GreenCityConfidential (@MkushiBilly) header
GreenCityConfidential (@MkushiBilly) profile picture

HANDAKI

Joined March 2015
Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)Photo by GreenCityConfidential (@MkushiBilly)
"Tano👊 Kwa Muumba, Pumzi Ninayo Nakwenda Sawa"
7
7
60
GreenCityConfidential retweeted
TUWEKE REKODI SAWA: Siku ya tarehe 6/11/2026, Wakili Msomi Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Jeshi la mtu mmoja, AMEISHINDA CCM, Serikali & Mahakama huku akiwa AMEFUNGWA MIKONO kwa nyuma.
8
122
432
6,037
GreenCityConfidential retweeted
BAIL PENDING APPEAL: Kwa kuwa TAL ameshinda kesi ya UHAINI ambayo haina dhamana, na kukutwa na hatia kwa kosa la UCHOCHEZI, Lissu anaweza kuwa nje kwa DHAMANA kupitia utaratibu unaojulikana kisheria "BAIL PENDING APPEAL" kwa sababu uchochezi una dhaminika, hata kama mtu amefungwa. Ila tu utaratibu ni kwamba, ni LAZIMA mfungwa aanze kutumikia kifungo chake gerezani japo kwa siku moja tu. Hii inawezekana kama mawakili watajenga hoja za AFYA ya Lissu na kwamba atashindwa kupata matibabu stahiki akiwa gerezani. Pia, siku 577 alizokaa gerezani ni fimbo ya kuomba dhamana. Imefanyika mahakama Kuu & pia kuna msimamo wa mahakama ya Rufani juu ya utaratibu huu. HAKI HAIOMBWI bali HUPIGANIWA.
17
196
6
794
26,291
GreenCityConfidential retweeted
Tundu Lissu looked the judges in the eye and said: "Deliver the verdict you have been instructed to deliver. I am done. Thank you." Maahn!
1
97
425
4,621
GreenCityConfidential retweeted
Hivi kwenye hii katiba mpya,nguvu za Rais zikipunguzwa zinapelekwa wapi??kwa hili Bunge linalojiongezea posho pamoja na nchi nzima kupinga??
76
350
52
845
GreenCityConfidential retweeted
4-year jail term is an afterthought & fallback position to salvage Samia Suluhu’s bloody regime. Tundu Lissu will appeal & win decisively. Heartbreaking that he won’t escort his brother, SC Alute Lissu, to his forever home. Alhamdulillah for today; for everything!
5
92
2
344
5,806
GreenCityConfidential retweeted
LL Cool J - Hey Lover (featuring Boyz II Men) [1995] ❤️‍🔥
158
16
488
10,133
GreenCityConfidential retweeted
Bro hit her with the uno reverse.
77
818
18
16,986
759,188
GreenCityConfidential retweeted
the boy is innocent, mwambieni ni mapito tu wala asitie shaka….
1
13
43
3,075
GreenCityConfidential retweeted
Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has been sentenced to four years in jail after being arrested on treason charges in April. The court instead convicted him of inciting unrest in a trial that has been widely condemned as politically motivated.
38
575
22
1,687
115,353
GreenCityConfidential retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA! Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka. Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo. Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua). Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja. Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee. Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA. Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani. Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu. UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA! BAK MWABUKUSI
39
443
5
1,352
34,988
GreenCityConfidential retweeted
👐🏿
19
64
1,206
GreenCityConfidential retweeted
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
86
643
11
2,737
66,717
GreenCityConfidential retweeted
Prof Tibaijuka aliniambia tuna kazi ngumu kuliko ya Mwl Nyerere. Nyerere alipambana na wakoloni kwanza walikua wanafuata sheria. Lakini hawa wakoloni weusi hawafuati sheria. Wakaloni walikua hawatoi rushwa. Wakoloni weusi wanahonga kila mtu. Ukweli ni kwamba tutawashinda hata wakitumia nguvu gani.
66
613
13
2,794
69,962
GreenCityConfidential retweeted
Saa hii TAL yupo same level na Raila. Akitoka gerezani he might become the most influential opposition leader in Africa and Insha’Allah he will be among the people who will draft our new constitution that will put an end to all these shackles
huyu mzee amebakisha vitu vichache sana kuwa the father of Modern Tanzania,,, I feel like in some way, Nyerere hakukumbana na changamoto kubwa hivi in his prime,,, and here we have Lissu been performing at this level for almost 30 yrs!
5
30
2
155
3,696
GreenCityConfidential retweeted
One Time for the Champion ✌️
1
56
1
129
2,391
GreenCityConfidential retweeted
“Mimi ninajua mtanihukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart” 🙌🏾
36
298
2,811
GreenCityConfidential retweeted
TUNDU LISSU ; Waheshimiwa Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZAWA. Nimemaliza . Asante.
26
265
20
1,130
64,955
GreenCityConfidential retweeted
Mwenyekiti ni mtu mwenye akili nyingi sana
2
20
74
1,072
GreenCityConfidential retweeted
I support him because I believe Tanzania needs voices that are willing to question power, demand accountability and speak their convictions even when doing so comes at a personal cost...🫡🫡!!
21
2
73
1,965