
Husband| RAN & Power Energy Product Engineer @Huawei| Telecommunication Industry|UDSM Alumni|Leader|Digital Strategist|Social Activist| Runner|Tanzanian
Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿
Joined June 2015
- Tweets153K
- Following15.4K
- Followers31.8K
- Likes133K
Pinned Tweet
Last week, I married my missing rib and found my peace......
Now we are Mr&Mrs Simon Msenga, God is good always! – at Tanzania
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Grateful to attend @Huawei SAR ICT MSSD Safari Elite Training in Dongguan, China🇨🇳 (23–28 Aug 2026), alongside colleagues from across Africa. 🌍
An inspiring journey of learning, innovation, cultural exchange & professional growth! 🇹🇿🚀
#Huawei #ICT #CareerGrowth – at Dar es Salaam, Tanzania
Grateful to attend @Huawei SAR ICT MSSD Safari Elite Training in Dongguan, China🇨🇳 (23–28 Aug 2026), alongside colleagues from across Africa. 🌍
An inspiring journey of learning, innovation, cultural exchange & professional growth! 🇹🇿🚀
#Huawei #ICT #CareerGrowth – at Dar es Salaam, Tanzania
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Mombo ameiharibu sana TiSS, imekuwa ya kiwaki sana, inafanya mambo ambayo hata ukisikia aibu unaona wewe
Nguvu ya Mamlaka inatumika hadi kuamua kesi za mapenzi?
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Swali langu ni moja tu.
Zanzibar imewezaje kupandisha bajeti yake kutoka billion 800 mwaka 2017 na trillion 1.5 mwaka 2021 mpaka trillion 8.5 mwaka 2026/27?🤔🤔🤔
Haya mapato wameyatoa wapi ghafla kiasi hiki??🤔🤔🤔🤔
Hilo tu!
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Jifunze mapema sana "ela nyingi" kwako ni shilingi ngapi.
It will help you to think about wealth in a very different way. – at Dar es Salaam, Tanzania
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Lissu: Waeleze majaji kama mimi ni mpiga picha wa Jambo TV
Shahidi: Sina hakika
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Kijana wa Mwanza aliyesoma IFM na Cambridge UK. Akajikita katika ubunifu wa Teknolojia, akapewa tuzo na Malkia Elizabeth na anakutana na viongozi wakubwa wa dunia na mabilionea. Forbes inasema ni Mtanzania Bilionea ajaye. Isaya Yunge anamuoa Charlene, binti wa Rais Ruto wa Kenya
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Make alliances with those below you, and elevate them to positions of power to secure their support in times of need.
Eng.Simon J.Msenga retweeted
TTCLL ilikuwa ukiomba home internet wanachukua siku 5+ kują kufanya survey , Huduma hiyo wamechukua Huawei na wakamkabidhi Mhindi asimamie aloo, Jamaa wanapiga kazi mpaka saa 5 usiku, Kanjibai saa 12 asubuhi yuko kazini anaondoka saa 6 usiku
Wabongo się kwenye usimamizi HAPANA
Pale #DemokrasiaYetu inapofikia kusababisha watu wenye utaalamu kuamua kunyamaza kwa kuogopa kutoa ushauri ni mbaya sana.
Nchi yetu ni nzuri, inahitaji ustawi mzuri katika misingi ya Kweli, haki na amani. – at Dar es Salaam, Tanzania
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake, mtaendelea kukwepa uhalisia hadi lini?
Amri iliyotolewa na Bwana Katambi ya kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa imezua maswali makubwa kuhusu haki za kisiasa, uhuru wa kujieleza na mustakabali wa demokrasia nchini. Hatua kama hii inaweza kutafsiriwa na wengi kuwa ni njia ya kuzuia ushindani wa hoja badala ya kujibu hoja za wapinzani kupitia mjadala wa wazi.
Wananchi wanahitaji majibu ya maswali ya msingi:
Je, kuzuia mikutano ya hadhara kutapunguza ugumu wa maisha unaowakabili wananchi?
Je, kutarejesha imani ya wawekezaji na washirika wa maendeleo?
Je, kutatoa majibu kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu, yakiwemo matukio yaliyoripotiwa tarehe 29/10/2025?
Je, kutatoa majibu kuhusu tuhuma za ufisadi na utajiri mkubwa wa baadhi ya mawaziri na watumishi waandamizi wa serikali, ambazo zimeendelea kuzua mjadala na maswali mengi ya uwajibikaji?
Changamoto za taifa haziwezi kutatuliwa kwa kuzuia mikutano ya kisiasa. Wananchi wanatarajia kuona uwajibikaji, utawala unaozingatia sheria, taasisi imara na majibu ya hoja zinazogusa maisha yao ya kila siku.
Demokrasia yenye afya hujengwa kwa kuheshimu haki za wananchi za kukutana, kujieleza na kushindana kwa hoja. Serikali yenye kujiamini haipaswi kuogopa maoni tofauti; inapaswa kuyajibu kwa hoja, uwazi na matendo yanayojenga imani ya wananchi.
Eng.Simon J.Msenga retweeted
Wa America hawaamini kwamba watu kutoka 3rd World countries can spend luxuriously nchini mwao😆
Eng.Simon J.Msenga retweeted
YouTube ni chuo kikuu cha bure, 😅 Miezi 3 nyuma nilijifunza ku-add biashara kwenye Google Location, leo tayari nimepata wateja wawili. Sasa nimehamia Google Ads. Hatua kwa hatua.































