Rokpa (@Rokpaa) header
Rokpa (@Rokpaa) profile picture

You can't treat people as garbage and worship God at the same time.

Winchester, England
Joined September 2017
Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)Photo by Rokpa (@Rokpaa)
Replying to @MariaSTsehai
You can't treat people like garbage and worship God at the same time🤕🤕
2
12
"Tundu Lissu yupo gerezani kwa mabavu tu na bila makosa yoyote, yupo gerezani kwa sababu tu wameamua wamuweke gerezani, kumtesa na kumzuia asionekane katika kipindi hiki ambacho dhuluma na maonevu makubwa yanafanyika katika taifa letu." Mhe. Luhaga Mpina
75
1
379
5,244
Rokpa retweeted
Never let non-sense issues invade your mind.
8
17
1,212
Rokpa retweeted
Bila kuchoka.
16
202
1,521
22,793
Kama NDUNGURU na SAMIA walizani kwa ile hukumu ya LISSU luwa wana mkimbiza kumbe ndio wanamsindikiza. One aibu waliyoipata mahakama ya adul na samia
7
57
405
4,335
Kama angetaka kuwa nje, angetoka kitambo sana, hata kwa kuwalaghai majamaa kwa hoja ya 'maridhiano' fake. Yuko kwenye "mission" maalum ya KUANIKA uozo wa Mfumo wa Utoaji Haki wa hii nchi. Ndio maana huwa anatabasamu muda wote. Lengo likitimia, tutamuona tu uraiani. TUMUOMBEE.
42
254
4
1,004
86,013
Wasaliti wanajitoa akili tu na hizo “strategic engagement” zao. Lissu ana uwezo wa kufanya hizo “strategic engagement “ yeye mwenyewe akiwa hapo hapo gerezani na hata wauwaji walipoanza kumtembelea gerezani usiku kwa ajili ya “strategic engagement” Lissu aliwaanika mahakamani na kusema hadharani hataki kutembelewa gerezani usiku , akasema yeye anachotaka ni utawala wa sheria ndio uongoze njia. Lissu amegoma mazungumzo ya kihuni na kitapeli. Lissu amegoma kupiga magoti kwa watesi wake ila wasaliti wanafosi kumpigisha Lissu magoti kwa watesi wake, wasaliti wanafosi kuwapigisha magoti Watanzania kwa watesi wao waliowapiga risasi October 29. Wasaliti wanafosi Watanzania wakubali na ku accept kutawaliwa na CCM kwa mtutu wa bunduki. Watanzania vita dhidi ya John Heche inaanza ili maridhiano ya kihuni na kitapeli yafanyike, TUSIKUBALI. Tupambane na hawa wasaliti kwa nguvu zetu zote.
Kama angetaka kuwa nje, angetoka kitambo sana, hata kwa kuwalaghai majamaa kwa hoja ya 'maridhiano' fake. Yuko kwenye "mission" maalum ya KUANIKA uozo wa Mfumo wa Utoaji Haki wa hii nchi. Ndio maana huwa anatabasamu muda wote. Lengo likitimia, tutamuona tu uraiani. TUMUOMBEE.
14
187
1
1,081
82,581
Gwajima aliwahikusema kushinda kwenye uchaguzi kwa hila ni rahisi ila kuongoza nchi iliomeguka ni vigumu sana. Hii sound naisikia mara kwa mara kwenye akili yangu
29
137
1,170
Rokpa retweeted
Tulisema Lissu sio Mhaini (imethibitika). Sasa tunasema Lissu sio Mchochezi. Nyie mnasemaje?
25
194
4
1,595
21,076
"Sisi kama mawakili tumeshajiandaa, tumeshajipanga na tumeshaanza mchakato wa kwenda Mahakama ya Rufaa ili kutafuta haki ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Tunaamini kabisa ni mtu asiye na hatia." - Wakili Paul Kisabo
4
41
567
11,764
Yunge, we welcome you warmly into our family, just as we are delighted to become part of yours. May your home be filled with laughter, your hearts with peace and your years together with happiness and fulfilment.
113
311
14
3,435
157,249
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya, David McAllister, ametaka Serikali ya Tanzania kumwachia huru mara moja na bila masharti Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Katika taarifa aliyotoa leo Novemba 7, 2026, McAllister amesema hukumu ya kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi, baada ya Lissu kuachwa huru kwenye shtaka la uhaini, ni hatua isiyoendana na kanuni za demokrasia na uhuru wa kujieleza. Amesema Lissu amekuwa mahabusu kwa zaidi ya siku 500 katika kesi ambayo Bunge la Ulaya limekuwa likiita ya kisiasa. McAllister pia ameeleza kuwa kesi hiyo imekuwa kikwazo kwa haki ya wananchi kutoa maoni yao. #MeaMswahiliUPDATES
9
53
2
319
10,285
Hata Nyerere hakupambania Uhuru wetu hivi. Ahsante sana Tundu Lissu 🙏🏾
17
175
3
1,058
11,954
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government. Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend. This is not justice. This is damage control. History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu November 6, 2027 —Admin.
66
1,203
15
3,787
73,037
Imefikia hatua ninaichukia sana nchi yangu.
37
98
7
597
18,620
2030 ndio mwaka tutakaopata ukombozi. Ataachiwa huru na utabiri utakuwa umetimia🙏 Let’s keep pushing 💪
58
289
4
2,276
56,167
Watu Makatili hii nchi 🚶‍♀️🚶‍♀️Anyway Mungu anaona.
MAHAKAMA ; MAHAKAMA INATOA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE (4).
4
15
145
3,604
Rokpa retweeted
LISSU anapendwa na watanzania wote wenye akili timamu, isipokuwa wale wasenge wasenge tu machawa wa CCM
10
63
2
361
3,589
Rokpa retweeted
TAL a man of consistency.
3
37
535
Kesi ya uhaini imeisha. Lissu ameshinda. Sasa imeanza kesi ya Abdul na mama yake. #FreeTunduLissu
11
186
2
1,099
16,586
Njia moja ya kukuza kipato chako kwa kasi, watunze wazazi wako.
1
6
49
677