
ON GOD🔗|| Graphic Designer || MELOMANIAC🌐 || @ManCity ||
Joined May 2023
- Tweets65.1K
- Following4.7K
- Followers6.1K
- Likes62.1K
POMPI CLICKS retweeted
Kaka ww humu ni mhenga maana nimeona umejoin 2015 na unafolowas buku ......ina maana humu ndani unapata folowas mia kila mwaka 😁mimi napata folowas 100kwa lisaa ungepata mtoto hapo 2015 saizi angekua darasa la 6
Ww unaitwa legend
Mimi naitwa libro stima
POMPI CLICKS retweeted
Ukikaa chini ukatathmini vizuri utagundua moja ya sababu sisi kua na matokeo mabovu ni kukosekana kwa Semenyo
Anarudi tutapiga watu kama ng'ombe 🔥
POMPI CLICKS retweeted
Japo huruma siyo malezi
Ila hapa mnatuonea sisi ambao elimu haikutusaidia,
Tukaona fursa mahali ona sasa wametukumbuka na sisi 😢😢😢
Sasa itakuwaje na wateja wenyewe wananunua mitumba wamegoma kushona?
BASATA kwanini msidili na mawinga jamani sisi mafundi mtuache angalau
POMPI CLICKS retweeted
Wagonjwa wa ukimwi huwezi tumia nguvu kubwa kuwajua humu wenyewe hawapostigi salamu za good morning. 😁😁😁🫵
POMPI CLICKS retweeted
Huyo Janja Aliyetoka Chumbani Kwake Kuja Kuchana Alikuwa Kashushiwa Kichapo na Maaskari Hawezi Hata Kutembea, Ila Aliposikia Dundo la Lamar Ikabidi Apone Kwanza😁🫵
POMPI CLICKS retweeted
Tunatengeneza PICHA MBAO, KIOO FRAMES
Nitumie PICHA yako DM/WhatsApp, ☎️ 0677523114.
A4 | 10,000/=
A3 | 20,000/=
A2 | 45,000/=
A1 | 90,000/=
Tunapatikana,
📍DSM👉 kigambon.
Call/Whatsapp 📞0677523114.
Tunafanya delivery mikoa yote kwa amani
📍 Repost
POMPI CLICKS retweeted
F1 >>>Kuna watu wengi sana siwaoni humu kwa sasa sijui walikufa 29 au waliuza acc mungu awasaidie waliko
F2>>Watu wapo active wanafolo na kuingeji sana follwas 100 kwa lisaa kama upo active weka emoji yoyote au hendo tukufolo ASAP
POMPI CLICKS retweeted
Mechi 10 za ligi
Ushindi 10 sawa na 100% za ushindi hadi sasa
Huu ni uthibitisho tosha kwamba ile project iliopotea toka mwaka 2022 sasa imelejea
Simba ikiwa bora mara zote kuna jambo zuri hutokea katika ligi yetu
Kwanza ligi lazima ipande viwango haijalishi anashiriki peke yake kimataifa au kuna wengine
Yanga toka aanze kutawala soka la ndani kwa miaka hii mitano kila siku ligi inaporomoka viwango
POMPI CLICKS retweeted
Kabla ya kuanza mradi wako ujenzi, hakikisha umepata kibali cha ujenzi na kuandaa nyaraka zote zinazohitajika.
@GeoConstructors @Geo_Traverse GeoTraverse Group of Companies, tunakusaidia kurahisisha mchakato mzima kwa kukupatia huduma za:
✅ Ushauri kuhusu mahitaji ya kibali cha ujenzi.
✅ Uandaaji wa michoro ya majengo (Architectural Designs).
✅ Uandaaji wa nyaraka zinazohitajika.
✅ Uwasilishaji na ufuatiliaji wa maombi ya kibali hadi kipatikane.
Tunajali muda na gharama zako, ndiyo maana tunakuhudumia kwa weledi na gharama nafuu.
Unahitaji msaada wa kupata kibali cha ujenzi? Wasiliana nasi leo!
📞 0763 782 274 / 0719 336 667 (WhatsApp)
🌐 geotraversegroup.com
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Building Better Futures Together.
#GeoTraverse #KibaliChaUjenzi #UjenziTanzania #ArchitecturalDesigns
POMPI CLICKS retweeted
He will not allow the sun to strike me by day, nor the moon by night. He will command His angels concerning me to guard me in all my ways. This is my assurance for today:
I am protected, covered by His grace, and guided by His unfailing love. No matter what the day brings, I walk in the confidence that God is watching over me. 🙏❤️
POMPI CLICKS retweeted
Nguvu ya kuendelea kulala unaitoa wapi wakati unaishi chumba kimoja kama Mkimbizi.






































