Cinephile retweeted
Replying to @Obure1998
Taifa ambalo malaya na upinde ndo wanapewa airtime kuzidi hata watu wa innovation
Naulza mara ya mwisho kuskia innovation kwenye media zzte bongo n lini.
Na je mara ya mwisho kuona video za utupu za malaya zikivuja na kesho wanapewa interviews n ln!???
Huu huku kanda ya ziwa unakuta walitoa bado una kiini, mtoto wa miezi tisa ale kabla usingizi haujampitia😭
20
Cinephile retweeted
Suggestion za hawa jamaa ni kuwa, abuser asilaumiwe ila ilaumiwe familia ya binti kutoweza kumlinda zaidi hadi kufikia kuwa abused!! I mean hii ni mambo ya ajabu sana kwa karne hii yk!
VPN ikiwa UK🚮🚮🚮 Netherland watu weweeeeee
Huu utaratibu alioweka Elon sio kabisa kila siku kuna Mabadiliko kwenye X bora hata alivyokua mwenyewe Jack Dorsey
Mtu ameRetweet na umeona kwa bahati mbaya page ya CHUDAI ukasema uangalie zaidi unakutana na “AGE RESTRICTED ACC” sijui Add your Birthday sasa ndio nini???
21
Cinephile retweeted
There are countries you should never migrate to no matter how tough life gets
Saudi court sentences Kenyan domestic worker to 100 lashes for giving birth outside of marriage trib.al/ZDASzGK
Ukiongelea kiini cha tatizo utakuta mtoto ni wa kumi huko, wazazi wanahusika, mila, desturi na dini vitakuwepo, sababu za kiuchumi zitakuwepo pia, mindset kama yako kuwa mtoto alitaka mwenyewe itakuwepo.
Kwenye hii chain yote wa mwisho na muathirika ni mtoto
Replying to @Obure1998
I get your Point, but that's the End Action. Kwa Nini tusirudi kwenye Kiini Cha Tatizo ili tupate Solution nzuri.
Mtoto wa Form 1 tamaa ya Fedha anaitoa Wapi? Huo Uelewa Upo anao anashindwa Kujua nachokifanya Sio Sahihi licha ya Mahuburi, Sex education zilivyo Nyingi Siku Hizi?
2
1
286
Cinephile retweeted
not the case. Kisheria mtoto akifanya mapenzi nawewe, niwewe ndio umeplay part kwenye hilo.
Sheria ziliwekwa hivyo sababu ya power imbalance btn the two parties, ndio maana nikatoa mifano mingine inayofanana ambayo haihusishi watoto chini ya miaka 18.
Wanaume 9/10 kwenye hizi cases huwa wamewazidi hao watoto fedha, umri, uelewa etc, kuanzia mwanzo wapo handicapped, ni rare kukuta random nigga na hao watoto.
Again sio mabinti ni watoto wa kike, watoto inatangulia ni binti akiwa na age mates wake tu
Cinephile retweeted
Replying to @Obure1998 @NikoJMT
It’s a cultural thing, wenzetu ni kosa kubwa ila huku kwetu unaonekana ndio mwanaume halisi, shababi au rijali.
Speaking of morals, zetu zina double standards. Now that we are older ndio tunagundua how fvckd up it is. So sidhani kama we had ever taken infidelity kama crime huku!
'Mike Hammer' Star Stacy Keach Dead at 85 tmz.me/4iRl7SN























