
⚽ SPORTS ANALYST | 🎙️ CONTENT CREATOR 📊 Sports Analysis | 🎮Gamer 🏆 Forbes-Recognized | 👑 Founder @SamalenTV | @SamalenTips 🤝 Philanthropist
SAMALEN TV
Joined February 2023
- Tweets36.1K
- Following93
- Followers18.7K
- Likes70.4K
Pinned Tweet
Anko wangu alinitembelea kidogo tukazungumza mambo mengi sana , Sijutii kuwa na anko kama yeye ✌️🙌
Odds 600+ aisee hongereni sana mlioshinda , hii imenipa moyo sana kuwa na mimi ipo siku huenda nikashinda hivyo 👊
Kuna mashg humu, Mwanaume huwezi ku screenrecord mwanaume mwenzako alaf unamsave kwenye simu yako ili baadae uje u post , time will tell nilisema hata kama itachukua miaka 10 lakini kuna watu humu lazima mtabebwa tu 📌 kama ni mkwara tutajua 🤝
Kuna siku nimesema makampuni mengi yananitafuta nifanye affiliate huyu niliyem quote hapa akawa anasema uongo, kuna muda watu wengine unawaacha tu hauwajibu maana ukiwajibu wanasema una dharau madogo acheni ujuaji 🤫
Mamlaka zinazohusika na usafiri wa Anga Tanzania zinatakiwa kuwa makini there is something bad i see kwenye ndoto 😭😭😭😭😭
Je nathan kimaro ni nani?? Je amewezaje kuyafanya yote hayo?? TUTAFAKARI na usondoke bila kuifollow @Samalentips kama kuna taarifa unatamani tuifatilie unaweza kutuambia tukajiuliza kwa pamoja 🤝













