Qubvan🦁 (@Vanysimba) header
Qubvan🦁 (@Vanysimba) profile picture

Branding/Marketing Strategist | Insurance & Risk management | Export Agent | thoughtful 💡

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)Photo by Qubvan🦁 (@Vanysimba)
Usiwahi kufanya any kind of "Marketing" maybe kulipia "Ads" kabla hujajiuliza haya maswali matatu. 1. Who am i selling to.? (Target market) Obviously sio kila mtu utataka awe ni mteja wako, lazima ujue ni nani hasa atanunua bidhaa/huduma yako by fire or by force. unaweza kuwa-categorize either by Age group or by gender ni muhimu sana. 2. Where are they Located Hii ni muhimu mno, lakini watu wengi wana ignore Unaweza ukawa unafocus sana kuuza lets say Twitter (X) na target market yako ipo 'tiktok' au una struggle kulipia Ads "Instagram" kumbe wateja wako wengi wapo "Facebook" Do your research, jua watu wako wapo active zaidi kwenye platform gani for (Digital marketing) Mfano: kama biashara yako ime-Target zaidi watu wazima(wazee) wanakuaga watu wakanisa/ibada sana, coz wazee wengi ambao wapo retirement age mostly wanakua involved na mambo ya ibada wengi wao utawakuta facebook, so ukitaka kuuza zaidi ni lazima uweke nguvu kubwa Fb coz huko ndipo watu wako walipo. 3. Can they afford my product/services.? Wateja wako wanaweza kumudu bei, hii itakusaidia usipoteze muda. kama unataka kufanya 'Ads' hakikisha wateja wako wana mudu price tag yako ili baadae msije kusumbuana ku- bargain kuhusu bei.
1
3
6
584
Zile B30 ndo zishaenda zake ivyo inatafutwa bajeti nyengine Alooo😄😄🙌🏿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemwelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuunda Timu ya Wahandisi kwa ajili ya kupitia makadirio ya gharama za maboresho ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, kufuatia mvutano unaokwamisha kuanza kwa kazi hiyo kuelekea mashindano ya AFCON 2027. Akizungumza leo, Novemba 27, 2026, katika hafla ya kuwaapisha viongozi wateule Ikulu Jijini Dar es salaam, Rais Samia amesema kazi hiyo bado haijaanza kutokana na mshauri elekezi kueleza kuwa makadirio ya gharama ni makubwa. “Tengeneza timu ya Wahandisi, waangalie hiyo bajeti, kama iko sawa, kazi iendelee, haiko sawa, irekebishwe, kazi iendelee,” amesema Rais Samia. Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kuendelea kuvumilia mvutano huo wakati Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) likisubiri kufanya ukaguzi wa uwanja huo. #MillardAyoUPDATES
9
Kiongozi wa kwanza wa Maisha yako ni wewe. yani ww ndo inatakiwa ubebe maono ya kesho yako na uyafatuate hatakama inabdi ufate vision za watu wengine ila destiny ni kufika kwenye vision yako.
8
Qubvan🦁 retweeted
Creativity is the ability to see possibilities where others see limitations
16
638
15
2,592
33,839
IBRAAH HESHIMA NA SALUTE NYINGI Finally nimepata nafasi kusikiliza album ya IBRAAH ya 1B na kiukweli bado nipo kwenye shock. Album kikawaida huwa zina nyimbo 10 - 18, ila bwana CHINGA ameachia nyimbo 50 !! To give you context, longest albums TZ zilikuwa za Countrywizzy (YULE BOY - 30 songs) na Chindoman (KIJENGE JUU - 41 songs) na hao ni rappers. 🤯 Marekani Chris Brown aliwahi fanya kitu ka hiki; 2019 alitoa album ya INDIGO (42 songs) na ngoma zilisumbua hadi 2022 ambapo wimbo kama “Under The Influence” ndio ukaja ku-hit… 3 years later! Huo ni Uthubutu, Ujasiri na Nidhamu ya Kazi (work ethic) ya kiwango cha juu mno. Ila pia Uthibitisho wa Ukubwa wa Kipaji chake. Ukitoa Album ya nyimbo 15, ukawa na nyimbo 6 nzuri na hit 1 au 2, tunasema album kali.  Sasa LAMINE YAMAL aka MBEBA LAWAMA, album yake (kwa sikio langu) nyimbo takriban 38 nzuri, na aki market & promote vizuri kuna hits zaidi ya 15!! Na hapo nimejitahidi ku-judge kiunoko, maana hizo 12 songs sijazipenda sio kuwa ni mbaya, bali Maudhui, Utunzi na Sound zake zimekuwa redundant (zinajirudia rudia) ILA ukimpa Msanii mwingine ANATOBOA! Ibraah amerithi Work Ethic kutoka kwa Harmonize, ambae nae alirithi kwa Diamond. Babu na Baba yake wa kimuziki now wame focus kwenye show off na vibweka zaidi, so ni fursa ya Ibraah kuchukua mikoba na ame take advantage vilivyo na album hii. PENMANSHIP: Utunzi wa Mashairi ni wa kiwango na kiufundi. He is philosophical, direct, stylistic, retrospective. but the lyricism & rhyme pattern ni ya juu kuliko hata baadhi ya Rappers. VERSATILITY: Ameonyesha uwezo wake wa ku-adapt ni many styles. Album ina Koumpa, Zouk, Afro-house, Afro-piano, Singeli, Traditional bongoflava.  PRODUCTION: Utayarishaji ni wa moto. Production za Tongwe Records, Mix & Mastering (Laizer), King Pallazo (Mwehu Touch meets Chizi Chinga), Ammy Beats (The bassline in “Bet”  is sick bro 🤯🔥), Master Keys (“Siyawezi” is an instant classic bro).  NUANCES: Selection ya features iko on point; rappers wote wame Deliver (Lunya ka disappoint kidogo 😔) na kwa Waimbaji, Yammy katisha sana (Ila Phina 6/7). Na pia Background Vocalists wametendea haki project. Na pia vionjo, vibwagizo (adlibs) vya Chinga vimetawala na vimependeza sana “Oyaa Wee”, “Ma Gang Gang”, “Wa Milembe”, “Chizi”, “Naimba tena Mapeeenzi”.  VOCAL PERFORMANCE: Vocally amekuwa consistent ingawa kuna some places he was flat & generic. Ila ame compensate hiyo kwa ku-deliver the Right Amount of Emotions respectively on each song. Yaani ukisikia analalamika unamuamini.  Pia nimependa the “Minimalist Approach” maana haja over-sing kabisa bila sababu. RELATABILITY & SUBSTANCE: Amefanikiwa to address mapenzi kwa pande zote mbili (Chungu na Tamu). Ingawa nadhani ametisha zaidi upande wa Chungu (“Siyawezi”, “Siko Nae”, “Tumeachana”).  Ila “Imani” is also a standout ya other side.  Pia ametisha sana ku address issue ya MO29 in “Mabomu”. HESHIMA SANA. Ujue as an artist sio lazima utoe wimbo kutukana Serikali, ila unaweza tu artistically ukaongelea issue kwa juxtaposition na ujumbe ukafika.  Post moja haitoshi kuzungumzia hii project, nitarudi na VIDEO…  Ibraah Hongera sana, na asante kwa kufanya na kutupa Muziki. Naomba ubaki huko huko kwenye muziki, usitumike kwa kiki hasa na walikwaa kisiki kipindi hiki. Tutajadili The Leader  #SupportYourOwn #Workethic #BeberuReviews
34
120
6
842
32,777
Qubvan🦁 retweeted
“Vile NATWANGA hii KINU wachawi finyu, tuna MIUNDO hakuna kutumia MBINU,”🎶🎶 Crazy wrong usiniendeshe, uniogeshe nikuogeshe, 🎶 Unionyeshe nikuonyeshe, nilicho waficha wenzako”🎶🎶 “Kiti cha umalikia himayani chako”🎶🎶🎶 🔂🎧 #PerfectCombo. Joe Makini.
1
1
3
207
Ukitaka kukata tamaa wewe kata tu hakuna mtu atakukataza maana tumechoka kubembelezana kila mtu apambane na maisha yake kivyake.😏
13
28
1
160
3,417
Qubvan🦁 retweeted
Ukikosea njia, unageuka unarudi ulipotoka kuanza upya, sio kuendelea na wrong destination, sawa sawa?
15
91
12
561
25,295
Kuna ngoma ina flex kuanzia beat, Rappers, verses yani ujivuni ujivuni mwingi kila sehemu kama hii😁😁 @MwanaFA #Masta @FidQ
20
Qubvan🦁 retweeted
Accountability should teach you, not imprison you. Life has so much more to offer than endlessly replaying what went wrong.
2
11
39
1,387
Hawa jamaa miyeyusho sana imagine sikuelewa hii tweet😂😂🙌🏿
Kuna former player alienda kuchezea PSG na Mancity amerudi na anataka armband after 7 years away. Zero UCL still.
47
Qubvan🦁 retweeted
Kuna former player alienda kuchezea PSG na Mancity amerudi na anataka armband after 7 years away. Zero UCL still. – at Nairobi, Kenya
149
598
38
4,540
116,885
Qubvan🦁 retweeted
Siku moja walishe masikini halafu mwambie Mungu nilishe siku zote za uhai wangu na vizazi vyangu.
3
28
226
4,708
NMB wanazingua bigtime kweli tunasafafri ndefu sana kuelekea cashless economy.
1
2
79
Ukiwa vyombo kuna mambo unaweza kuongea ambayo ukiwa sober huwezi mm jana wakutongoza demu ambae kimsingi nilikua sina mpango nae kabisaa, nashangaa nmeamka asubuhi na penzi jipya wtf😁😂
1
1
2
21
Kadiri unavyouelewa ulimwengu huu, ndivyo unavyozidi kujiharibu mwenyewe. Ndiyo sababu wapumbavu wana furaha, huku watu wenye akili wakiishi katika upweke.
13
42
2
116
2,703
The biggest mistake amefanya pochetino leo ni kumueka magure nje kaanzisha wagonjwa.
1
2
49
Qubvan🦁 retweeted
Katika kitu unachokifanya, jitahidi sana kutafuta au kutengeneza “Hidden Advantage” yako. Kitu cha cha kipekee kitakachokutofautisha na wengine. Inaweza kuwa ujuzi, namna fulani unavyofanya vitu, namna unavyopangilia muda, mwonekano, au hata namna unavyowasilisha vitu. Kitu chochote kinachobeba Signature yako.
2
9
53
1,848
Tusubirie Poch ball sasa🔴 #LIVMUN
28
Qubvan🦁 retweeted
Lil ommy aliwahi fanya interview na S2kizzy akiwa pale Times FM. Kitu alichosema ni kuwa mtu ambaye alikuwa amemu-inspire ni producer Nahreel na kuwa anamuona kama GOAT ( Ingawa yeye aliteleza na kusema goddess 🤠) Na msanii ambaye anamuheshimu kuliko wote ni country boy na sababu ndiye alikuwa msanii wa kwanza kumuamini na kumu-introduce kwa wasanii wengine. Hii ilikuwa zamani kidogo aliyasema hayo. Baada ya kuwa maarufu anasema P Funk majani ndio role model na akitoka Majani anafuata yeye. Hii yote ni ku try ku fix kwenye narrative ya Jamii. Kisa kila mtu anasema Majani noma na wewe unamueka majani mbele na kusahau watu walio ku-inspire kweli maishani. Mastaa wa Bongo wana unafki sana na kupenda ku-impress media na wasikilizaji. Mimi nimewasikiliza sana watu Kama Nikki mbishi yeye producer wake bora utamsikia mara nyingi akimtaja DUKE na sio kama Majani sio bora ni fact kuwa hajafanya naye kazi na kajifunza vitu vingi M lab kuliko bongo Record. Mtu kuwa mkali haimanishi uli-inspire kila mtu kwaio your not obligated kusema uongo ili kufurahisha watu.
10
31
3
316
24,223
😎Manenoz🔥
Sunday is For Pilau..😎🔥
1
26