Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi) header
Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi) profile picture

Naibu Katibu Mkuu BAVICHA Bara 2024-2029. B.A. in Development Studies UDSM 2022-2025 PYPA Alumni 2024

Iringa
Joined November 2023
Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)Photo by Revline Albert Mbugi. (@RevlineMbugi)
Mjumbe kutoka jimbo la kilolo. "Stronger Together"
212
127
43
2,102
239,643
Wewe ni Mshindi Mwenyekiti. 1.Kuzima mtandao kumewasanua hata waliokuwa hawajui kinachoendelea kujua udhaifu wa Muhimili wa Mahakama. 2.Kutoka kwenye uhaini Hadi uchochezi kumeonyesha kuwa mkubwa akikosa ni ngumu kupiga magoti na kukili mbele ya umma. TUTASHINDA.
7
34
682
Revline Albert Mbugi. retweeted
“Mauaji ya 29 Oktoba 2025 ni makubwa na yakutisha kuliko mauaji ya Sharpeville ya Afrika ya kusini ya 21 Machi 1960 kipindi cha ubaguzi wa rangi” #UkweliHakiUwajibikaji #FreeTwahaMwaipaya #FreeCollethaNtidyicha
2
39
127
2,578
Revline Albert Mbugi. retweeted
Ndugu yangu Twaha Mwaipaya BADO hatujampata. Tuendelee kuweka #FreeTwahaMwaipaya au kurepost bila kuchoka kama ambavyo alikuwa mtu asiechoka juu ya kupambania nchi yake. #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
5
338
864
10,328
Revline Albert Mbugi. retweeted
Tafsiri halisi ya chaso chanzo cha fikra bora, vijana wanawaza kwa kuufikirisha ubongo. Sio kama yule anayeongea kama amekatwa kichwa. Hii ndio tofauti yetu sisi na wao.
2
82
1
318
4,641
Revline Albert Mbugi. retweeted
Jeshi la polisi @tanpol nawambia kwa mara nyingine acheni kucheza na amani ya Nchi,narudia tena acheni kucheza na amani ya Nchi hii.Kila kituo tunachokwenda hayupo na waliomkamata ni polisi ina maana kuna polisi ngapi nchi hii.Kwa sababu kiburi chenu ni kikubwa endeleeni kuziba masikio,jueni hamna risasi za kuua watanzania wote.
6
32
1
126
2,173
Tangu Tarehe 14/10 mpaka leo @tanpol hamjasema alipo Mwenyekiti wa BAVICHA MKoa wa Kigoma.
2
26
97
928
Jeshi la Police @tanpol Yuko wapi Mwenyekiti wa BAVICHA MKoa wa Kigoma Coletha Ntinditya?
1
20
74
623
Revline Albert Mbugi. retweeted
Tunalitaka Jeshi la polisi @tanpol Kumuachia mara moja.Na tunaendelea kusisitiza kuwa Amani ya Nchi hii itaharibuwa na nyie msipojiangalia.
19
1
43
1,111
Revline Albert Mbugi. retweeted
Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Kigoma Kamanda Coletha amekamatwa jana ahsubuhi maeneo ya kwa Azizi Ally temeke na jeshi la polisi @tanpol , tumekzunguka vituo vyote vya DSM polisi hawataki kusema ni wapi wanamshikilia na kwa kosa gani. Tunawataka @tanpol kuheshimu Sheria.
2
19
1
51
2,277
Revline Albert Mbugi. retweeted
PUBLIC STATEMENT @IPUparliament
7
75
2
195
8,101
Revline Albert Mbugi. retweeted
Lissu: Jana, "Mkiona Uhaini umethibitishwa msiogope kuninyonga." Katuga: Leo anasema "sio Lazima hata mkimkuta na hatia mumnyonge. Adhabu ni kuanzia 0 hadi kifungo cha kunyongwa hadi kufa." NB: Jamhuri wanaogopa kumnyonga Muhaini wao. Tulishtuka kitambo nia ni nini? UENYEKITI.
22
151
5
818
29,897
Nikiwa na Mwenyekiti wangu wa Kanda ya Nyasa Mhe.@TheRealJongwe . #FreeTunduLissu
5
16
188
3,300
"Tujiandae Kazi iliyopo mbele ni kubwa " Neno la Leo la Mwenyekiti baada ya mawakili wa Serikali kumaliza kutoa majumuisho yao. Majaji wamepanga Tarehe ya hukumu ambayo ni Tarehe 6/11/2026. #FreeTundulissu
1
7
37
443
Mapema leo kwenye Warsha ya Viongozi Edwin Mtei House Mikocheni. #FreeLissu #KijanaNaKatiba
1
32
525