Silivia retweeted
Dear men, if she says she's not okay, tell her she will be fine.
Never ask her whats wrong 🤏
Silivia retweeted
Kila mwanaume kwenye ulimwengu wa sasa ana mwanamke wake wa malengo ( girl of his future ) haijalishi anatongoza wanawake wangapi atawachezea wangapi lakin mwisho wa siku akiwa na mwanamke wake wa malengo anaweza kukuzimia simu na kutojibu sms zako .ili tu usimwunbue na kumkera
Silivia retweeted
DALILI 11 ZINAZOONYESHA KUWA MPENZI WAKO AMEKUCHOKA.
Ikiwa upo kwenye uhusiano wa kimapenzi unaokunyima amani ya moyo, kutokana na badiliko la uhusiano wako usilojua limetokana na nini...
Zifuatazo ni dalili 11 zitakazokuonyesha kwamba mpenzi wako uliyenaye kakuchoka kutokana
Silivia retweeted
Love you Mama.
Hope one day you have this.❣️
@TecnomobileTZ
#SambazaFuraha
Tunafahamu kuwa, mpira una raha yake, ila kumzawadia umpendae ni raha zaidi! 🥳🎁
#SambazaFuraha kwa mtu wako wa karibu kwa kumshindia simu toleo la CAMON 19 au SPARK 9 Sports Edition BURE!
Unachotakiwa kufanya:
1. Quote tweet pinned tweet hii
soma zaidi 👇
Silivia retweeted
BOSS ALIYEMFANYA MKE WAKE KUWA MPIKA CHAI OFISINI ILI KUPIMA TABIA ZA WAFANYAKAZI WAKE:
Ilikuwa mnamo mwezi wa tano Mr.Jacob rasmi akiwa anafungua kampuni yake mpya iliokuwa ikijihusisha na masuala ya uuzaji wa mbao, magari na usafirishaji. Kampuni ilifunguliwa na shughuli
Silivia retweeted
Tunatumia pesa nyingi kununua data kwa sababu simu ndio rafiki pekee wa kweli ambaye wengi wetu tunaye.
Silivia retweeted
Za ndaaaani kabisa, Uongozi wa Konde Gang umezuiya Instagram Account ya Anjella pamoja na Digital Platform zake zote na ameambiawa alipe 400M ili avunje mkataba,. Kesi nw ipo BASATA kiufupi hali ni Tete sanaaaaaa,.🥺🥺
Silivia retweeted
🦅TRICK YA KUUZA SIMU YAKO USED KIRAHISI!📚📚📚
Umewahi kusikia ule msemo wa simu used za dubai ?😇😀 au simu used za kwa trump au kwa madiba bondeni 😀,mara nyingi unachukua simu kubwa kwa bei ndogo sana unakuta iphone x mpya 700k lakini used unaipata kwa 400k Retweet afu 👇
Silivia retweeted
"She is so full of love that no one who asks for her intercession is rejected, no matter how sinful he may be. The saints say that it has never been known since the world began that anyone had recourse to our Blessed Lady, with trust and perseverance, and was rejected."
Silivia retweeted
Pale unamaliza kuachwa unaingia twitter kujifariji ghafla rafiki yako anakuambia utembelee hizi page @PleasureMe19 @swadakta_ @heisbixen 😅😅😅
Silivia retweeted
I Love the way you Love me, Thanks so much for always making me Feel like a Queen....
Happy 1st Anniversary to Us Baby♥️
#TheGills
Silivia retweeted
Gundua upekee wako ulionao na Jifunze kuutumia. uwe huduma inayowafikia watu, katika kutatua matatizo ya maisha yao, ya kila siku.
Muwe na wiki njema ✊.
Silivia retweeted
Kuna muda uvumilivu unaweza kukupa vitu sahihi, matokeo sahihi watu sahihi, maisha sahihi na majibu sahihi,jifunze kuvumilia.

























