💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus) header
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus) profile picture

| DAD | Nyumbani kwetu Singida ☺️| Sina Elimu YOYOTE | Napenda Mabasi na kulima

Singida, Tanzania
Joined September 2024
Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Respect to hawa watu. Ndio wanaofanya Watalii kuzidi kuitembelea Tanzania 🙌
25
205
7
2,137
96,692
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hawa watu watatu wanauwezo wa kuamua dunia iende kwa namna wanavyotaka wao na kweli ikaenda. Viongozi wakubwa watatu wa dunia, wamekutana leo.
33
30
3
665
17,711
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
💨 Putin mpaka leo bado hajaacha tabia ya kuwa mtu wa mwisho kuingia kwenye vikao. Kuna kipindi aliwakalisha viongozi wa Ulaya lisaa 1. Wanasema huwa anafanya hivyo kuwavuruga kisaikolojia akili zinakuwa zimechoka na kuwa rahisi mawazo yake kukubaliwa.
11
13
302
13,970
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Kadri umri unavyosogea na uzoefu wa maisha kuongezeka. Unagundua kuna njia ambazo ni za wewe kwenda peke yako bila ndugu, marafiki wala mwenza. Ni wewe na Mungu wako tu.
5
51
268
5,491
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Broo Unapokua na Hela Fanya Matumizi Yako Kwa Uangalifu sana.. Ni ngumu sana Kupata Msaada Ukiwa Hauna hela. Kuwa makini.🤔
13
23
187
2,804
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Katika safari ya utafutaji wa Maisha Bro Make sure hausindikizwi na Mwanamke mwenyetamaa.!!
8
33
206
8,729
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Sababu kubwa za Yesu kutuambia tuwaombee adui zetu na kuwapenda wanaotuchukia ni kwamba,,mara nyingi wanaotuchukia na maadui ni ndugu zetu wa damu, marafiki wa karibu na watu tunaoshirikiana nao. Tuendelee kuwapenda ndugu zetu, marafiki na watu wetu wa karibu.
1
3
26
550
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Ukiwa kazini unaweza pata mkopo kirahisi kabisa Mkopo : 20,000,000/= Riba: 17% kwa mwaka Muda : Miaka 10 Malipo ya mwezi : 346,700/= Jumla ya rejesho Tsh 41, 711,436/= Riba pekee tsh 21, 711,436/=. Swali ni moja hii hela ukiichukua inaleta faida kuliko riba unayolipa!?
10
20
1
230
20,718
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hii bongo itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, imagine mpangaji mwenzetu amehama akaondoka na kamba ya kuanikia nguo.
53
39
6
479
16,142
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
New cattle shed coming up.
5
8
1
150
3,539
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Oa mwanamke anayetaka kuwa mke, sio mwanamke anayetaka kuwa na mume. Soma Tena.
3
21
112
2,367
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hizi Timu tumepangiwa YANGA ni ngumu tujipange Haswaa.!!
11
11
1
157
6,107
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
BASHE YUPO NA MITIKASI YAKE MINGINE BHANA!
44
62
15
723
97,595
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Huu wimbo umeliza sana watu💔
12
29
308
12,460
Wanataka kuja na jingine tena 😨😨😨inaonekana ofisini hakuna kaziii huko
42
34
3
334
21,593
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Bro to Bro Sitisha miamala ndio utajua kama ni Mapenzi au Biashara...
34
83
12
439
15,279
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Kwanini hakuna kiwanda kikubwa cha Furniture pale Makambako, ambacho kingekua kina fanya export furniture duniani kote, Kiasi gani cha fedha taifa lingetengeneza..? Kuna mbao solid sana yale maeneo.🫵🏾
30
36
7
388
18,693
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Now simu zote ni makao makuu!wao ndio wanatoa order Tanesco mkoa husika waje watatue tatizo ene husika wasipofanyia kazi huo ni msala mzito! tofauti na zamani unawapigia emergency wenyewe mpaka waje wamejivuta kinoma
Tanesco wanasifiwa sana kwa huduma kwa wateja 👏🏿👏🏿👏🏿
10
8
2
148
7,270
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Sheria ni ile ile hamna kuomba msamaha kwa kosa ambalo unaweza kulitatua kwa vurugu.
15
44
5
296
6,545
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Usiziamini sana Indicators za bodaboda/ bajaji barabarani.
11
19
9
207
14,218