisi tupo jikoni lakini tunapenda hili taifa katungu acha mara moja huo Mpango utaitia nchi kwenye MACHAFUKO.
Arusha Icon retweeted
LIVE: UZINDUZI WA OPERESHENI KATIBA MPYA, FREE TUNDU LISSU KANDA YA VICTORIA - KATORO, GEITA teapawt.net/i/broadcasts/1jGXgeNzA…
Arusha Icon retweeted
Mhe. Tundu Lissu anawasalimu sana, miezi michache iliyopita nilipata wasaa wa kuonana nae gerezani, pamoja na kumuona tumekuwa na utamaduni wa mawakili wa Chama kwenda kumuona na kumwambia yanayoendelea na tunatumia njia zingine kupata mrejesho kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama.
Ninataka kuwahakikisha kuwa haya ambayo viongozi tulio nje tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn tunaendelea kuyafanya na kuyasimamia yana baraka za Mwenyekiti wa Chama Mhe. @TunduALissu. Nawaomba Watanzania msirudi nyuma katika kumpambania awe huru lakini yeye anasema siyo yeye pekee yake kuwa huru kuna madai ya msingi yaliyowafanya watawala wamuweke ndani, hayo tusiyaache kuyapambania.
Mhe. John Mnyika
Katibu Mkuu - Chadema
Arusha Icon retweeted
“Dada uliyevaa nguo ya Chadema nakuita toka kule huitiki… nyinyi mliopo Chadema ndio mnasimama na @TunduALissu hebu njoo uchukue maji ya kunywa hapa nakununulia” - dereva wa bodaboda baada ya kuniona mtaani. @ChademaTZ2 inapendwa na wananchi mpaka viongozi wake wanapendwa ✌️✌️
Arusha Icon retweeted
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. John Heche akiwasili Katoro Mkoani Geita ambapo leo Jumamosi Mei 16, 2026 anatarajiwa kuzindua Operesheni ya Katiba mpya #FreeLissu kwa kanda ya Ziwa.
Arusha Icon retweeted
#TajiriLaKihaya
Kwa hii ISSUE ya BUYOBE na Hilda/Mshaba…
Ni kukaa Kimya kwanza 😅
Inaonekana kuna mambo mengi saana BADO hayajawekwa wazi…
Wanashambulia Kwa kuviziana… Kila upande unasubiri Nani aanze kumwaga Mboga wamalizie Ugali🤣
Kila aliekuwa Mentioned BADO hawajatoa vichwa na mtuhumiwa anawakwepa na wenyewe wanamsubir mtuhimiwa awazungumzie ndio wajibu 🤣
Hapa tuendelee kuwa wavumilivu… Nyama zipo chini wanangu…
Tukiona BADO wanaogopana… itabidi tuanze kuchochea pande zote ilimradi tupate picha kamili…
Nahisi kuna kipande kinarukwa na pande zote Kimaksudi kabisaaa!
Arusha Icon retweeted
Mwamba huyu hapa ,mwanaume hutakiwi kuvumilia mazadharau jamaa katuwakilisha vyema 👊
Arusha Icon retweeted
Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn akiwasili Katoro Geita.
Tupate REPOST 200
Hizo repost za kukera WAKOLONI WEUSI na SISTA NYAHOZA.
Arusha Icon retweeted
🔥🔥KATORO IMEITIKA NA HECHE YUPO👊🏽‼️
Katoro imefurika na ninamwona brother @HecheJohn
Watanzania WAMECHOKA na wako tayari kwa mabadiliko! Hawaombi wanadai kwa vitendo
#TutaelewanaTu
Arusha Icon retweeted
Unafuatilia music! Unaifahamu bongo flavor ila huyu haumfahamu kabisa!,wengi sana watakosa jibu kama nikiwauliza huyu ni nani?!
Nasoma comments zenu..😁😁
Arusha Icon retweeted
Leo nawapa mauwa yenu wana wote ambao sijawa follow wala hamjani follow ila tuna engage bila kinyongo, appreciate post for y'all ✊🏽


































