Cipher retweeted
Michuano ya UEFA inaendelea kwa siku ya leo, mechi kali zote zipo 777Bet
Usikose odds za leo! Jiunge na 777Bet upate odds kali na Cash Out ya kibabe! 💥
👇 Jisajili sasa kupitia link hii, tumia CODE: 777SON
🔗 777bet.tz/sports
#777BetTz #777BetMabingwa
Cipher retweeted
MUNGU wetu akatufanyie wepesi tena siku ya leo na kuzibariki kazi halali za mikono yetu. 🙏 .
Cipher retweeted
Mwenye hekima hua atafuti kulipiza KISASI, kwa sababu maisha yatamlipizia vizuri kuluko yeye.! 📌
Cipher retweeted
Asubuhi nyingine ya kwenda kutii sheria za wakuu wa wakuu wa wakurugenzi.
Good morning wagonga ulimbo tukateseke tena😂🙌🏾
Cipher retweeted
Good morning wapendwa
📌Hazitaji kitambaa au karatasi ushikie wakati Unapika, nzito Sana🙌
Tsh 90,000
0755693113
📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma
Cipher retweeted
Good morning future billionaires
Don't use you past mistakes to punish yourself currently, forgive yourself wnd begin afresh with determination.
Cipher retweeted
Proverbs 13:20
Walk with the wise and become wise, for a companion of fools suffers harm.
Good Morning!
Cipher retweeted
MUNGU Asante Kwa Zawadi Ya Siku Mpya.Ninakuweka Mbele Yangu Kila Hatua Ya Leo.Fungua Macho Yangu Nione Uzuri Na Ukuu Wako.Niongoze Katika Mawazo Yangu,Maneno Yangu,Na Matendo Yangu.Nipe Moyo Wa Shukrani,Ustahimilivu,Na Hekima Ya Kutumia Vizuri Wakati Wangu.
Good Morning Friends
Cipher retweeted
Ishi vile unaona sawa na sio kwa kuwafurahisha watu, maisha hayana mbadala hivyo usitumie muda mwingi kuwaza watu watakuonaje ilihali wew hauna amani, tafuta amani ya moyo wako kwanza.
Good morning family
Cipher retweeted
Kila hatua ya maisha inahitaji dua, lakini si kila unachokiomba ndicho kilicho chema kwako. Jifunze kumwamini Mungu, maana yeye anajua kilicho bora kwa wakati wake. 🙏❤️
GOOD MORNING!






















