Mr. CEO 💰 (@MrCEO001) header
Mr. CEO 💰 (@MrCEO001) profile picture

CPA (T) | PhD | Activist | Forex trader | Proud Husband & Father

Texas, USA
Joined October 2021
Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)Photo by Mr. CEO 💰 (@MrCEO001)
There are pains so deep they steal your words, all that remains are tears, and those tears are enough for Allah. He understands everything you can’t say. Just turn to Him.
3
35
234
15,273
Good morning 🌅❤️ Usichoke kupambania ndoto zako, hata kama nafasi ya kufanikiwa bado ni ndogo. Kumbuka Mungu anaweza kubadilisha hali yako wakati wowote endelea kupambana, kuwa na subira na usikate tamaa. Siku yako ya kung'aa ipo mbele yako. 🙏🏽✨ – at Dar es Salaam, Tanzania
24
38
50
924
Mr. CEO 💰 retweeted
Good morning friends of Sam 👋
31
29
1
43
1,143
Mr. CEO 💰 retweeted
Waebrania 11 11 Kwa imani hata Sara mwenyewe alipokea uwezo wa kuwa na mimba; alipokuwa amepita wakati wake; kwa kuwa alimhesabu yeye aliyeahidi kuwa mwaminifu. GOOD MORNING
29
49
63
674
"Enzo na Anderson kabeni halafu muachieni cheki achezeshe timu"👇💔😂
11
21
36
563
Good Morning Friends of MZALENDO☕️☕️🌄
19
22
36
438
"Nakukumbusha tena kama kuna sehemu chafu nyingine zaidi Duniani basi ni Kitasa cha mlango".🤝🤝 Good Morning Champions✌️.
16
24
44
740
Good morning Katika maisha unaweza kufanya mengi kwa ajili ya watu lakini bado usipate shukrani Unaweza kuwa mwema lakini bado ukazungumziwa vibaya Unaweza kuwa na nia safi lakini bado ukatafsiriwa vibaya
25
34
56
1,452
Mr. CEO 💰 retweeted
It's Thursday. Stay disciplined. Stay consistent. Trust the process. Good morning, 𝕏 family. ☀️
17
19
27
785
Mr. CEO 💰 retweeted
Jamii itakuwambia fedha si kila kitu,Ni sawa kwao. Madhehebu ya takwambia,usiangaishwe na mali ya Dunia weka hazina yako Mbinguni,Ni sawa kwao Watu wata sema wenye fedha ni Freemason na wanalala na nyoka. -ila kadiri unavyo jaza mifuko yko,Ndivy watakavyo geuka ombaomba kwako.
3
10
24
648
Mr. CEO 💰 retweeted
Mungu aliumba wanaume mkoani Mara halafu halafu mikoa mingine wakawa wanafuata mbegu ndio historia fupi ya kuenea wanaume Tanzania.
6
7
40
953
Mapambano yanaendelea Tusichoke kutafuta riziki, tusikate tamaa tunapokutana na changamoto, tusisahau mafanikio yanahitaj nidhamu, uvumilivu na juhudi. Mungu atutangulie katika kila jambo, atulinde na atufungulie milango ya riziki na atujalie mwisho mwema. Good Morning Family
24
31
58
780
Usipoaminiwa USIJIELEZE SANA Eleza pale inapohitajika,Rekebisha pale ulipokosea,Lakn Usijitetee kupitaKiasi ili tu Ukubalike Jifunze kuelewa kua si kila Mtu yuko Tayar kuamini Upande wako wa Hadithi Huwezi kudhibiti kila Mtu anavokutafsiri,Ila unaweza kudhibiti namna unavoishi
19
39
54
701
Mr. CEO 💰 retweeted
•Endelea kua mtulivu siku hauingizi chochote •Endelea kusave kwa nidhamu siku unapoingiza •Endelea kujenga jina lako kwa uaminifu The marathon continues.
13
29
1
65
664
Yohana 12:24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi. Good morning to you familia 💛 ❤️
19
24
26
930
Mr. CEO 💰 retweeted
Look at society big problems and you offer the solution,you become rich. The world changes,if you want money then be fast to learn on new products. Some goes far,they introduce the problem and sell the solution afterwards. One man's problems is another man's fortune. Gm fam.
90
108
2
154
1,582
Mr. CEO 💰 retweeted
Huku anakoelekea wakili @PMadeleka ni kubaya😂
11
6
131
24,415