edna lyimo retweeted
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉❤️
Stepping into this new chapter with grace, confidence, and endless gratitude. Cheers to more life, more blessings, and more beautiful memories ahead ✨🥂
edna lyimo retweeted
Hii ni Mwanza, Baadaye mje kuanza kusema waandamanaji walikuwa wanafanya fujo.
Kuna mtu huwa anasema wananchi hawana hoja, mara wametoka nje ya nchi. Hii ni Tanzania na hawa ni Gen Z. #D9
edna lyimo retweeted
Jamani wateja wa YAS semeni kuna ishu huko kwenye muamala? 🧐 Au mtu mmojammoja tu ana changamoto?
edna lyimo retweeted
Unakuta mwanamke ni;
1. Mzuri sana
2. Kasoma sana
3. Ana kazi/business anarun 💼
4. Yuko na hela sana 💶
5. Ana thighs gap 🤲🏻
6. Yuko na exposure 🌍
7. Mtu wa Mungu sana
8. Mid twenties and early thirties
Yuko zake single hataki stress na wala hawazi.
edna lyimo retweeted
Tujulishe kama utahitaji tukuandalie biriani + Pilau kwa special oda
❇️Maofisini
❇️Gathering Party
❇️Harusi
❇️Lunch Special
❇️Sherehe yoyote etc
☎️0719068333
☎️0756068333
📍Tuko Sinza mori close na Delina Apartment
Mudi Mabiriani
Mudi Food Factoy East Africa
edna lyimo retweeted
Kama unaona hii Tweet 📌
Tunaomba repost yako tuwafikie wengi
Tunatafuta MWEKEZAJI
🔴Tugawane mapato ya siku
🔴Umiliki Hisa ya Brand
🔴Cashier unamleta wewe
Tuwasiliane ifanyike Biashara ya Chakula
Dial & Text Us ☎️
0719068333
0656068333
edna lyimo retweeted
Pendeza mwaka huu... na milele. Let my lil sista @ednalyimo3 akuvishe mavazi ya kisasa, yanayo-trend, but at takeaway prices. Call/WhatsApp her on 0656723705
edna lyimo retweeted
Klabu ya Simba imefungiwa kufanya usajili kimataifa na kitaifa mpaka pale itakapoilipa klabu ya Teungueth ya Senegal sehemu ya malipo ya mchezaji Pape Ousmane Sakho ambaye aliuzwa kwenye klabu ya Quevilly Rouen Metropole ya Ufaransa.
edna lyimo retweeted
Happy birthday @ednalyimo3 Shabiki wa Simbaaaaaaaaaaaaa Maishaa Marefu kwako Mungu akujalie miaka mingi Zaid na Zaid 🎉



























