
photographer| shot Potrait | Event |Cooperate For Booking +255(0)715584281 #letskeepmemoryalive 📸💥
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2020
- Tweets1.5K
- Following480
- Followers261
- Likes3.5K
Ak_shots retweeted
Unaweza kupoteza kitu katika maisha yako ukajilaumu ama kusikitika, kumbe kupoteza hicho kitu kunaweza kubadili mfumo wako wa maisha na kupata kilicho bora zaidi.
Ak_shots retweeted
Uwezo wa kumfanya binadamu mwenzako akajisikia kuheshimika, kuonekana, kusikika na kueleweka unaweza kukufungulia milango usiyoitegemea.
Ak_shots retweeted
Beginner Photographer ...
- Jifunze Composition,
- Jifunze na ijue, nje ndani kutumia Camera yako,
- Jifunze Kutumia Mwanga Halisi,
na Mwanga wa Kutengeneza...
(Natural and Artificial Lighting)
- Jifunze Editing
Then,
↳ Jifunze namna ya kuuza huduma yako,
↳ Jifunze Niche zisizopungua 5 then specilize kwenye 1,
↳ Jifunze Ku-negotiate,
↳ Jifunze ku-Communicate,
Kumbuka,
Kutengeneza hizo Skills inachukua miaka,
Take time and Build yourself,
kwenye hizo Skills...
Ak_shots retweeted
Hivi ndio vitu vya kuzingatia kama unataka Gears zako (Camera na Lens) zako zidumu kwa muda mrefu.
1.Vifanyie Mantainance na usafi vifaa vyako mara kwa mara: uchafu, alama za vidole na vumbi vinaathiri sana utendaji kazi wa lens yako na camera kuna vifaa maalumu..
Inaendelea... – at Dar es Salaam, Tanzania
Ak_shots retweeted
PHOTOGRAPHY Ni kazi Ambayo ukiwa nnje unaweza ukaichukulia poa sana na ukahisi ni rahisi san kuiendesha na ikaendesha maisha.
.
Lakini kiuhalisia Haipo hivyo.
You have to pay the price vya kutosha. – at Dar es Salaam, Tanzania
Ak_shots retweeted
PHOTOGRAPHERS.
Zingatia sana vidogo vidogo kila uendapo kwenye Shoot yoyote either iwe Events, Photoshoot au Cooperate.
Vitu kama Kuvaa Vizuri, kunukia na kuwa ontime katika Ratiba hiyo.
Wateja wanaobserve sana vitu hivyo na vinaweza vikashusha au kupandisha Thamani yako.
Ak_shots retweeted
Ongea na watu vizuri, Usichoke kutengeneza watu, Hayo maisha mazuri unayo yataka yako kwa watu. Bila kumsahau kumtanguliza Mungu mbele pia.
Ak_shots retweeted
Nilipata wasaha wa kupiga picha katika.
Tanzania Dji Drone user Conference.
Hizi ni baadhi ya picha za matukio katika Event hiyo.
Kwa mahitaji ya huduma ya picha katika Event yoyote tupigie kupitia 0715584281 – at Dar es Salaam, Tanzania
Ak_shots retweeted
Happy Women’s Day to all the incredible women!
To all the women who make the world a better place with their love, courage, and kindness—this day is for you! – at Dar es Salaam, Tanzania
Ak_shots retweeted
If you judge other people you won't be able to do anything SPECIAL due to fear of being judged.
—Sam Ovens
Ak_shots retweeted
Cooperate Training 📸
@charlesnduku X @SILENTOCEANLTD
📸 @ShotsAk
For Photography & Videography in
Any Events/
Employee Recruitment/
Digital Training session/
Seminar/
Team Building/
Kindly Contact Us
Email: [email protected]
Call/whatsapp: 0715584281
@charlesnduku
Ak_shots retweeted
Waziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba Katika Hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, Kigamboni Dar es salaam, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi Maalumu.
Photoby: @ShotsAk
☎️ 0715584281
👇 – at Dar es Salaam, Tanzania
Ak_shots retweeted
Wasikilizaji.
.
By the way kwa huduma ya Photography & Videography katika
Events/
Employee Recruitment/
Training session.
☎️ 0715584281
Rt yako Ni muhimu sana ili iweze kufika mbali.
Ak_shots retweeted
__Kwenye mchakato wa kujitafuta, nilijifunza somo hili kubwa...👇
Kwenye maisha kuna vipaumbele vikubwa 5:
- Afya (fitness)
- Biashara
- Spirituality
- Mahusiano
- Utimamu wa kifikra
Kama kwenye maisha yako huna vipaumbele kwenye haya 5, basi kuna shida mahali.
#WEWENIMGODI































