sobibo Himself🌴 retweeted
Mothers ni favorite kwa watoto kwakuwa plays to manage emotional part, Madingi huwa wanatuandaa zaidi na ulimwengu in a hard way thus why kuna namna kama inaokeana hawafanyi kazi bora kwenye malezi ila kimsingi that's a real gentle work.
#HappyFathersDay.
Mothers ni favorite kwa watoto kwakuwa plays to manage emotional part, Madingi huwa wanatuandaa zaidi na ulimwengu in a hard way thus why kuna namna kama inaokeana hawafanyi kazi bora kwenye malezi ila kimsingi that's a real gentle work.
#HappyFathersDay.
Sijui chochote kuhusu pepo, ila nina uhakika haendi.
Neno moja kwake Jaji Chande
Comment ziwe fupifupi waje wasome zote 🙄👊🏽
Tusiogope! #TutaelewanaTu
38
Ramadhan mubaraq kwa waumini wote wakiislam wanafunga na kufungua kwa muandamo wa mwezi usiozingatia mipaka wala masafa maalum ya kijiografia.🙏
Mamlaka nchini Saudi Arabia zimetangaza rasmi kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatano Februari 18, 2026 baada ya mwezi mpevu kuonekana leo Jumanne, Februari 17, 2026.
Kwa mara ya kwanza, teknolojia ya kisasa ilitumika katika Kituo cha Kuchunguza Sudair kusaidia katika kuona mwezi mpevu, huku Kituo kipya cha Kuchunguza Tamir kikiendelea na utamaduni wa muda mrefu wa uchunguzi wa mwezi wa Ufalme chini ya viwango vya kisayansi vilivyoidhinishwa.
#KitengeUpdates
2
43
sobibo Himself🌴 retweeted
Find your path, own your journey...Ukikosa mwelekeo, dunia itakusukuma popote
Jiji limepigwa Light Off na Delta force, Maduro and his wife Cilia wananyakuliwa kwenye ardhi yao all the way to US...WHO ARE U😀🙌🙌
"The United States of America has successfully carried out a large scale strike against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro, who has been, along with his wife, captured and flown out of the Country. This operation was done in conjunction with U.S. Law Enforcement. Details to follow. There will be a News Conference today at 11 A.M., at Mar-a-Lago. Thank you for your attention to this matter! President DONALD J. TRUMP"
1
40
sobibo Himself🌴 retweeted
Dear graduates, we know mtaani ni pagumu, ajira hakuna but enjoy it to the fullest...You graduating for the three, four if not five years you put it in the work at university. No one is ever graduated from the street and he/she will never be. Congratulatios is all you deserve.
Mwili mkubwa, akili kisoda🚮
Hata Saa Mbovu kwa Siku inakuwa sawa Mara mbili, ATLAST SOMEBODY WITH A VOICE kasema kitu, Elaboration ya Diamond kuhusu kila mtu kujipambania kaiweka sawa sanaa, KILA MTU YUKO KAZINI, tunadanganyana sana Mitandaoni na kwa ground mambo ni different, Binadamu tuna Unafki tu, ILA🙌🏽
1
67
sobibo Himself🌴 retweeted
Live within a means, uchumi ukishuka shuka nao jipange upya, Usilazimishe ku maintain same life standard. Cheza chini, kusanya nguvu....Epuka mtego wa madeni, utavunja hadhi na uaminifu kwa wanaokuamini.
#ElimikaWikiendi
Live within a means, uchumi ukishuka shuka nao jipange upya, Usilazimishe ku maintain same life standard. Cheza chini, kusanya nguvu....Epuka mtego wa madeni, utavunja hadhi na uaminifu kwa wanaokuamini.
#ElimikaWikiendi
Mulifanya kampeni na propaganda za kiduwanzi sana kwenye uchaguzi dhidi yake....Binafsi Naunga mkono No RFM No Election lakini pia namsupport akiwakataa. Hakuna shavu lapili bro, TOA wembe nitoe KISU.
Kwako Mh Freeman Mbowe.
Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu. Tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya ulipokuwa Mkti wetu.
Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku mwenyekiti wetu, Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na Chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.
Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbali mbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki. Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.
“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”
Wagalatia 6:7
Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi? Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?
Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20. Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani. Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano .
Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.
“Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10
Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwanini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki , maana hata Kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu. Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako Mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ?
Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa. Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma ?
“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”
Nelson Mandela
Kwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba , usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini.
Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko.Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.
Huu si mwaliko wa ugomvi. Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.
“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”
Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali.
Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya haki.
1
89
Kwa HESHIMA😀😀
#EATVSAA1 Mama mmoja anayefahamika kwa jina la MAGDALENA ZABRON NTONELA Mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, ameomba kulipwa mafao ya Serikali Kuu, kupitia mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma PSSSF, baada ya kulipwa shilingi Elfu sita tangu alipostafu mwaka 2020, huku akihangaika bila majibu hali inayompa hofu ya kupata magonjwa hasa Presha na kuwa hatari ya kupoteza maisha. #EastAfricaTV
45
sobibo Himself🌴 retweeted
Kupata taarifa google ni bure, Google digital garage ni bure, Youtube tutorial ni bure, Any desk ni bure. Ajira zinakuja na kupotea....Ujuzi wako ndio backup yako pekee kwenye hali yoyote ya kiuchumi.
#ElimikaWikiendi
Kupata taarifa google ni bure, Google digital garage ni bure, Youtube tutorial ni bure, Any desk ni bure. Ajira zinakuja na kupotea....Ujuzi wako ndio backup yako pekee kwenye hali yoyote ya kiuchumi.
#ElimikaWikiendi
sobibo Himself🌴 retweeted
"DUTY OF SECRECY" ni wajibu wa kila Benki kwa wateja wake lakini kwa mujibu wa sheria zetu ziko baadhi ya mamlaka kama TISS na Mahakama ambazo ziko authorised kupewa taarifa hizo zinapohitajika. Kwahivo suspect yakuvuja kwa taarifa nadhan sio ya CRDB pekee.
















