°TATA☆ (@NyeupeJr) header
°TATA☆ (@NyeupeJr) profile picture

sio kila kinacho kusongesha mbele ni hatua,,,📌📌📌

Earth
Joined December 2019
Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)Photo by °TATA☆ (@NyeupeJr)
°TATA☆ retweeted
Mi ata nshaaachaga kusali, mungu afanye vile anataka 🙌🏾
29
30
8
195
11,589
°TATA☆ retweeted
Happy day for happy people indeed
2
78
1
727
19,602
Hawa hawavuti wanapuliza 😂😂🚮
8
26
3
304
27,501
°TATA☆ retweeted
Kuna mtu atafikiria hii ni content 🤣🤣🤣buda, ni reality💀💀💀
108
641
17
4,162
543,628
°TATA☆ retweeted
Waziri Mkuu: Watanzania tusiende uelekeo wa kuona kuua mtu ni jambo la kawaida Akizungumza leo Novemba 25, 2026, katika mkutano wa hadhara Ifakara, Morogoro, Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amewatahadharisha Watanzania juu ya mauaji ya watu nchini, na kueleza jambo hilo linaweza kuvunja utaifa. "Nairudia hii naisisitiza kwa sababu tusifike kwenye mazoea ya kuona watu kuuana ni jambo la kawaida. Mambo haya huwa yanaalika visasi, yanaalika makovu, makovu yasiyopona," ameeleza Dk. Nchemba. "Na mimi niwaambieni Watanzania, hatujazoea maisha ya kuwindana, wala hatutaweza kuishi hivyo," alieleza zaidi kwenye hotuba yake huku akigusia matukio ya mauaji kutokana na migogoro ya wakulima na wafugaji. "Narudia tena Watanzania, tusiende uelekeo huo wa kuona kuua ua mtu ni jambo la kawaida tu.Tumerithi taifa lina heshima. Lazima tusiweke mzaha kwenye mambo ya msingi ambayo ni misingi iliyojenga taifa letu hili. Lazima tusiwe na mzaha kabisa kwenye nguzo zilizofanya taifa letu hili likasimama mpaka leo. Tukicheza cheza na misingi, tukacheza cheza na nguzo za taifa letu, tutaua utaifa wetu." Pamoja na kutoa maagizo ya moja kwa moja kwa Mamlaka mbalimbali kama TAKUKURU, Waziri Mkuu ameeleza kuwa ameitisha kikao na wakuu wote wa mikoa kuangalia mambo hayo.
65
34
21
270
47,697
°TATA☆ retweeted
Huyu naye kaja kuchana mkeka dakika za jioooooooooni😂🍾🍾😂😂
1
8
80
7,429
Yaliyotuama👂....✍️
10
31
127
2,845
°TATA☆ retweeted
Kipindi najiunga Twitter nilijuaga huyu ndo Chapo🤧
11
7
62
2,734
°TATA☆ retweeted
Watanzania wenzangu me nina ushahuri😅😅 mnaonaje tuipeleke Nchi yetu kwa mganga😅😅
15
23
142
4,186
Mambo Ni Mawili Tu, Nikose Pesa Niwe Na Furaha Au Nipate Furaha Nikose Pesa
2
5
8
304
°TATA☆ retweeted
Marafiki zako wakikupunguza kwenye listi ya urafiki kisa wao wametoboa Usipaniki Usiwajengee chuki Usisononeke Ongeza bidii kwenye kutafuta Bidiii yako mafanikio yako MunguAnakuona
3
8
211
Unapochagua kitu au kufsnya uamuzi usidanganyike na gharama pekee angalia pia ubora na thamani yake 🤔 .
3
20
39
321
°TATA☆ retweeted
Maisha ni hatua Furahia yale unayoyafanya ndio yatakayokupa heshima
2
4
34
840
PSALM 23 The Lord is my bookmaker, I shall not lose. He maketh me to find green odds and leadeth me beside winning slips. He restoreth my bankroll and leadeth me to the paths of correct predictions for his name’s sake. Yea, though I walk through the valley of red slips, I shall fear no loss, for my analysis and statistics are with me; their tips and predictions comfort me. Thou preparest a winning ticket before me in the presence of my doubters. Thou anointest my betting account with cash; my balance runneth over. Surely green slips and big winnings shall follow me all the days of my life, and I shall dwell in the VIP section of SportyBet forever. AMEN! 🙏🏽😂💚
3
10
15
6,952
Nakumbuka ile siku vibaraka wa Mafwele waliponiteka pale Mahakama ya Kisutu April 24, 2025. Baada ya vipigo na mateso + kujaza fomu ya kujidhamini kisha wakanigeuka na kunisweka kule shimoni. Nikiwa kule shimoni nilikuwa nawaza kuhusu mtoto angu ambae alikuwa anahitaji maziwa ya mama yake, niliwaza kuhusu hatma ya uhai wangu maana kwa ule muda nilikuwa nishajua kwamba nimeingia kwenye 18 za Muuaji.🥹 Kuna time nilipiga magoti, nilisali kama sitawahi kusali tena kwenye maisha yangu yani ile siku ndo nilijua sala ya mwisho huwa watu wanasali vipi maana kwa mazingira yalivokuwa nilikuwa sioni chance ya kutoka nikiwa hai, moja ya maombi ambayo niliomba nakumbuka nilimwambia Mungu naomba nafasi ya kuwa hai kwa mara nyingine ili niweze kumlea mtoto angu.😭 Hii ndo nyimbo ambayo nilikuwa naimba wakati wote nikiwa kule shimoni, I was at the lowest point in my life. Yote kwa yote naendelea kummshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu.
35
192
5
1,369
58,675
°TATA☆ retweeted
Ukishazaliwa mwanaume jukumu lako duniani ni kutafuta👇 Unatafuta elimu & maarifa Unatafuta kazi Unatafuta connection Unatafuta mke Unatafuta mali Unatafuta ardhi Unatafuta nyumba Unatafuta watoto Unatafuta amani Unatafuta hadi usingizi Bro, kitu pekee kinachokutafuta ni KIFO😩😢 Endelea kusema ni meme 😂😂🙌
16
30
1
99
3,008
Kabla haujazima data naomba niandikie mstari mmoja kwenye Biblia au Qur’an ambao unakutia nguvu
92
90
12
517
22,500
°TATA☆ retweeted
Msenge leo hujazingua 😂😂 5K4BVR
1k odds edit ✍️ on telegram t.me/AMD_BOOOM
5
5
99
9,106
°TATA☆ retweeted
Yesu ni LANGO LA MBINGUNI. KILA MMOJA APITIE LANGO HILI LA YESU.
2
10
137
1,527
°TATA☆ retweeted
haijalishi mmezaliwa wangapi maisha yako ni jukumu lako
6
1
40
881