AMANI yetu ni KATIBA mpya
Walijaribu kutugawa kwenye maandamano ya #MO29 kwa kutaka kuaminisha UMMA yale yalikuwa maandamano ya CHADEMA ikashindikana.
Sasa wanajaribu kutugawa Kwenye maandmaano ya #D9 kwa njia ya DINI ZETU. Hili pia tumekataa na litashindikana maana GEN Z , hatuna DINI wala CHAMA.
Dini yetu sisi NI MUNGU MMOJA.
Chama Chetu sisi ni HAKI.
16
Mafanikio si bahati mbaya. yanahitaji uamuzi, nidhamu na bidii ya hali ya juu.
#bilakuchoka



















