Aziz Kiiiiiii
8' Al Hilal 0-1 Yanga SC.
Yanga wanaongoza mapema tu.
@YoungAfricansSC @CAFCLCC_fr
#soccerlife #CAFCL
30
Goaal 68' Bravo 1-1 @SimbaSCTanzania
Ateba anasawazisha.
Kombe la Shirikisho barani Afrika.
#soccer #football #AfricanFootball
13
fga_tv retweeted
33’ | Bravos do Maquis 1-0 Simba SC.
Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms, data na taarifa za kila punde wakati wa mchezo. #TotalEnergiesCAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja
37' BRAVO WANAFANYA GUSA ACHIA TWENDE KWAO.😂😂🙌
BRAVO 1-0 @Soka_updates
#soccer #football #AfricanFootball
1
12
GOOO 16' Bravo 1-0 @SimbaSCTanzania
Simba wanaruhusu Goli mapema, makosa ya Che Malone Fondoh
#soccer #CAFCL
1
29
Bravo VS @SimbaSCTanzania
@CAFCLCC_fr Kick- Off.
Stay tune for quick updates.
#CAFCL #SimbaSC #Angola #soccer #Africa #TANZANIA
1
18
Dili la Bernard Morrison na KenGold limejaa kimkakati. Mghana huyo amepewa mkataba wa miezi Sita huku akionywa mapema juu ya Tabia ya utakutu.
✅ Done
#CHIMBOJIPYA
1
18
Kocha wa viungo wa Klabu ya soka ya Wanawake ya JKT Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania bara, Esau Sanu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Machi 16, 2024.
@JKT_Queens
#RIP
2
39
Waziri Junior tayari amefunga magoli 11 akiwa na KMC Msimu huu.
Amemfikia Aziz Ki huku akiwa anazidiwa na Feisal Salum mwenye magoli 12.
Kazi kubwa.
@tplboard @Tanfootball
#Ramadan
1
29
Jafary Mwanyemba (Kushoto) na Raheem Saleh (Kulia) ni vijana kutoka Fountain Gate Sports ambao Kwa Sasa wapo nchini Mali kwenye Academy ya ABM Sports.
Hii ni hazina kubwa sana Kwa Taifa Kwa siku za usoni.
@Tanfootball
2
31
Niyonkuru Samantha na Suzan Adam wote wanakipiga katika Klabu ya TUT ya nchini Misri (zamani @FGatePrincess katika ligi Kuu ya Wanawake nchini Humo. TUT Ndani msimu huu imecheza Michezo 15, kushinda 14, sare 1, Clean sheet 13 huku wakifunga magoli 99. What a record!!. 🔥🔥
2
31
fga_tv retweeted
Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu (General Coordinator) wa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jwaneng Galaxy (Botswana) vs Wydad AC (Morocco) utakaochezwa Februari 24, 2024
@tplboard @cafclcc @BarakaKizuguto
Ilikuwa Disemba 20, 2023 Fountain Gate Princess ilipangwa na Amani Queens katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma lakini haukufanyiwa. Leo Februari 12, 2024 mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma Fountain Gate Princess wakiwa nyumbani.
@FGatePrincess @Tanfootball
4
56
Huu hapa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania bara baada ya Mzunguko wa 6.
@ligikuuwanawake @simbaqueensctz @FGatePrincess
1
22
fga_tv retweeted
Mchezo wa Ligi ya #NBCChampionship leo December 8, 2023.
#NBCChampionship2023_24
@tanfootball @NBCTanzania @championship_tz
Kwanza aandaliwe kisaikolojia na aambiwe ukweli kwamba Kuna Nyota wengi makinda walijiunga na Simba lakini wakaishia benchi na kukosa nafasi kuanza pengine hata kucheza. Wawatumie kina Jimmyson Mwanuke, Israel Mwenda, David Kameta "Duchu" kama mfano. @mtibwaofficial @Tanfootball
fga_tv retweeted
Michezo ya Ligi ya #NBCChampionship leo Octoba 29, 2023.
#NBCChampionship2023_24
@tanfootball @NBCTanzania @championship_tz
Winga wa zamani wa Klabu ya Al Hilal ya Sudan Makabi Lilepo tayari ameanza kuonyesha makali yake ndani ya Klabu yake mpya ya Valenciennes inayoshiriki Ligi Daraja la pili. Tayari amecheza Michezo Mitatu, amefunga magoli mawili na kutemoa pasi Mbili za magoli.
#AlHilal

















