Pinned Tweet
Hivi ni kweli kuwa sisi waafrika nchi maskini hasa watanzania tunaamini kweli utajiri tutaupatia kwenye mataifa yalioendelea ? Ni kivipi maana nchi zilizoendelea hasa wachina wanakuja kwenye hizi nchi zetu na wanatengeneza pesa ya kutosha kweli kwanini😁🧨
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hawa watu watatu wanauwezo wa kuamua dunia iende kwa namna wanavyotaka wao na kweli ikaenda. Viongozi wakubwa watatu wa dunia, wamekutana leo.
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
💨 Putin mpaka leo bado hajaacha tabia ya kuwa mtu wa mwisho kuingia kwenye vikao.
Kuna kipindi aliwakalisha viongozi wa Ulaya lisaa 1.
Wanasema huwa anafanya hivyo kuwavuruga kisaikolojia akili zinakuwa zimechoka na kuwa rahisi mawazo yake kukubaliwa.
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Kadri umri unavyosogea na uzoefu wa maisha kuongezeka. Unagundua kuna njia ambazo ni za wewe kwenda peke yako bila ndugu, marafiki wala mwenza. Ni wewe na Mungu wako tu.
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Broo Unapokua na Hela Fanya Matumizi Yako Kwa Uangalifu sana..
Ni ngumu sana Kupata Msaada Ukiwa Hauna hela.
Kuwa makini.🤔
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Katika safari ya utafutaji wa Maisha Bro Make sure hausindikizwi na Mwanamke mwenyetamaa.!!
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Sababu kubwa za Yesu kutuambia tuwaombee adui zetu na kuwapenda wanaotuchukia ni kwamba,,mara nyingi wanaotuchukia na maadui ni ndugu zetu wa damu, marafiki wa karibu na watu tunaoshirikiana nao. Tuendelee kuwapenda ndugu zetu, marafiki na watu wetu wa karibu.
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Ukiwa kazini unaweza pata mkopo kirahisi kabisa
Mkopo : 20,000,000/=
Riba: 17% kwa mwaka
Muda : Miaka 10
Malipo ya mwezi : 346,700/=
Jumla ya rejesho Tsh 41, 711,436/=
Riba pekee tsh 21, 711,436/=.
Swali ni moja hii hela ukiichukua inaleta faida kuliko riba unayolipa!?
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hii bongo itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, imagine mpangaji mwenzetu amehama akaondoka na kamba ya kuanikia nguo.
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Oa mwanamke anayetaka kuwa mke, sio mwanamke anayetaka kuwa na mume.
Soma Tena.
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Wanataka kuja na jingine tena 😨😨😨inaonekana ofisini hakuna kaziii huko
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Bro to Bro
Sitisha miamala ndio utajua kama ni Mapenzi au Biashara...
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Kwanini hakuna kiwanda kikubwa cha Furniture pale Makambako, ambacho kingekua kina fanya export furniture duniani kote,
Kiasi gani cha fedha taifa lingetengeneza..? Kuna mbao solid sana yale maeneo.🫵🏾
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Now simu zote ni makao makuu!wao ndio wanatoa order Tanesco mkoa husika waje watatue tatizo ene husika wasipofanyia kazi huo ni msala mzito!
tofauti na zamani unawapigia emergency wenyewe mpaka waje wamejivuta kinoma




















