amdully retweeted
I truly understand how you feel…and that’s exactly why I chose to apologize publicly because the disrespect became public. On that call I didn’t even mean to call you that, I didn’t mean any harm.. There’s a difference in what I said vs what I meant. What I could have said was you was too forgiving and gave too much mercy in that situation.. But it was a heated conversation and I let my mouth get the best of me. When the call came out I was eight months pregnant, had just released my album, and was extremely overwhelmed and emotional. Thats not to excuse what I said but to let you know where I was in my head. I genuinely felt bad about what happened. In 2025 and 2026 I made multiple attempts to connect…I spoke with your manager, your sister, and even texted you directly to take full responsibility. I always had love and respect for you ! I always wanted to make it right but making it right looks different for the both of us… I wanted to connect with you but you wanted to address it on your album
amdully retweeted
Mamdani and Abdul el-Sayed are literally the worst thing to have happened to the media that spent billions trying to demonise Muslims.
We got Mamdani getting more done in 11 months than Trump has in 2 years.
And now El-Sayed. Even if he doesn’t get as much done as Mamdani, he’ll still expose their lies about him
amdully retweeted
Kenyan innovator Cliff Temba is gaining attention online after developing a bidirectional automatic book page turner designed to help people living with disabilities read independently.
The wait is over!
Tune in this morning for the Grammy Nominations at 4:45 AM PT / 7:45 AM ET on GRAMMY.com and our official YouTube channel. grm.my/4BTdQdE
amdully retweeted
Miongoni mwa project mwaka huu niliipania basi ni hili gheto kukamilika pale Boma- Moshi Kilimanjaro.
Thanks God now tuko 95%.🙏
amdully retweeted
#TajiriLaKihaya
Mara Nyingi nkiona mtu kaComment Haamini DINI yoyote… sijui DINI zililetwa na Wazungu na Waarabu kutupumbaza…
Huwa naenda kwenye profile yake na Search…
90% huwa wameshawahi kupost wanatoka au wanaenda kanisani na si mara moja😅
Ajenda inayokuja kwa kasi hivi sasa ni ya kuutukana Uislamu kwa kisingizio cha kukataa dini zote…
Mkristo anatoka kanisani asubuhi, lakini kwa sababu ya chuki dhidi ya Uislamu, na kuogopa kusimamishiwa hoja juu ya hiyo dini anayoiamini..
Basi mchana ataamua kujitambulisha humu X na kwengineko kama asiyeamini dini yoyote ili kuisukuma ajenda ya kuutukana Uislamu…
Hawajui kwamba Uislamu upo mbele ya Muda..Hawajui hata kutokuamini Dini nayo ni itikadi iliyopewa Majibu kwa Quran na Sunnah
Mtake Msitake Makafiri,Uislamu ndio DINI Ya HAKI…
ALLAAHU AQBAR!!
amdully retweeted
I believe in a world where a Palestinian child and a Jewish Israeli child growing up in the Holy Land can look forward at their life and believe it is not going to be curtailed by somebody's violence.
amdully retweeted
If you’re a Muslim and this appears on your timeline, please re-tweet. You never know who might see it and be reminded to fulfill their Salāh today. May Allah keep us steadfast in our prayers, guide us to never neglect our obligations, and accept our acts of worship. Ameen. 🤲🙏
amdully retweeted
You are not politically neutral
You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
amdully retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo November 6, 2026
Last time tuliishia part 493 so leo tunaendelea na -;
Part 494.
Karani amewasha kipaza sauti kutoa Tangazo kuwa watu wakae kwenye viti vyao na simu zao wahakikishe zinatolewa sauti na milio ya aina yote.
Waandishi wa Habari na wao wako wakutosha sijawahi kuwaona Mahakamani kwenye kesi yoyote wakiwa wa idadi hii ni wengi sana sana.
Hata waandishi ambao huwa hawajagi kabisa naona wamekuja, namuona yule Charles William wa Wasafi nae leo yupo kuna mtiti hapa unataka kutokea, wanataka kumnyayua Mzee Mpoki alienda kukaa viti vya Mawakili wa Serikali 😂😂😂
Wale watoto wa serikali ambao huwa wanakaa kwenye benchi la nyuma ya akina Katuga, leo wamekaa mawakili wa Mhe. wabishi hatari wamegoma kusimama.
Ameingia Mheshimiwa Lissu akiwa na vibe na kusema TUTAFIKA! TUTAFIKA! TUTAFIKA!
Wameingia Mawakili wa Serikali.
MAJAJI walikwisha ingia hata kabla Mawakili wa Serikali hawajaingia.
Muda huu wanawasha zile mic zao ili tuendelee.
Jaji Ndunguru anasema karani tuendeleeee.
Jamhuri dhidi ya Lissu. Anasoma namba ya shauri karani.
Anasimama Katuga anajitambulisha niko na wenzangu Job Mrema, Cathbert mbiringe ba Winniwa Kasala
Tunaiwakilisha Jamhuri na Mshitakiwa yupo.
Shauri linakuja kwa ajili ya uamuzi na upande wa Jamhuri tuko tayari.
Mshitakiwa vipi wewe?
Mheshimiwa Lissu anasema niko tayari pia.
Majaji Wanateta pale kabla hawajaanza kuusoma huo uamuzi.
Jaji Ndunguru anasoma, naomba tusikilize Hukumu.
Katika shauri hili Mshitakiwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)d kanuni ya Adhabu 2023.
Maelezo yanasema kwamba Tarehe 03/04/2025 Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam mshitakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi wa 2025 kwa lengo la kuitishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Kudhihirisha nia hiyo kwa kitendo cha kutamka maneno ya wanasema kitu kimoja sahihi kwamba msimamo huu unaashiria uasi na tutahamasisha uasi na hiyo ndio namna ya kuleta mabadiliko na huu uchaguzi tutauvuruga.
Mshitakiwa alikana hati ya mashitaka na shauri likaanza kusikilizwa.
Kama ilivyo kawaida upande wa Mashitaka waliongozwa na Wakili Renatus Mkude na Ajuaye Zengeli na Nasoro Katuga na anawataja Mawakili wote wa Serikali.
Upande wa Mashitaka walileta mashahidi 17 na ambao kati yao 17 walikuwa ni mashahidi wanaolindwa.
Na mshitakiwa alijiwakilisha Mwenyewe na alileta Mashahidi wanne na yeye alikuwa watano na pia utetezi walitoa vielelezo anbavyo ni 16.
Baada ya upande wa mashitaka kutoa ushahidi na mshitakiwa alijitetea na walileta hoja za majumuisho walileta hoja hizo.
Mahakama hii iliongozwa na kanuni mbalimbali ni
1. Katika Mashauri ya Jinai mwenye jukumu la kuthibitisha ni Upande wa Mashitaka.
2. Kutiwa hatiani kwa mshitakiwa hakutazingatia udhaifu wa mshitakiwa.
3. Ushahidi utatazamwa kwa ujumla wake na sio vipande.
4. Mashaka yoyote hata kama yana uzito kiasi gani hayabadilishi burden ya kuthibitisha shitaka.
Mahakama hii imechunguza kwa umakini hati ya mashtaka, ushahidi na mawasilisho ya pande zote mbili na kuja viini vitatu vya kuthibitisha
Moja: Iwapo Mshtakiwa alikuwa chini ya utii wa JMT
Mbili: Iwapo Mshtakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi mkuu wa 2025 kwa lengo la kuitishia serikali.
Tatu: Iwapo mshtakiwa alidhihirisha nia hiyo kwa kutamka na kusambaza maneno hayo.
Mahakama imeona ni vyema ifafanue kwanza katika hoja ambazo zinaonekana kama mapingamizi wakati wa hoja za majumuisho ya mshtakiwa.
Kwa kuwa hati ya mashtaka ndio inayoanzisha shauri la jinai ni vyema tuamue kwanza kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka. Mshtakiwa alisema hati ya mashtaka ina mapungufu katika maeneo matatu moja kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kinazungumzia kuhamasisha kikundi cha watu, pili hati ya mashtaka haikutoa taarifa muhimu ambazo zilipelekea ashindwe kutoa utetezi kamili na tatu hakuna lengo lilioonyeshwa katika hati ya mashtaka.
Part 495 itaendele kwenye post inayofuata
Naomba Repost yako.
amdully retweeted
It is my honor and privilege to be headed to the US Senate to serve the great state of Michigan.
Michigan, we did what they said couldn’t be done. We won. Together. Now the real work begins.
amdully retweeted
‼️🔥MARTHA KARUA JOINS TWAHA’S LEGAL TEAM‼️
Wakili, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa mashuhuri Martha Karua amejiunga na timu ya mawakili wanaomwakilisha Twaha Mwaipaya leo Mahakama ya Milimani jijini Nairobi!
Narudia 🇰🇪 wakenya ni ndugu zetu 🇹🇿wa faida! Wanampambania Twaha kama vile ni ndugu yao wa damu! 😭
Sisi tunashindwaje hata kuandika #FreeTwahaMwaipaya ?!
Come on! We can do this!
Weka post moja andika #FreeTwahaMwaipaya hadi dunia ikose habari nyingine!





























