Hassan retweeted
Asee mna mabosi wakatili sana mimi boda boda wangu kuna muda anamaliza wiki mbili atanipanga tu bosa hali si nzuri namuelewa na huwa anakamilisha video safi kabisa pole asee
Tena huyo ni La7 au kidato cha 4 huwa nashangaa sana mtu akisema askari hana pesa au anamaisha magumu kama jw wanasema wanamshahara mdogo vipi polisi na walimu au magereza watu wanahisi wafanyakazi wa bank ndiyo wana pesa 馃ぃ馃ぃ anyway utumishi wa umma utakupa pesa ya...
1
1
261
馃嚬馃嚳鈾ワ笍
Nimewasili nchini Uganda leo kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni.
Nchi zetu zina uhusiano wa kidugu na kihistoria uliojengwa kwa miaka mingi. Ziara hii inalenga kuimarisha zaidi uhusiano huo na kufungua fursa mpya za ushirikiano, zitakazonufaisha wananchi wa nchi zetu kiuchumi na kuchagiza maendeleo ya mataifa yetu.
120

Ugumu wa kweli maishani ni kushinda matamanio ya moyo wako juu ya unavyofikiria mwenyewe Mara nyingi chuki ni adui mbaya zaidi alie ndani yako Ikiwa utaweza kujifunza kujishinda mwenyewe utakua na wakati mzuri zaidi wa kushinda vizuizi vilivyo mbele yako #Mogadishu
Hassan retweeted
馃檹Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali馃グ
馃憠 Size S,M,L,Xl,& XXL
馃憠Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
馃搷Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Hassan retweeted
Katika azma ya kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kujenga uelewa na uamuzi wa pamoja kuhusu masuala ya nchi yetu, leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tumekuwa na mazungumzo yenye tija kuhusu namna bora ya kusonga mbele katika mchakato wa Maridhiano na hatimaye Marekebisho ya Katiba, kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.
Hassan retweeted
BRO TO BRO
People respect you more when they don't see you often. Even parents.
Trust me bro!