AKARO (@akaro255) header
AKARO (@akaro255) profile picture

kilimanjaro

Near you
Joined March 2019
Nimewafuma leo millenia 2 wanalilia Gen Z 😂😂
2
1
3
44,176
AKARO retweeted
MAOMBOLEZO YA MAUAJI YA OKT29 YANAENDELEA NCHI NZIMA SIKU YA LEO NA ZIJAZO
8
53
4
208
14,126
MILLARD endelea kuneemeka na hela za hawa WAUAJI ila ujue pindi wakiondoka - which they will - there will be consequences.
7
85
548
19,672
To all comrades who were buried in mass graves and the disappeared, your pain is unimaginable. May justice prevail. 29/10💔
1
74
2
220
2,442
Rest easy Malaika tutakukumbuka milele #mo29
1
1
46
AKARO retweeted
CDF Msenge
One of the WORST, SMALL MINDED, WEAKEST and CORRUPT CDF Tanzania has ever produced. teapawt.net/lifeofmshaba/status/19…
2
44
180
6,889
"We can no longer afford to pay hospital bills." Families of the 500+ victims killed in Tanzania's post-election crackdown one year ago are demanding justice. bbc.in/4zceH7t
9
282
11
729
31,946
Too many young blood claimed for one to remain in power. RIP Maria. 29.10💔😭
4
87
1
304
3,101
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeungana na Watanzania katika kuomboleza vifo vya watu waliopoteza maisha katika machafuko ya Oktoba 29, 2025, ukiwakumbuka pia mke wa mfanyakazi wa ubalozi huo aliyeuawa kwa kupigwa risasi alipokuwa akirejea nyumbani kutoka sokoni. Katika ujumbe wake wa kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu machafuko hayo, ubalozi huo umesema mwaka jana Watanzania wengi walipoteza maisha, huku familia na jamii mbalimbali nchini zikibaki katika majonzi kutokana na vifo hivyo. Ubalozi huo umesema kifo cha mke wa mfanyakazi wake ni miongoni mwa matukio yaliyowaacha watu katika huzuni, baada ya mwanamke huyo kuuawa kwa kupigwa risasi wakati akirejea nyumbani kutoka sokoni. Katika kuadhimisha kumbukumbu hiyo, jumuiya ya ubalozi ilikusanyika na kusimama kwa dakika moja ya ukimya kwa ajili ya kuwaenzi wote waliopoteza maisha katika machafuko hayo. Aidha, ubalozi huo ulieleza mshikamano wake kwa familia na watu wengine ambao bado wanaomboleza vifo vya wapendwa wao na wanaotafuta majibu kuhusu yaliyotokea. Kumbukumbu hiyo inafanyika wakati Tanzania ikiadhimisha mwaka mmoja tangu machafuko ya Oktoba 29, 2025, yaliyosababisha vifo na kuacha majonzi kwa familia nyingi, huku wito wa kupata majibu kuhusu matukio hayo ukiendelea kutolewa na wadau mbalimbali.
33
123
2,085
Huyu Dada ameniliza sana. Haya ndo maumivu ambayo maelefu ya kina mama ambao walipoteza waume na watoto wao siku ya Oktoba 29, 2025. Kutazama full documentary bonyeza lini hii hapa youtu.be/izWs1lJ4QrI?si=dx8_…
10
160
5
479
10,765
“Tusipopata Katiba Mpya mauaji yatajirudia tena…”-; Askofu Wolfgang Pisa #Mo29 #TanzaniaMassacre
10
171
1
701
9,931
AKARO retweeted
TEC zimejaa PhD, wao wakaamua kuwasikiliza wakina MWAMPOSA. #Mo29
9
151
810
12,864
Mashirika ya kijamii Tanzania zataka waliohusika na vifo vya Oktoba 29 kuwajibishwa bbc.in/4kmo5AT
4
68
237
2,612
October 29–a day that took so much from us! Cry, my beloved country 🇹🇿 💔😭
11
244
1
766
5,617
Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki na la Mitume.🙏❤️ #Mo29 #TanzaniaMassacre
27
298
7
1,500
28,936
AKARO retweeted
Kwenye Series ya The Lord of the Rings: The Rings of Power. Kuna yule jamaa alisema "Kuna watu wamekufa na walikua wanastahili kuishi, na kuna watu wanaishi ila walistahili kufa" Usisahau katik maisha yako yote UNYAMA tuliofanyiwa tarehe 29 Oct siku kama ya leo 🕊️
2
19
34
858
🕊️🕊️🕊️🕊️
TAARIFA KWA UMMA: TATHMINI YA MATUKIO YA OKTOBA 29, 2025 BAADA YA MWAKA MMOJA "UKWELI, UWAJIBIKAJI NA HAKI"
37
We are in so much pain. This is too difficult to comprehend. Mungu tusaidie Watanzania! October 29!💔😭
5
91
299
3,594
mnawakumbuka hawa washakaji waliombaka binti wa rombo wataozea gerezani.😂🚮
7
15
508
Yes, Marekani isikubali hii iwe swept under the rug. Lazma wawajibike….. We thank you for standing with us.
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
8
183
1,101
28,419